Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu,

Kabla ya kuanza tiba ni lazima ujue hivyo vidonda vya tumbo vimesababishwa na nini. Ukishajua hapo ndio unaweza kupata tiba itakayokusaidia.

Vidonda vya tumbo kwa kawaida husababishwa na chanzo kimojawapo au vyote viwili:
• Helicobacter pylori
• Acids

Fika kituo cha afya kilicho karibu na wewe ili wakupime, wajue chanzo cha tatizo ili pia upate tiba sahihi.

Kumbuka, kujua chanzo sahihi cha tatizo kutapelekea kupata tiba sahihi na hivyo kupona kabisa.

Kila la kheri Mkuu.
 
Ambition plus,
Pia kapendekeza matumizi ya tangawizi, kitunguu swaumu, mtindi, apple vinega, green tea, kabichi, embe tamu (nyuzi nyuzi ni muhimu) asali. Lakini nikigusa asali tumbo linavurugika vibaya sana,

Hapo sikushauri mkuu, hivyo vitu alivyokushauri huyo mpendwa sio rafiki kabisa kwa hali yako.Tumia dawa inaitwa Altapham Syrup chupa moja kwanza halafu ulete mrejesho,tumia mpaka umalize chupa kutokana na maelezkezo ya mfamasia au Daktari, kisha nitakushari zaidi nini cha kufanya.
Inapatikana phamacy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa gani hiyo bro na Sisi tunaomba msaada
Pole sana mkuu, mimi namfahamu mtu ambaye alikua kwenge stage mbaya sana ya vidonda alikua hawezi kula nyama, maharage etc akatumia dawa fulani ya kienyeji aisee sasa hivi anakula nyama na maharage ana feel amepona japo hajaenda kuconfirm hospitali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daktari aliniambia, kula kwa wakati, Mara ya kwanza nilikuwa na H.pyrol, Sasa Nina gastritis! Ngoja nifate formula kula kwa wakati
 
Ni week sasa nasumbuliwa na tumbo, hapo awali nilidhani ni tumbo la kawaida kiukweli sina kawaida ya kwenda kupima, nilimeza Flagly sikupata nafuu, kwakuwa napenda kula kachumbari nikasema yawezekana typhoid kama kawaida nikatufata Ciproflaxin bado patupu, nikaona nitafute dawa za minyoo kwakuwa sikumeza muda mrefu bado pia sikupata nafuu.

Tumbo linauma kwa juu (katikati ya mbavu). Kuuma kwake ni kama linavuta na kuachia,( linafanana na lile tumbo la njaa) nikila chakula linatulia kidogo na kuanza tena.

Sasa yamenishinda, msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina vidonda vya tumbo dose nishamaliza ila bado nipo in stress nahisi kama sijapona maumivu yapo vilevile nifanye nimetumia heligo two boxes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo tatizo lilishawahi kunipata miaka 8 iliyopota na likadumu kwa miaka 3, nilitumia dawa sikupona ila nikabidi niepuke vyakula vyenye kemikali nyingi(vyenye kuleta gas tumboni) now nimepona ni mwaka wa 5 huu niko viti na nnakula vyakula vyote na pombe natumia pia.

Nb: zinatia kula chakula kwa wakati hii ni tiba tosha
 
LIKE,
Hapana, huu sio sutaarabu ndugu, tuache masiala if we cant be positive basi aty least tuwe quiet. si lazima kupost kitu ambacho kitafedhehesha
 
kuna matapeli pia wanakutamani nahisi wameshakuja inbox kwahiyo kuwa makini unaweza ukageuzwa fursa
 
Nina vidonda vya tumbo dose nishamaliza ila bado nipo in stress nahisi kama sijapona maumivu yapo vilevile nifanye nimetumia heligo two boxes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza stress inachangia kulika kwa ukuta wa tumbo zingatia kutokutumia vyakula ulivyo ambiwa na daktar pia incase yahao h. pyroli ilikuwamaliza jalibu kutafuta antibiotics za uk zipo vizur sana
 
Back
Top Bottom