macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Yaka,
Sawa mkuu. Hata endoscopy inaonyesha kwa kutumia njia ifuatayo. Wakishaingiza ikifika tumboni, wanaingiza mirija mirefu mfano wa waya hivi inapita katikakati ya tube ya endoscopy. Hiyo mirija wanakuwa wameweka pamba kwa mbele. Ikifika tumboni wanatumia ile pamba kuchukuwa sampuli ya majimaji kutoka kwenye ukuta wa tumbo.
Wanatoa na ile pamba wanaweka kwenye kichupa na kwenda kupima. Kupima choo ni rahisi zaidi ila kama wanataka kuangalia kama kuna vidonda au tatizo jingine ndiyo wanafanya kama nilivyoeleza. Kuhusu dawa mimi sizungumzii kama imeandikwa ''made in...''. ila nazungumzia dawa zilizopo maduka ya kwetu. Haijalishi muuzaji atakuambia imetengenezwa wapi kwani wanaofoji huwa wanaandika kuwa zimetengenezwa nchi zenye sifa nzuri ili kuuza kwa haraka.