Ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga elimu zaidi itolewe kwa jamii

Kwa watoto wachanga manjano kwenye macvho au ngozi ni kawaida.

Hii hutokana na uwepo wa Bilirubin nyingi katika damu kutokana na ini la mtoto kuwa halijajidevelop vya kutosha kuchuja hiyo kitu.

Dawa ya hilo Tatizo ni kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama kwa sana
 
ulijaribu kutumia mbegu za maboga..??
Nilitumia kila kitu nilichokuwa naambiwa kuwa kitafaa ila nadhani msongo wa mawazo na hofu kwa baadhi yetu huwa unachangia kukosa maziwa.
Mtoto wa kwanza yeye alipewa maziwa yoka tupo hospital. Ila huyu wa mwisho nurse alikataa kabisa nisimpe chochote na ikachangia kupata hiyo manjano sababu ya njaa
 
Nani kasema WA mwisho huyo??
 
Kwa watoto wachanga manjano kwenye macvho au ngozi ni kawaida.

Hii hutokana na uwepo wa Bilirubin nyingi katika damu kutokana na ini la mtoto kuwa halijajidevelop vya kutosha kuchuja hiyo kitu.

Dawa ya hilo Tatizo ni kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama kwa sana
Wengine maziwa hayatoki mkuu
 
Ukiwa mjamzito inatakiwa kupima km mama huna na pia kuna chanjo yake.
Nakumbuka mimi nilichoma chanjo yake pamoja na ya tetanus
Hizo chanjo hazina uhusiano wowote na manjano (jaundice), Zina faida zake nyingine.
Kwa newborns jaundice inaweza kuwa physiological au pathological.
Wacha nilale kwanza, baadaye nitatoa elimu
 
Amka sasa
 
Amka sasa
Nimeshaamka.
Wacha nitoe elimu kwa ufupi;
1. Manjano kwa mtoto mchanga hutokana hutokana na ini kuwa na uwezo mdogo wa kuchakata bilirubin zinazotokana na seli nyekundu za damu na kupelekea hyperbilirubinemia. Hii hutokea mara nyingi Kwa mtoto aliyezaliwa njiti, blood incompatibility kati ya mama na mtoto, mtoto mwenye uzito pungufu na kwa mtoto anayekosa maziwa ya mama aidha hawezi kunyonya au mama hatoi maziwa
2. Mtoto mchanga hupata manjano Kwa sababu ini lake halijakomaa kuweza kuchakata zile bilirubin. Maziwa ya mama yana madini yanayosaidia kuabsorb bilirubin katika utumbo wa mtoto na kupunguza risk ya hyperbilirubinemia na kuzuia mtoto asipate manjano (jaundice)
3. Ukiona hata mtu mzima ana manjano, jua hitlafu iko kwenye ini
 
Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe.

Wakati najifungua hosp pale asilimia 90 watoto wote walipata manjano. Mimi mwenyewe niliponea chupuchupu mloganzila hospitali.

Namshukuru pro jamani sio kwa huduma zile.

Naomba elimu itolewe kwa wamama toka wakiwa wajawazito.

Mfano kumbe ukila miwa ukiwa mjamzito mtoto hapati manjano. Sasa Mimi niliambiwa ukila miwa mtoto anazaliwa kakatika katika kama jongoo.

Nikiwa mjamzito nilikuwa nakimbia miwa vibaya mno
Hata kupona kwa mtoto niseme kweli pamoja na matibabu ya hospnilikunywa Sana juice ya miwa akawa ananyonyea miwa.huko kwenye maziwa.

Nimeongea hili baada ya kwenda CCBRT na kuona watoto ambao wameathirika na manjano.bahati mbaya manjano haikupata dawa wamekuwa walemavu
Manjano ni kutopata maziwa ya kutosha. na wala sio ugonjwa mkubwa maana hapewi hata Dawa ni anawekwa kwenye UV lights masaa 24 basi kapona.
 
Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe.

Wakati najifungua hosp pale asilimia 90 watoto wote walipata manjano. Mimi mwenyewe niliponea chupuchupu mloganzila hospitali.

Namshukuru pro jamani sio kwa huduma zile.

Naomba elimu itolewe kwa wamama toka wakiwa wajawazito.

Mfano kumbe ukila miwa ukiwa mjamzito mtoto hapati manjano. Sasa Mimi niliambiwa ukila miwa mtoto anazaliwa kakatika katika kama jongoo.

Nikiwa mjamzito nilikuwa nakimbia miwa vibaya mno
Hata kupona kwa mtoto niseme kweli pamoja na matibabu ya hospnilikunywa Sana juice ya miwa akawa ananyonyea miwa.huko kwenye maziwa.

Nimeongea hili baada ya kwenda CCBRT na kuona watoto ambao wameathirika na manjano.bahati mbaya manjano haikupata dawa wamekuwa walemavu
hata wakubwa tu manjano inatibiwa kwa miwa, sio wachanga tu.
 
Basi wawe wanaruhusu mtoto kupewa maziwa mbadala kama mama hana maziwa ya kutosha kuliko kusababisha ulemavu au vifo ambavyo vinaweza kuzuilika
Mimi Mama yangu alikuwa ananyonyesha mtoto mpaka anaacha mwenyewe kunyonya still watoto wana manjano,Kuna mdogo wangu Ana miaka 15 bado homa ya manjano inamuandama,hii wataalamu wa afya mnasemaje
 
Mimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili.
Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua
WENYE CHANGAMOTO YA MAZIWA KUTOKA KWA WAKATI, TUMIENI PILIPILI MANGA KWA WINGI UNAISAGA NA KUITIA KWENY UJI AU CHAI.
 
Mimi Mama yangu alikuwa ananyonyesha mtoto mpaka anaacha mwenyewe kunyonya still watoto wana manjano,Kuna mdogo wangu Ana miaka 15 bado homa ya manjano inamuandama,hii wataalamu wa afya mnasemaje
APENDELEE KULA MIWA KWA WINGI
 
Afya ya mwanao ukiwa mjamzito ni jukumu lako mama. Wewe jibane kula mlo kamili na kula kwa wakati kwa kuhofia urembo wako wakati unataka kuitwa mama. Maamuzi ya afya ya mwanao yatategemea pia kunyonyesha mwanao.
 
Maziwa ya mwanzo kabisa ya mama ndio tiba ya kila kitu. Sasa changamoto inatokea mama hatoi maziwa au mama kafanyiwa upasuaji hawezi mnyonyesha mtoto wake kwa muda huo
 
Back
Top Bottom