Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,079
Mkuu Riwa, kwanza nikupongeze kwa kuonesha umahili wako hapa kwa sababu baada ya kwenda kuonana na daktari alionekana kutoshtuka kabisa as if ni mgonjwa mdogo sana. Amenipa dawa ya miezi miwili (opromazole) nirudi mwezi julai.Nalinganisha na kauli yako hapo kwenye blue
Je hao psychiatrist wanapatikana hospitali zipi?
Tanzania tuna uhaba wa Psychiatrists, Hospitali binafsi nyingi wanaenda kwa calls na sio regular clinics. Muhimbili ndio kuna regular clinics. Kama utapenda naweza kukuunganisha na psychiatrist wawili ambao nawahafahamu binafsi (wanafanya kazi Muhimbili), ukaonana naye (mmoja wao) halafu akaona kama utahitaji regular clinic akakushauri awe anakuona wapi. PM kama utapenda msaada huo.