Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Likiwa tamu sana halizuru ila yale machachu noma yana acid nyingi
<br />
<br />

>SAFI, JIBU ZUR.
Chungwa lina Tindikali/Acid nyingi.
>Tindikali si nzur kwa watu wenye magonjwa ya tumbo/ULCERS kwani inazuia uzalishaji wa kimiminika/mucus chenye kazi ya kuzuia msuguano/abbrassion
hivyo basi uongeza tatizo zaidi.
>SI CHUNGWA PEKEE, BALI Kunavyakula vingi vyenye tindikali.
Mf:Maharagwe,Matunda yaliyomengi yana tindikali mf:Limau,Zabibu,nyanya,mnanasi,n.k pia kunabaadhi ya samaki.
>
 
usijaribu, chungwa halifai kbs liwe bichi au limeiva sana lina acid mbaya
 
ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwaka wa 3 sasa,nimeshatumia dawa mbalimbali ili hazijanisaidia.Sasa hivi ninatumia heligo kit.,dawa hii ni kali sana nahis uchovu,kichwa kinauma na nahis kama kuna kitu kinavuta kwa ndani eneo nililokuwa nasikia kiungulia(heart burn).Je hiz ni side effect za dawa?na siku yapili leo bado siku tano nimalize dose.Naomba maelezo kwa waliowah kutumia dawa hizi au docta yeyote anayejua side effects za dawa hizi mana zinanikatisha tamaa na hali zinayonipa.Asante.
 
Pole! Currently oligo kit should contain clarithromycin,amoxycillin and any of the Pi's eg omeprazole! Are u on that? Pm me for a brief talk of ur situation.
 
Mkuu Tumaah Hiyo Dawa unayotumia iache kuitumia kama inakuletea madhara. Nikupe Dawa ya kutumia kwa muda wa siku 10 utakuwa umeshapona hivyo vidonda vyako vya Tumbo? Je utaweza kutumia Mkojo wako mwenyewe asubuhi kabla ya kula kitu ukaukinga mkojo wako mwenyewe kipimo cha glasi 1 ukanywa kwa muda wa siku 10 baada ya huo muda nenda Hospitali ukapime hivyo Vidonda vyako vya tumbo utakuta umekwisha pona nina kuhakikishia kwa asililmia 100%100 ukifanya hivyo utapona ukiweza jaribu kutumia kisha unipe Feedback. Hakuna Dawa Hospitali yenye kuponyesha Vidonda vya Tumbo.
 
Last edited by a moderator:
Pole! Currently oligo kit should contain clarithromycin,amoxycillin and any of the Pi's eg omeprazole! Are u on that? Pm me for a brief talk of ur situation.
Thnx,heligo ninayotumia ina lansoprazole,tinidazole na clarithromycin pamoja na ant acid Relcer gel.
 
Mmh mkojo..!!!??,niliambiwa na doctor ninabacteria wanaoitwa h.pylori na ndio wanasabisa vidonda,hivyo ili nipone inabidi wauliwe kwa antibiotic,sasa je mkojo unaweza kuwauwa?,na doctor alisema pia wadudu hao niwagum sn kufa.Ila asante sana kwa ushaur wako maana nimeshatumia dawa nying sn bila mafanikio.,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tumaah Kama Doctor kashindwa kuwauwa hao wadudu kwa dawa za hospitali mimi nitawauwa kwa dawa zangu za kienyeji nitawauwa hao

Bacteria wakitaka au wasitake tumia huo Mkojo kila siku asubuhi unapoamka kabla ya kula au kunywa kitu nenda zako chooni kojoa mkojo wako mwenyewe ukinge kipimo cha glasi moja unywe kisha kaa baada ya saa moja kunywa tena dawa moja inaitwa shubiri

inapatikana Hapo karibu na Sokoni Kariakoo mtaa wa pemba wanakouza dawa za kiarabu Wapemba waulize Shubiri watakupatia ukisha pata hiyo shubiri njoo nayo nyumbani matumizi yake fanya hivi:uikate kidogo kidogo kwa kipimo cha size ya punje 1 ya

mtama ikifika usiku hiyo shubiri size ya punje ya mtama uitie ndani ya nusu glasi ya maji ya kunywa uiroweke usiku kucha asubuhi baada ya saa 1 kupita kwisha kunywa ule mkojo wako kunywa tena hiyo shubiri itakusaidia kuwauwa hao wadudu wa

Bacteria wa h.pylori unywe hiyo dawa ya shubiri kama nilivyokueleza matumizi yake hapo juu, kwa muda wa siku 3 mfululizo siku ya 4 acha usinywe hiyo dawa ya shubiri siku ya 5 inayofuatia endelea kunywa mpaka siku 8 ikifika siku hiyo 8 malizia kunywa usinywe tena siku inayofuata itakuwa teyari wamesha kufa hao wadudu malizia Dawa yako ya mkojo siku hizo 10 baada ya siku

10 nenda kapime kwa Daktari utakuta huna tena Vidonda vyako vya Tumbo ukiniamini fanya hivyo hukuweza kuniamini shauri yako pole sana.Usiogope Hiyo Shubiri ni chungu na ukiitumia itakuletea kupata choo hata kama choo hupati kwa urahisi itakusaidia kupata choo kiurahisi. Tumia dawa zangu baada ya siku 10 kupita njoo hapa unipe Feedback. Chanzo.MziziMkavu


Shubiri au kwa lugha ya kiingereza Aloe Vera Gum.
 
Asante sn ndg yangu nimekuelewa na nitaufanyia kaz ushaur wako.Asante sana na MUNGU AKUBARIKI kwa somo zur ulilonipa.
 
Asante sn ndg yangu nimekuelewa na nitaufanyia kaz ushaur wako.Asante sana na MUNGU AKUBARIKI kwa somo zur ulilonipa.
Mkuu Tumaah Uwe muangalifu unapotumia Dawa zangu nlilzokupa hapo juu usitumie dawa yoyote ile ya hospitalini maliza kutumia hizo dawa zangu 2 moja hiyo ya mkojo wako mwenyewe na ya pili hiyo dawa ya shubiri ukimaliza kutumia nenda Hospitali kapime hivyo Vidond vyako vya tumbo kisha uje hapa unipe Feedback baada ya siku 10 utakuwaumekwisha pona kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana,nimekuelewa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hao wadudu wanauawa na antibiotics hasa Amoxicilin.Dose ya Amoxicilin kwa wiki moja au mbili inatibu kabisa hao wadudu.Kwa uhakika wa ninachokwambia google utaona
 
Mkuu LEE VAN CLEEF Yes i'm Sure why not?

Mkuu Mzizi mkavu hii prescription yako nafikiri ungetuelezea mode of action la sivyo dada yetu Tummah unaweza kumletea matatizo zaidi. Nimetafakari sana namna ya kumsaidia tofauti na wewe unavyopendekeza lakini naona ajaribu kutupia contact zake humu niangalie namna ya kumsaidia. I am not hiding anything but only an 'ethical issue'
 
Wewe Kyodowe unavyofikiria ninampa negative advise huyo dada yenu.@Tummah? Towa na wewe ushauri wako sio kuleta hoja za kupinga hapa tafadhali sana.

Amesha sema Tummah ametumia dawa za aina mbali mbali hajapona sasa mimi nimempa
ushauri wa kutumia dawa zangu wewe unaleta hoja ya kupinga hapa? Lete na wewe ushauri wako sio
kuleta hoja ya kupinga hapa? tunataka mtoe dawa itakayo mmtibu bibie Tummah vidonda vya tumbo isyokuwa na madhara sio kuleta mambo ya kupinga pinga hatupo kwenye kikao cha

mambo ya kupinga pinga hapa tupo kumsaidia bibie Tummah ili aweze kupona kama nimekukwanza unisamehe.

 
Last edited by a moderator:



Asante sana umenisaidia na mimi pia , nitafanya hivo kisha nitaleta feedback kwako, ukishaunywa unatakiwa ukae muda gani ndio ule chakula chochote?
 
Kaa mda wa lisali moja tu,then upua chochote unachosikia mdomoni

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asante sana umenisaidia na mimi pia , nitafanya hivo kisha nitaleta feedback kwako, ukishaunywa unatakiwa ukae muda gani ndio ule chakula chochote?
Mkuu Lateni Ukisha kunywa mkojo wako unatakiwa ukae

baada ya saa moja kupita ndio waweza kula chakula chochote kile. Lakini Mkojo wenyewe uwe wa Asubuhi kabla ya wewe

kunywa kitu unapo amka tu wewe nenda chooni kakinge mkojo wako kipimo cha Glasi 1 kisha unywe kila siku kwa muda

wa siku 10 kisha nenda Hospitali ukapime hivyo Vidonda vyako vya tumbo. Nina kuhakikishia utakuwa umekwisha pona

kabisa Huna tena Vidonda vya tumbo kwa asilimia 100&100 utapona tumia kisha uje unipe Feedback.

chanzo.https://www.jamiiforums.com/jamii-p...ako-mwenyewe-kama-huyu-nyani-anavyofanya.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza.html
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…