Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mkuu,
Kabla ya kuanza tiba ni lazima ujue hivyo vidonda vya tumbo vimesababishwa na nini. Ukishajua hapo ndio unaweza kupata tiba itakayokusaidia.
Vidonda vya tumbo kwa kawaida husababishwa na chanzo kimojawapo au vyote viwili:
• Helicobacter pylori
• Acids
Fika kituo cha afya kilicho karibu na wewe ili wakupime, wajue chanzo cha tatizo ili pia upate tiba sahihi.
Kumbuka, kujua chanzo sahihi cha tatizo kutapelekea kupata tiba sahihi na hivyo kupona kabisa.
Kila la kheri Mkuu.