Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

Hizo za waganga mi sina uhakika nayo, ila njia nzuri zaidi ya kusaidia tatizo la upungufu wa damu mara kwa mara ni kutumia chloroquin ( kama nimeiandika vizuri), hivi vidonge vinasaidia sana kwa wenye matatizo hayo, ingawa hata madaktari bingwa hawalitambui hilo
 
Duh. Watu wanapotosha.
Kuwa na sickle cell sio kwamba utaishi miaka michache wangapi wazima kabisa wanazaliwa hawafikishi Hata mwezi wanafariki??

Mgonjwa wa Sickle cell anakuwa na chance ya kuishi,lakini wengi wa hasa wa kike wanafariki mapema kutokana na kuingia hedhi kila mwezi.
Lakini wapo wanaoishi mpaka kufikia kuwa wazee na wana kuwa na familia,ambazo watoto wao wanawakuwa wazima.
Sickle cell haina tofauti na albinism,kwamba albino lakini anazaa mtoto mwenye ngozi ya kawaida.

Na haimaanishi lazima wote wawili muwe career Ndio mzae mtoto mwenye sickle cell,Hata mzazi mmoja inapelekea hali hiyo kwa mtoto.
 
UGONJWA WA SELI MUNDU ( Sickle cell anemia )
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya chembe hai nyekundu zilizoko mwilini. Himoglobini hufanya kazi ya kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.

Kwa kawaida binadamu anapozaliwa huwa na himoglobini ya kawaida ambayo huitwa himoglobini A (Haemoglobin A) au kwa kifupi HbA na Himoglobini ya kichanga ambayo huitwa Himoglobini F (HbF). Himoglobini A ambayo hutengeneza takriban asilimia tisini na saba ya Himoglobini za mtu mzima imeundwa na jozi mbili za minyororo (chains) za alfa (alpha) na beta (beta). Chembe hai nyekundu za damu za kawaida huwa laini,za duara na huweza kujipenyeza katika mishipa ya damu kirahisi. Pia huweza kuishi kwa takriban siku mia moja na ishirini (120) kabla chembe hai nyekendu za damu mpya hazijatengenezwa.

Ugojwa wa seli mundu ni chembe hai nyekundu ngumu, zenye umbo la mundu au mwezi mchanga ambazo hupita kwa shida kwenye mishipa ya damu hasa ile midogo. Aina hii ya himoglobini huitwa Himoglobini S (HbS).Tofauti na chembe hai nyekundu za damu za kawaida zenyewe huishi kwa siku chache zaidi, kwa kawaida huishi takribani siku kumi na sita (16) tu.

UGOJWA WA SINGLE SELI HUATHIRIWA NA HUTOKEA JE?
Ugonjwa wa sickle cell waweza kurithiwa kama ilivyo kwa makundi ya damu, rangi ya ngozi, rangi ya macho na tabia ua vitu vingione vinavyoweza kurithiwa. Kwa mfano kama mzazi mmoja ana himoglobini AS, na ana sickle cell na mwingine ana sickle cell bila dalili, kuna uwezekano wa asilimia hamsini (50%) ya kupata mtoto mwenye sickle cell au sickle cell bila dalili katika kila mimba itakayotungwa. Na kuna takriban asilimia ishirini na tano (25%) ya kupata sickle cell yenye dalili katika kila mimba.

SELI MUNDU HUTOKEAJE?
Seli mundu hutokana na mabadiliko (mutations) katika mnyororo wa beta (beta chain) ambapo amaino asidi (amino acid) aina ya glutameti (glutamate) huitoa amaino asidi ya Valini (Valine) kutoka kwenye nafasi ya sita ya mnyororo wa beta.

Katika mazingira yenye kiwango kidogo cha oksijeni, chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la kawaida (mviringo) huharibiwa na kupoteza uwezo wa kutanuka na kusinyaa (elasticity) zipitapo kwenye mishipa ya damu. Hali hii hupelekea chembe hai hizo nyekundu za damu kuharibiwa na mfumo wa damu kwenye bandama (spleen) .

Pia hupelekea kuziba kwa mishipa midogo ya damu (infarction) kutokana na chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la mundu. Hali hii yaweza kupelekea kukosekana kwa damu na oksijeni ya kutosha katika baadhi ya viungo.

DALILI ZA SELI MUNDU
Ni mara chache kwa dallili za sickle cell kuonekana katika miezi sita ya mwanzo baada ya kuzaliwa. Hii inatokana na kuwepo kwa wingi kwa himoglobini ya kichanga, himoglobini F, ambayo huzilinda chembe hai nyekundu za damu zisibadilike umbo. Ikumbukwe kwamba mabadiliko ya kiumbo ya chembe hai nyekundu za damu ndiyo chanzo cha dalili tutakazoziona hivi punde.

*Dalili za seli Mundu wakati wa utotoni*

-Maumivu ya pingili (dactylitis) za mikono na miguu
-Kushambuliwa na maradhi kama uti wa mgongo, nimonia, mafua, kikohozi.
-Kuvimba kwa bandama/wengu (splenomegally) kutokana na kujaa ghafla kwa damu kwenye bandama
-Kusinyaa kwa bandama(autosplenectomy)

*Dalili za seli Mundu ukubwani*
-Upungufu wa damu
-Maumivu ya tumbo
-Maumivu ya mifupa (viungo)
-Kupooza
-Maumivu ya kifua yafananayo na nimonia (acute chest syndrome)
-Kubana kwa kifua
-Kukojoa damu
-Vidonda sugu miguuni
-Kusimama kwa uume kuambatanako na maumivu makali (priapism)
-Kuvimba kwa paji la uso au fuvu

Snowphyll ni dawa au tiba yenye virutubisho vya aina mbili Snow Algae Chlorophyll & Mulberry Leaf vilivyotengenezwa katika maahabara itwayo Mibelle BioChemistry Switzerland yenye uwezo wa kuboresha, kutengeneza na kukarabati seli za damu.

FAIDA ZA SNOWPHHYLL KATIKA KUTIBU SELI MUNDU
HUKARABATI NA KUBORESHA SELI NYEKUNDU
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya chembe hai nyekundu zilizoko mwilini. Snow Algae Chlorophyll husaidia himoglobini hufanya kazi ya kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.Snowphyll husaidia chembe hai nyekundu za damu za kawaida huwa laini,za duara na huweza kujipenyeza katika mishipa ya damu kirahisi.

Snow Algae Chlorophyll ambayo ni anti-oxidant yenye nguvu. Husafisha na kuondoa sumu mwili ambayo husabibisha matatizo ya tumbo. Snow Algae hupunguza athari kutoka kwenye vyakula kama vile vyakula vya makopo amavyo huaribu ini .Snow Algae Chlorophyll hufanya kazi ikisaidiana na vitamini E na magnsium kuhakikisha upatikanaji wa oksijeni ya kutosha kwenye misuli. Kinga za mwili na hulinda chembechembe nyekundu za damu, ngozi nyembamba inayozunguka seli na viungo vya seli kutokana na radikali huru, na hivo kuwafaa zaidi wenye siko seli anemia.
Snowphyll hukuondolea uchovu haraka, kukuongezea nguvu, kupunguza tatizo la kukosa choo, kuboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kutunza uimara wa ngozi na kuifanya ivutie, kukufanya uwe na furaha na mwenye nguvu na kuboresha kumbukumbu.
 
kwa maelezeo na mawasiliano zaidi na jinsi ya kupata dawa hizi
Whatapp 0682315816
 
Single cell au sickle cell??mkuu unaaibisha sana,Nina wasi wasi na yaliyopo ingawa heading imenikimbiza
 
Single cell anaemia ndio ugonjwa gani mkuu mbona mpya huu?? Au umevumbuliwa leo?..
 
Wale watarajiwa wa kufunga Ndoa ni bora wakapima kabisa huu Ugonjwa kabla ya kufunga Pingu za Maisha
 
Habari,
Wanajamvi naomba msaada kwa wataalam,kuna mtoto wa rafiki yangu ana umri wa miaka mitatu,juzi aligundulika ana sickle cell,na kuna mtaalam akasema kwa umri wake anaweza kupona.
Naomba msaada na ushauri kwa wataalam nn tufanye kumsaidia malaika huyu.

Asante.
 
kwa uelewa wangu sickle cell haitibiki maana ni upungufu wa vitu fulani ktk damu ambavyo huwa ni ya kuzaliwa nayo,

cha muhimu ni kujitahidi kumkinga na kumuepusha huyo mtoto na magonjwa kama Maleria maana hayo magonjwa yakimpata mwili wake utakuwa hauna nguvu za kupambana na hivyo vidudu,

hatari sana.
 
Dah muanzisheni tu clinic hasa pale muhimbili kwani huo ugonjwa hata nikiuskia moyo unasisimka kwani ndio ulioniondolea mama yangu mzazi hakika ni ugonjwa wa kuogopesha
 
Asante sana mkuu
 
Asante mkuu, ngoja namba yako nitamtumia Baba yake
 
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Inatibika ndio, ila matibabu yake ni gharama sana. Wengi wanaishia kwenye matumizi ya dawa muda mrefu kwa kuwa tu uwezo hatuna. Na hata hivyo kihospitali kwa hapa bongo si kwa uhakika sana, watu India wanapona, Italy wanapona yani kwao hilo sio tatizo hata kidogo
 
UGONJWA WA SELI MUNDU ( Sickle cell anemia )
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya chembe hai nyekundu zilizoko mwilini. Himoglobini hufanya kazi ya kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.

Kwa kawaida binadamu anapozaliwa huwa na himoglobini ya kawaida ambayo huitwa himoglobini A (Haemoglobin A) au kwa kifupi HbA na Himoglobini ya kichanga ambayo huitwa Himoglobini F (HbF). Himoglobini A ambayo hutengeneza takriban asilimia tisini na saba ya Himoglobini za mtu mzima imeundwa na jozi mbili za minyororo (chains) za alfa (alpha) na beta (beta). Chembe hai nyekundu za damu za kawaida huwa laini,za duara na huweza kujipenyeza katika mishipa ya damu kirahisi. Pia huweza kuishi kwa takriban siku mia moja na ishirini (120) kabla chembe hai nyekendu za damu mpya hazijatengenezwa.

Ugojwa wa seli mundu ni chembe hai nyekundu ngumu, zenye umbo la mundu au mwezi mchanga ambazo hupita kwa shida kwenye mishipa ya damu hasa ile midogo. Aina hii ya himoglobini huitwa Himoglobini S (HbS).Tofauti na chembe hai nyekundu za damu za kawaida zenyewe huishi kwa siku chache zaidi, kwa kawaida huishi takribani siku kumi na sita (16) tu.

UGOJWA WA SINGLE SELI HUATHIRIWA NA HUTOKEA JE?
Ugonjwa wa sickle cell waweza kurithiwa kama ilivyo kwa makundi ya damu, rangi ya ngozi, rangi ya macho na tabia ua vitu vingione vinavyoweza kurithiwa. Kwa mfano kama mzazi mmoja ana himoglobini AS, na ana sickle cell na mwingine ana sickle cell bila dalili, kuna uwezekano wa asilimia hamsini (50%) ya kupata mtoto mwenye sickle cell au sickle cell bila dalili katika kila mimba itakayotungwa. Na kuna takriban asilimia ishirini na tano (25%) ya kupata sickle cell yenye dalili katika kila mimba.

SELI MUNDU HUTOKEAJE?
Seli mundu hutokana na mabadiliko (mutations) katika mnyororo wa beta (beta chain) ambapo amaino asidi (amino acid) aina ya glutameti (glutamate) huitoa amaino asidi ya Valini (Valine) kutoka kwenye nafasi ya sita ya mnyororo wa beta.

Katika mazingira yenye kiwango kidogo cha oksijeni, chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la kawaida (mviringo) huharibiwa na kupoteza uwezo wa kutanuka na kusinyaa (elasticity) zipitapo kwenye mishipa ya damu. Hali hii hupelekea chembe hai hizo nyekundu za damu kuharibiwa na mfumo wa damu kwenye bandama (spleen) .

Pia hupelekea kuziba kwa mishipa midogo ya damu (infarction) kutokana na chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la mundu. Hali hii yaweza kupelekea kukosekana kwa damu na oksijeni ya kutosha katika baadhi ya viungo.

DALILI ZA SELI MUNDU
Ni mara chache kwa dallili za sickle cell kuonekana katika miezi sita ya mwanzo baada ya kuzaliwa. Hii inatokana na kuwepo kwa wingi kwa himoglobini ya kichanga, himoglobini F, ambayo huzilinda chembe hai nyekundu za damu zisibadilike umbo. Ikumbukwe kwamba mabadiliko ya kiumbo ya chembe hai nyekundu za damu ndiyo chanzo cha dalili tutakazoziona hivi punde.

*Dalili za seli Mundu wakati wa utotoni*

-Maumivu ya pingili (dactylitis) za mikono na miguu
-Kushambuliwa na maradhi kama uti wa mgongo, nimonia, mafua, kikohozi.
-Kuvimba kwa bandama/wengu (splenomegally) kutokana na kujaa ghafla kwa damu kwenye bandama
-Kusinyaa kwa bandama(autosplenectomy)

*Dalili za seli Mundu ukubwani*
-Upungufu wa damu
-Maumivu ya tumbo
-Maumivu ya mifupa (viungo)
-Kupooza
-Maumivu ya kifua yafananayo na nimonia (acute chest syndrome)
-Kubana kwa kifua
-Kukojoa damu
-Vidonda sugu miguuni
-Kusimama kwa uume kuambatanako na maumivu makali (priapism)
-Kuvimba kwa paji la uso au fuvu

Folic acid,Ganodema,Spirulina,na gyrophora tea,ni dawa au tiba zenye virutubisho ambavyo vimetokana na mimea ya asili matunda mbalimbali,mbaga za majani, alfafa,green algae,unga wa algae usio changanywa na wanga, uyoga mwekundu,ya aina hizi zenye uwezo wa kuboresha, kutengeneza na kukarabati seli za damu.pia tunatoa huduma za vipimo vya mwili mzima(full body check up)kwa tsh 10,000.Mawasiliano Ni 0718069047/0688184620.
 
Habari za saizi madaktari mliomo humu.

Nina mtoto wa miaka 8 ana sikoseli ila ana afya njema sana, nimebaini tarehe 24-05-2020.
Nifanye nini ili aweze kuishi bila kudhoofika mwili?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…