Inapatikana phamacy?Ambition plus,
Pia kapendekeza matumizi ya tangawizi, kitunguu swaumu, mtindi, apple vinega, green tea, kabichi, embe tamu (nyuzi nyuzi ni muhimu) asali. Lakini nikigusa asali tumbo linavurugika vibaya sana,
Hapo sikushauri mkuu, hivyo vitu alivyokushauri huyo mpendwa sio rafiki kabisa kwa hali yako.Tumia dawa inaitwa Altapham Syrup chupa moja kwanza halafu ulete mrejesho,tumia mpaka umalize chupa kutokana na maelezkezo ya mfamasia au Daktari, kisha nitakushari zaidi nini cha kufanya.
Ndio mkuu...
Pole sana mkuu, mimi namfahamu mtu ambaye alikua kwenge stage mbaya sana ya vidonda alikua hawezi kula nyama, maharage etc akatumia dawa fulani ya kienyeji aisee sasa hivi anakula nyama na maharage ana feel amepona japo hajaenda kuconfirm hospitali.
Unapata kiungulia?
Hayo ni madonda ya tumbo mkuu
Punguza stress inachangia kulika kwa ukuta wa tumbo zingatia kutokutumia vyakula ulivyo ambiwa na daktar pia incase yahao h. pyroli ilikuwamaliza jalibu kutafuta antibiotics za uk zipo vizur sanaNina vidonda vya tumbo dose nishamaliza ila bado nipo in stress nahisi kama sijapona maumivu yapo vilevile nifanye nimetumia heligo two boxes.
Sent using Jamii Forums mobile app