ulijaribu kutumia mbegu za maboga..??Mimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili.
Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua
Kumbe .huku Tanzania sijawai kusikia kitu kama hiki huko clinicUkiwa mjamzito inatakiwa kupima km mama huna na pia kuna chanjo yake.
Nakumbuka mimi nilichoma chanjo yake pamoja na ya tetanus
Ndio elimu itolewe clinic za wajawazito watu wajipangeMimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili.
Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua
Kuna dawa za awali unapewa hospital kutuliza homa. Then utaendelea na matibabu ya jua.Mhandisi Mzalendo unatibu mtoto anayepata joto la homa na macho kuwa njano nafikiri na ngozi pia kwa kuanika tu?
Changamoto unakuwa na mtoto hujui kama ana manjano hataKuna dawa za awali unapewa hospital kutuliza homa. Then utaendelea na matibabu ya jua.
WAzazi wengi tumekumbana na hii changamoto. Kwa kuwa si ugonjwa hatarishi sana ndio maana huoni unazungumziwa sana. Wazazi wakiwa makini ni ugonjwa wa wiki tu.Ndo elimu itolewe mkuu.ulishawai kuona unazungumziwa popote?
Na ndio tiba ya haraka ...Mambo mengine ni kukosa elimu tu. Ugonjwa wa manjano unatibika bila hata gharama kubwa. Mchukue mtoto anika kwenye jua la saa 4 kwa nusu saa. Baada ya week hamna ugonjwa na ni tiba ya uhakika.
Mtoto akiwa na manjano hata ukimbinya ngozi yake unaona manjano na ngozi inachelewa ku recover. Hata macho utaona yanakua ya njano. Muhimu ni elimu ili watu wawe na ufahamu.Changamoto unakuwa na mtoto hujui kama ana manjano hata
Hadi inaenda kwenye ubongo
Sasa mtoto mchanga ni ngumu kujua tofauti kama huna uzoefu unaona Tu umepata katoto kazunguMtoto akiwa na manjano hata ukimbinya ngozi yake unaona manjano na ngozi inachelewa ku recover. Hata macho utaona yanakua ya njano. Muhimu ni elimu ili watu wawe na ufahamu.
Wewe nawe bna issue za wanawake unaponda Tu
Utakuja kuoa kiazi dunia nzima
Kama Una mke natembea uchii dar moroNioe mara ngapi?
Kama Una mke natembea uchii dar moro
Labda kama umeoa jinsia ingine maana kwa wanawake huna heshima kabisa.your full of hate aisee
Labda dhambiTena amekuzidi kila kitu.
Kila kitu.
Hakuna haja ya Kutembea uchi kwa Sababu hatutaki kuona wendawazimu
Acha lugha chafu basi ndugu.Uliambiwa na ukaamini?! Bila shaka ulibeba mimba ya utotoni.
Ipo. Mimi nilichoma. Nipo ZanzibarKumbe .huku Tanzania sijawai kusikia kitu kama hiki huko clinic
Jaundice na ni kwa nini imekuwa sasa rate ya watoto kuzaliwa na manjano ni kubwa sana?Kitaalamu homa ya manjano inaitwaje?
Hivi manjano inaweza kuonekana hadi mdomoni wakati sehemu zingine za mwili zikiwa kawaida?Mambo mengine ni kukosa elimu tu. Ugonjwa wa manjano unatibika bila hata gharama kubwa. Mchukue mtoto anika kwenye jua la saa 4 kwa nusu saa. Baada ya week hamna ugonjwa na ni tiba ya uhakika.