Ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga elimu zaidi itolewe kwa jamii

WENYE CHANGAMOTO YA MAZIWA KUTOKA KWA WAKATI, TUMIENI PILIPILI MANGA KWA WINGI UNAISAGA NA KUITIA KWENY UJI AU CHAI.
Hakuna kitu ambacho sikujaribu kwa wakati huo labda mwani maha haukuwa unatangazwa sana kama sasa.
Ila supplements na mitishamba nilitumia sana lakini sikuona matokeo.
Nikakubaliana na hali kuwa sikuzaliwa na kiwango kikubwa cha kuzalisha maziwa hasa week za mwanzo baada ya kujifungua
 
Hata Mimi maziwa yametoka baada ya week 3 .na yalikuwa mengi hata dogo alikuwa hawezi kunimaliza .yalikuwa yanatoka kama Bomba yaani
 
Back
Top Bottom