Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nilitumia kila kitu nilichokuwa naambiwa kuwa kitafaa ila nadhani msongo wa mawazo na hofu kwa baadhi yetu huwa unachangia kukosa maziwa.ulijaribu kutumia mbegu za maboga..??
Manjano huonekana machoni, puani zaidi na ngozi ya mtoto kukosa nuru hata kuwa wa njano. Mdomoni sijawahi ona.Hivi manjano inaweza kuonekana hadi mdomoni wakati sehemu zingine za mwili zikiwa kawaida?
Nani kasema WA mwisho huyo??Nilitumia kila kitu nilichokuwa naambiwa kuwa kitafaa ila nadhani msongo wa mawazo na hofu kwa baadhi yetu huwa unachangia kukosa maziwa.
Mtoto wa kwanza yeye alipewa maziwa yoka tupo hospital. Ila huyu wa mwisho nurse alikataa kabisa nisimpe chochote na ikachangia kupata hiyo manjano sababu ya njaa
Wengine maziwa hayatoki mkuuKwa watoto wachanga manjano kwenye macvho au ngozi ni kawaida.
Hii hutokana na uwepo wa Bilirubin nyingi katika damu kutokana na ini la mtoto kuwa halijajidevelop vya kutosha kuchuja hiyo kitu.
Dawa ya hilo Tatizo ni kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama kwa sana
Hizo chanjo hazina uhusiano wowote na manjano (jaundice), Zina faida zake nyingine.Ukiwa mjamzito inatakiwa kupima km mama huna na pia kuna chanjo yake.
Nakumbuka mimi nilichoma chanjo yake pamoja na ya tetanus
Amka sasaHizo chanjo hazina uhusiano wowote na manjano (jaundice), Zina faida zake nyingine.
Kwa newborns jaundice inaweza kuwa physiological au pathological.
Wacha nilale kwanza, baadaye nitatoa elimu
Nimeshaamka.Amka sasa
Manjano ni kutopata maziwa ya kutosha. na wala sio ugonjwa mkubwa maana hapewi hata Dawa ni anawekwa kwenye UV lights masaa 24 basi kapona.Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe.
Wakati najifungua hosp pale asilimia 90 watoto wote walipata manjano. Mimi mwenyewe niliponea chupuchupu mloganzila hospitali.
Namshukuru pro jamani sio kwa huduma zile.
Naomba elimu itolewe kwa wamama toka wakiwa wajawazito.
Mfano kumbe ukila miwa ukiwa mjamzito mtoto hapati manjano. Sasa Mimi niliambiwa ukila miwa mtoto anazaliwa kakatika katika kama jongoo.
Nikiwa mjamzito nilikuwa nakimbia miwa vibaya mno
Hata kupona kwa mtoto niseme kweli pamoja na matibabu ya hospnilikunywa Sana juice ya miwa akawa ananyonyea miwa.huko kwenye maziwa.
Nimeongea hili baada ya kwenda CCBRT na kuona watoto ambao wameathirika na manjano.bahati mbaya manjano haikupata dawa wamekuwa walemavu
hata wakubwa tu manjano inatibiwa kwa miwa, sio wachanga tu.Kuna huu ugonjwa wa manjano kwa watoto wachanga ni hatari sana ila nashangaa huwa wamama hawafundishwi chochote Matokeo yake wamama wengi wanapoteza watoto kizembe.
Wakati najifungua hosp pale asilimia 90 watoto wote walipata manjano. Mimi mwenyewe niliponea chupuchupu mloganzila hospitali.
Namshukuru pro jamani sio kwa huduma zile.
Naomba elimu itolewe kwa wamama toka wakiwa wajawazito.
Mfano kumbe ukila miwa ukiwa mjamzito mtoto hapati manjano. Sasa Mimi niliambiwa ukila miwa mtoto anazaliwa kakatika katika kama jongoo.
Nikiwa mjamzito nilikuwa nakimbia miwa vibaya mno
Hata kupona kwa mtoto niseme kweli pamoja na matibabu ya hospnilikunywa Sana juice ya miwa akawa ananyonyea miwa.huko kwenye maziwa.
Nimeongea hili baada ya kwenda CCBRT na kuona watoto ambao wameathirika na manjano.bahati mbaya manjano haikupata dawa wamekuwa walemavu
Mimi Mama yangu alikuwa ananyonyesha mtoto mpaka anaacha mwenyewe kunyonya still watoto wana manjano,Kuna mdogo wangu Ana miaka 15 bado homa ya manjano inamuandama,hii wataalamu wa afya mnasemajeBasi wawe wanaruhusu mtoto kupewa maziwa mbadala kama mama hana maziwa ya kutosha kuliko kusababisha ulemavu au vifo ambavyo vinaweza kuzuilika
WENYE CHANGAMOTO YA MAZIWA KUTOKA KWA WAKATI, TUMIENI PILIPILI MANGA KWA WINGI UNAISAGA NA KUITIA KWENY UJI AU CHAI.Mimi pia mtoto wangu wa mwisjo alipitua hii changamoto nashukuru Mungu tulivuka salama kwenye hili.
Nachoona ni mtoto kukosa maziwa kwa wakati mimi huwa nakaa mpaks siku 2 ndo maziwa yanatoka. Waruhusu maziwa mbadala kwa wale wenye changamoto ya kukosa maziwa mara baada ya kujifungua
APENDELEE KULA MIWA KWA WINGIMimi Mama yangu alikuwa ananyonyesha mtoto mpaka anaacha mwenyewe kunyonya still watoto wana manjano,Kuna mdogo wangu Ana miaka 15 bado homa ya manjano inamuandama,hii wataalamu wa afya mnasemaje
We umeona lugha chafu hapo? Na wewe ndo walewale tu.Acha lugha chafu basi ndugu.
Mbona kaleta jambo jema sana kuliko hayo masimango yako,kama madai yako ni ya ukweli,amekupunguzia nini?
Ana zaidi ya Miaka 40 Miss NatafutaUliambiwa na ukaamini?! Bila shaka ulibeba mimba ya utotoni.
Mtu wa zaidi ya miaka 40 anaambiwa ukila muwa utazaa mtoto anapingili kama jongoo anaamini?!🤔Ana zaidi ya Miaka 40 Miss Natafuta