Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kama uko dar njoo PM kwa buku saba tu unaanza kuchakata pilipili and the like ndani ya wiki moja,100% sure.Siuzi mimi ila imenisaidia mnoooooo.NIMEPONA
 
Hiyo dawa ya kunywa mkojo wako wa subuhi nilifundisha mimi Mkuu.
 
Ama kweli lake mtu halimtapishi.... Mkojo Duh
 
Ama kweli lake mtu halimtapishi.... Mkojo Duh
Yes, mkojo huu huu wa asbh ulimsaidia mke wangu kupona maumivu ya jino ambalo lilikuwa linamsumbua kwa miaka 4 sasa mpk nw ni miaka 5 alishasahau maumivu yanafafanaje,hio dawa ya mkojo namm nilisoma humu humu
 
Swali langu ni kuwa vidonda vya tumbo vina weza leta cancer
 
Helicobacter pylori (H. pylori ) ni bakteria ambao husababisha uvimbe sugu( gastritis ) ndani ya tumbo la binadamu . Bakteria hawa huchukuliwa kama visababishi vya kawaida vya vidonda vya tumbo duniani kote, asilimia 90% ya watu wote duniani wenye vidonda vya tumbo wamekutwa na H.pylori. Kama Hujapima maambukizi haya hatari ya hawa wadudu basi nenda kapime sasa hivi kwenye kituo cha karibu na wewe. Alafu piga simu number 0689715296
 
Tuwekee investigator's brochure na publication za dawa yako au unaleta utapeli
 
Nice mkuu
 
Hellow wakuu..
Habari? Ningependa kufahamu endapo muliofanya majaribio mumepona ili na sisi tupate pa kuponea maana ni vya early stages kabisa hivi vyangu.
Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…