T.Mwambungu
Senior Member
- Jan 25, 2013
- 198
- 43
<br />Likiwa tamu sana halizuru ila yale machachu noma yana acid nyingi
<br />
>SAFI, JIBU ZUR.
Chungwa lina Tindikali/Acid nyingi.
>Tindikali si nzur kwa watu wenye magonjwa ya tumbo/ULCERS kwani inazuia uzalishaji wa kimiminika/mucus chenye kazi ya kuzuia msuguano/abbrassion
hivyo basi uongeza tatizo zaidi.
>SI CHUNGWA PEKEE, BALI Kunavyakula vingi vyenye tindikali.
Mf:Maharagwe,Matunda yaliyomengi yana tindikali mf:Limau,Zabibu,nyanya,mnanasi,n.k pia kunabaadhi ya samaki.
>