Hakuna kitu ambacho sikujaribu kwa wakati huo labda mwani maha haukuwa unatangazwa sana kama sasa.
Ila supplements na mitishamba nilitumia sana lakini sikuona matokeo.
Nikakubaliana na hali kuwa sikuzaliwa na kiwango kikubwa cha kuzalisha maziwa hasa week za mwanzo baada ya kujifungua