Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Pole, ila ungejaribu kutumumia "Habal soda" na asali pia dawa nzuri sana.
 
asante sana mkuu asali najitahidi sema habal soda sijaielewa hivi labda kama unaweza kunielekeza kwa lugha rahisi zaidi nitashukuru sana kwa msaada
 
[FONT=georgia, serif]Salam Mkuu, Naona kuna mchango hapo juu bali nimeona ni bora nikuchagulie regime moja mana dawa zipo nyingi zinaweza kukuchanganya,[/FONT][FONT=georgia, serif]Sijajua uko serious kiasi gani kwa hili tatizo la vidonda vya tumbo, lakini kwa kuanzia ningekuandikia dawa zifuatozo ambazo natumai zinapatikana Nyumbani.[/FONT]
[FONT=georgia, serif]Utafiti mpya na uzoefu umeonesha kuwa maradhi haya yanaaambatana na uambukizo wa vidudu viitwavyo helicobacter pylori (H. pylori) hivyo matibabu mazima ni lazima kuviua vidudu hivyo ili ufanikiwe vizuri.[/FONT]
[FONT=georgia, serif]Hivyo nitatumia regime inayoitwa Triple therapy ambayo ni:[/FONT]
[FONT=georgia, serif]
[/FONT]
[FONT=georgia, serif]Tratment[/FONT]
[FONT=georgia, serif]1. Caps amoxycillin 500mgs tds for 14 days[/FONT]
[FONT=georgia, serif]2. Tabs flagyl 400mgs tds for 14 days[/FONT]
[FONT=georgia, serif]3. Caps omeprazole 20mgs od for 30 days (dakika 30 kabla chakula)[/FONT]
[FONT=georgia, serif]4. Mxt Relcer gel 15 mls tds for 14 days (baada ya chakula)[/FONT]
[FONT=georgia, serif]
[/FONT]
[FONT=georgia, serif] Utaacha na vile vyakula vikali kama tulivyoongea awali[/FONT]
[FONT=georgia, serif][/FONT]
[FONT=georgia, serif]Tahadhari [/FONT]
[FONT=georgia, serif]Unapotumia dawa hususan flagyl (ambazo nimekuandikia) usitumie pombe yeyote inakuwa ni sumu kali[/FONT]
[FONT=georgia, serif]Utapokua na suala la ziada tumia hii personal E mail[/FONT]
[FONT=georgia, serif]
[/FONT]
[FONT=georgia, serif]If like it let me know[/FONT]
[FONT=georgia, serif]Thank you [/FONT]
[FONT=georgia, serif]Li[/FONT]
[FONT=georgia, serif]
[/FONT][FONT=georgia, serif]
[/FONT]

mkuu I like it sema hyo e-mail haionekani
 
Nashukuru sana kwa mchango wako hakika mchango wako siyo kidogo kwangu ni mkubwa sana asante sana na kuhusu dawa ya kuponyesha nilikuwa naomba mawasiliano yako sababu naihitaji sana mawasiliano yangu ni e-mail ni luzubamkono@yahoo.com
simu ni 0763692416

Kwa heshima Na taadhima tunamwomba aje hapa kwa Uzi mwingine atupe somo la dawa za kuponyesha ulcers, it will be a very best help Na MUNGU atamjazi mengi.
 
mkuu tafuta mafuta ya kondoo pamoja na asali, ni dawa nzuri sana,
mimi nilikuwa na tatizo hilo nimetumia kwa muda wa wiki moja na nusu tu namshukuru mungu nilipona,
 
Habarini wanajamii forums nilitaka kujua ukiondoa dagaa na maharage ni vyakula gani vingine ambavyo mgonjwa wa ulcers hatakiwi kula na pia kwa nini hvyo harusiwi kula?
Kingine nilitaka kujua dawa inayotibu ulcers

Ok,nami si vibaya nikatoa mchango wangu kwani tunalenga kusaidiana.
niaze kwa kutoa sayansi kidogo kuhusiana na ugonjwa wa ulcers.

peptic ulcers ni tatizo linalotokana na ongezeko kubwa la kiwango cha tindikali (acid) tumboni.hii husababishwa na vitu vingi vikiwemo vifuatavyo
1.Tatizo la ini.Ini ni ogan kubwa kuliko zote katika mwili wa binadamu na moja ya kazi ya ini ni kutengeneza nyongo(alkali au base) kwa ajili ya kusawazisha (balance) kiwango acha tindikali tumboni.kunapotokea tatizo katika uzalishaji wa bile then acid tumboni inaongezeka kwa kiwango kikubwa na kuunguza kuta za tumbo na kusababisha vidonda.
2.stress.hizi huongeza uzalishaji wa acid tumboni na kusababisha mtu kuwa na vidonda vya tumbo
3.bactreria waitwao Helicobacter pylori.hawa ni wadudu wanabadilisha mazingira ya tumbo na kusababisha kiwango kingi cha acid kuwepo kwenye tumbo na hatimaye kusababisha vidonda
4.matatizo ya homoni kama watu wanaokuwa na kiwango kikubwa cha homoni iitwayo gastrin.hii husababisha uzalishaji wa gastric juices kuongezeka na hatimaye ina upset the balance btn acid and base in the stomach mfano ni kwa watu wenye zolinger elison syndrome.
5.overstimulation of the vagus nerve.hii ina receptors za histamine ambazo huongeza kiwango cha gastrin na kuongeza uzalishaji wa acid na kusababisha ulcers

kwa kifupi pamoja na kuwa lugha imechanganywa sana lakin ndicho kinachotokea kwa hawa wenzetu wenye tatizo hili.Hivyo katika matibabu yetu lazima tuangalie kwa kina haya yanayosababisha hili tatizo na options tulizo nazo ni kama zifuatazo
1.avoid stress.learn how to cope with life stress
2.Avoid protein diets,KAMA MAHARAGE, kumekuwa na watu wakisema watu wenye vidonda vya tumbo watumie mmaziwa.ok,kwa kutumia maziwa una pata temporal relief lakin maziwa yana madin ya calcium ambayo ni second messenger in production of gastrin hivyo inaongeza tatizo na si kupunguza kama inavyofikiriwa.
4.Tumia dawa zinazozuia uzalishaji wa acid tumboni.Hizi tunazigawa katika makundi mawili.kundi la kwaza ni zile zinazo zuia uzalishaji wa homoni iitwayo gastrin hiz huitwa histanine receptor blockers kama cimetidine,ranitidine na kundi la pili ni zile zinazo zuia utoaji wa acid kwenye blash borders of the gastric lumen in the parietal cells hizi huitwa proton pump inhibitors kama omeprazole,pantoprazole,rabeprazole na nyinginezo.
5.Tumia broad spectrum antibiotics amabzo zinakava both aerobes anaerobes na gram negatives kama metronidazole bt with this dont drink any alcoholic drink,na pia ongeza dawa inayo kava gram positives ambapo unaweza kutumia amoxycillin na kama upo allergic to penicillins tumia clarithromycin.kuyarahisisha maisha,ukienda pharmacy ukimwambia mhudum akupe oligo kit atakupa combination ya hizo dawa zote kwa ajili ya vidonda vya tumbo.
Ndugu zandu tujali afya zetu tusifanye mzaha na vidonda vya tumbo madhara yake ni makubwa ikiwemo gi perforation,gi cancers,oesophageal cancers na mengine mengi na haya yote hutokea baada ya mtu kukaa na vidonda vya tumbo kwa muda mref na kusababisha mabadiliko ya cell (metaplasia) and the cells takes an abnormal course in their growth.
pamoja na kuwa hizi dawa ni zuri na zinafaa sana kwa kuangalia namna zinavofanya kaz lakin hatujaona dawa zinazo saidia ini likiwa na tatizo na pia on their own they have side effects though i dont discourage its use but its better we try a more natural way to maintain,promote and support our health.I have my option that is scientifically proven and it real works targeting ALL the potential sites that go wrong in patients with PUD and duodenal ulcers
OPtion yangu ni gharama kidogo lakin ni ya asili na haina madhara yoyote.muhitaji anitumie private message au anitumie ujumbe kupitia email kisonga2005@gmail.com Uwezo wangu wa kuchangia umeishia hapa.ENJOY.
 
pamoja sana kaka
 
mkuu tafuta mafuta ya kondoo pamoja na asali, ni dawa nzuri sana,
mimi nilikuwa na tatizo hilo nimetumia kwa muda wa wiki moja na nusu tu namshukuru mungu nilipona,

kaka haya mafuta unayapataje unachemsha ile nyama ya kondoo au yanauzwa msaada plz
 
Habarini wanajamii forums nilitaka kujua ukiondoa dagaa na maharage ni vyakula gani vingine ambavyo mgonjwa wa ulcers hatakiwi kula na pia kwa nini hvyo harusiwi kula?
Kingine nilitaka kujua dawa inayotibu ulcers

Lishe ya mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, unapaswa kujiepusha na tabia ya kula na kushiba kupita kiasi, kwa sababu kushiba sana huchochea uzalishaji wa asidi nyingi wakati wa usagaji chakula tumboni.

Mbali na hilo, vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi na vyenye kiwango kidogo sana cha kamba lishe, imethibitika kuwa husababisha madhara mengi tumboni. Katika makala ya leo, tutaangalia aina ya vyakula anavyopaswa kula au kuviepuka mgonjwa ili kupata nafuu na kuishi bila kusumbuliwa nao:

VYAKULA VYENYE VIUNGO VINGI
Epuka ulaji wa vyakula vilivyopikwa na kuungwa viungo vingi vya aina mbalimbali, kama vile pilipili kali za aina zote na viungo vingine vyenye ladha ya ukali ambavyo hutiwa ndani ya mboga ama chakula ili kuongeza ladha.

POMBE NA KAHAWA
Pombe na kahawa au vinywaji vingine vyenye ‘caffeine', vinaweza kuleta matatizo kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo na kwa mtu asiye navyo anaweza kupatwa na tatizo, hivyo ni vyema kuepuka au kutumia kwa kiasi kidogo vinywaji hivi. Kimsingi vinywaji hivi huongeza asidi tumboni na hivyo vinaweza kusababisha vidonda au kuzidisha maumivu kwa anayeumwa.
ULAJI CHUMVI
Utafiti uliowahi kufanywa nchini Marekani umeonesha kuwepo kwa uhusiano kati ya ulaji chumvi na vidonda vya tumbo. Mgonjwa anashauriwa kuepuka ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi, hususan vyakula vya kusindika ambavyo huwekwa chumvi nyingi ili visiharibike haraka. Pia jiepushe na kuongeza chumvi kwenye sahani wakati wa kula.

MAFUTA YA SAMAKI
Baadhi ya utafiti unashauri wagonjwa wa vidonda vya tumbo wale mafuta yatokanayo na samaki (Omega-3 fats) ambayo yameonekana kutoa ahueni kwa wagonjwa. Na kwa mtu ambaye si mgonjwa atakuwa anajiwekea kinga dhidi ya vidonda vya tumbo na magonjwa mengine ya tumbo.

VITAMINI NA MADINI
Ulaji wa vyakula vyenye madini na vitamini kwa wingi husaidia sana kuleta ahueni kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo na kutoa kinga kwa wale ambao hawajaathirika. Wataalamu wa lishe wanashauri kupenda kula matunda na mboga za majani kama vile karoti, juisi ya kabeji, ndizi mbivu, na matunda mengine yenye vitamin C, halikadhalika maziwa ya mbuzi, jibini na cream za maziwa huleta ahueni.
STAILI YA MAISHA NA VIDONDA VYA TUMBO
Licha ya kusabisha Saratani, uvutaji sigara pia huongeza hatari ya mtu kupatwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, hivyo ni sababu tosha ya kuacha uvutaji sigareti. Japo msongo wa mawazo unaweza kuwa vigumu kuuhusisha moja kwa moja na vidonda vya tumbo, lakini maisha ya wasiwasi, ukichangaya na ulaji mbovu, huweza kusababisha ugonjwa huu, hivyo kama unataka kujiepusha au kupunguza makali ya ugonjwa huu, ni muhimu kuzingatia ulaji sahihi na kuishi maisha ya furaha.
............................ Mkono luzuba
 
Last edited by a moderator:
Lishe ya mgonjwa wa vidonda vya tumbo
Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, unapaswa kujiepusha na tabia ya kula na kushiba kupita kiasi, kwa sababu kushiba sana huchochea uzalishaji wa asidi nyingi wakati wa usagaji chakula tumboni.

Mbali na hilo, vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi na vyenye kiwango kidogo sana cha kamba lishe, imethibitika kuwa husababisha madhara mengi tumboni. Katika makala ya leo, tutaangalia aina ya vyakula anavyopaswa kula au kuviepuka mgonjwa ili kupata nafuu na kuishi bila kusumbuliwa nao:

VYAKULA VYENYE VIUNGO VINGI
Epuka ulaji wa vyakula vilivyopikwa na kuungwa viungo vingi vya aina mbalimbali, kama vile pilipili kali za aina zote na viungo vingine vyenye ladha ya ukali ambavyo hutiwa ndani ya mboga ama chakula ili kuongeza ladha.

POMBE NA KAHAWA
Pombe na kahawa au vinywaji vingine vyenye ‘caffeine’, vinaweza kuleta matatizo kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo na kwa mtu asiye navyo anaweza kupatwa na tatizo, hivyo ni vyema kuepuka au kutumia kwa kiasi kidogo vinywaji hivi. Kimsingi vinywaji hivi huongeza asidi tumboni na hivyo vinaweza kusababisha vidonda au kuzidisha maumivu kwa anayeumwa.
ULAJI CHUMVI
Utafiti uliowahi kufanywa nchini Marekani umeonesha kuwepo kwa uhusiano kati ya ulaji chumvi na vidonda vya tumbo. Mgonjwa anashauriwa kuepuka ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi, hususan vyakula vya kusindika ambavyo huwekwa chumvi nyingi ili visiharibike haraka. Pia jiepushe na kuongeza chumvi kwenye sahani wakati wa kula.

MAFUTA YA SAMAKI
Baadhi ya utafiti unashauri wagonjwa wa vidonda vya tumbo wale mafuta yatokanayo na samaki (Omega-3 fats) ambayo yameonekana kutoa ahueni kwa wagonjwa. Na kwa mtu ambaye si mgonjwa atakuwa anajiwekea kinga dhidi ya vidonda vya tumbo na magonjwa mengine ya tumbo.

VITAMINI NA MADINI
Ulaji wa vyakula vyenye madini na vitamini kwa wingi husaidia sana kuleta ahueni kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo na kutoa kinga kwa wale ambao hawajaathirika. Wataalamu wa lishe wanashauri kupenda kula matunda na mboga za majani kama vile karoti, juisi ya kabeji, ndizi mbivu, na matunda mengine yenye vitamin C, halikadhalika maziwa ya mbuzi, jibini na cream za maziwa huleta ahueni.
STAILI YA MAISHA NA VIDONDA VYA TUMBO
Licha ya kusabisha Saratani, uvutaji sigara pia huongeza hatari ya mtu kupatwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, hivyo ni sababu tosha ya kuacha uvutaji sigareti. Japo msongo wa mawazo unaweza kuwa vigumu kuuhusisha moja kwa moja na vidonda vya tumbo, lakini maisha ya wasiwasi, ukichangaya na ulaji mbovu, huweza kusababisha ugonjwa huu, hivyo kama unataka kujiepusha au kupunguza makali ya ugonjwa huu, ni muhimu kuzingatia ulaji sahihi na kuishi maisha ya furaha.
............................ Mkono luzuba

asante sana kaka nitazingatia hayo
 
Last edited by a moderator:
Nawausieni wote wenye haya Maradhi Sclerosis, Colitis, Lupus, Rheumatoid Arthritis, Cancer, Hepatitis, Pancreatic insufficiency, Psoriasis, Eczema, Diabetes and Herpes. Ikiwa umekwenda hospitali kutumia Dawa na bado hujapona unaumwa ,Basi kunywa mkojo wako kila siku Asubuhi glasi moja kabla Hujala kitu kwa muda wa siku 10 maradhi yako yatakuwa yamekwisha pona jaribu kisha unipe Feedback.
 
Kuna mhindi mmoja namjua anatumia hii dozi
 
Wachina huitumia hii dozi toka kitambo na huwatibu ingawa sijawai fuatilia kama Ulcers inclusive
 
Waambie wewe Mkuu maana hii dawa inatibu maradhi mengi tu mkuu Emanuel Makofia
Wachina huitumia hii dozi toka kitambo na huwatibu ingawa sijawai fuatilia kama Ulcers inclusive
Mkuu ungewauliza kwanini wanakunywa mkojo? Ninafikiri ungepatamajibu mazuri si ingine ukimuona mtu anafanya kitu chochote wewe hukijuwi muulize upate faida zake mkuu.. Njowepo
uwiiii jamani ...
mkuu kama una maradhi mojawapo ya hapo juu jaribu tu kunywa mkojo wako mwenyewe hauna madhara yoyote yale FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
Mzizi walinambia magonjwa zaidi ya kumi ila Ulcers hawakuniambia na ilikuwa kitambo miaka ya 80 wakati Ulcers sio issue sana
 
Back
Top Bottom