Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Yaka,
Sawa mkuu. Hata endoscopy inaonyesha kwa kutumia njia ifuatayo. Wakishaingiza ikifika tumboni, wanaingiza mirija mirefu mfano wa waya hivi inapita katikakati ya tube ya endoscopy. Hiyo mirija wanakuwa wameweka pamba kwa mbele. Ikifika tumboni wanatumia ile pamba kuchukuwa sampuli ya majimaji kutoka kwenye ukuta wa tumbo.

Wanatoa na ile pamba wanaweka kwenye kichupa na kwenda kupima. Kupima choo ni rahisi zaidi ila kama wanataka kuangalia kama kuna vidonda au tatizo jingine ndiyo wanafanya kama nilivyoeleza. Kuhusu dawa mimi sizungumzii kama imeandikwa ''made in...''. ila nazungumzia dawa zilizopo maduka ya kwetu. Haijalishi muuzaji atakuambia imetengenezwa wapi kwani wanaofoji huwa wanaandika kuwa zimetengenezwa nchi zenye sifa nzuri ili kuuza kwa haraka.
 
Mkuu inawezekana ulikua stage ya mwanzo kabisa ya ugonjwa. Mimi pia binafsi yangu nilifanya endoscopy.
Halafu kitu kingine nimesahau kusema. Ambition plus vilevile hii inakuhusu. Unaweza kuwa na hawa H-P bacteria na wasikuathiri i.e. wasikufanye uumwe au wakaishi tumbuni kwako bila kusababisha vidonda. Dr aliyenitibu aliniambia watu wengi kwenye nchi zinazoendelea kama Tanzania wana hao bacteria lakini wanakuwa na maisha ya kawaida bila kuonyesha dalili zozote.

Tatizo linakuja pale ambapo wanashambulia kuta za tumbo na kusababisha vidonda. Hivyo basi unaweza kupima watu wengi wenye afya nzuri bila kuumwa na kuwakuta wanao hao bacteria. Na madakta huwa wanasema kama hawakuletei maumivu basi hakuna haja ya kutumia dawa.
 
Mkuu hawa nilio nao wanashambulia kuta za tumbo.
 
Naomba mnisaidie mliopona mimi vinanisumbua sana nimesoma ushauri mwingi lakini najua ndg wapo walipona mnisaidie Hivi vidonda vya tumbo vinanitesa sana nimekuwa mtaji sasa kila dawa najaribu. ....Asanteni
 
Ni kwel mkuu
Mbna ktk sehmu zote zinazotoa elimu ya diet haya matunda wameya categorize upande wa ALKALINE FRUITS mkuu?

Mbna mnanichanganya sasa
organicalkalinefamily-20191129-0005.jpeg
 
Jaribu kutafuta hii dawa ni nzuri sana, inapatikana kariakoo wanauza 4000 tu, unachemsha maji yawe moto kiasi theni unaweka kijiko kimoja cha chakula na unakoroga na kunywa muda huohuo. Asubuhi na jioni kabla ya kula au nusu saa baada ya kula. Kila kheri mimi nimetumia na imenisaidia
1575236664526.jpeg
 
Tumia maji maji(soup) ya kabeji iliyochemshwa mara kwa mara na pia epuka kutumia dawa jamii ya NSAIDS kama Diclofenac na ibruprofen.
Jambo jingine, kuwa mtu wa karibu yake kunsaidia kuondoa stress atapona.
Jamno la mwisho, Nenda hospitali ukaangalie kama ana huyu mdudu Aitwaye Helicobacter pyroli kama anaye basi Heligokit ya siku 14 inamhusu

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Thanks msn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinasababishwa na nini kati ya:
• Helicobacter pylori
• Acids
• Both of the above

Jibu hapo juu ni la muhimu sana ili kujua management yake.
 
Back
Top Bottom