Me nilisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka kumi nikakutana na hizi chinese traditional medicine nikatumia kwa siku 45 nikapona hadi leo hii sijaumwa tena vidonda vya tumbo na nimeenda kupima wakaniambia sina namshukuru Mungu
kwa msaada na maelezo zaidi wasiliana nao kwa 0758768855 watakusaidia naimani wapo mwenge mkuu
nakutakia mauguzi mema mdau
Mimi vimenikausha kabisa sasa,na bahati mbaya sana watu wengi wameugeuza ugonjwa huu kuwa mtaji wao kitapeli,kila mganga njaa anasema anatibu,lakini wapi,nimeshamezeshwa mpaka maharamu lakini sijapona bado,japo vimepunguza makali tena baada ya kuachana na midawa ya kubambikiwa,sina tena imani na hayo madawa ya kwenye tv,mama yangu alipiga Dozi nne za ile dawa ya buguruni sheli lakini wapi! Alikuja pona baadaye sana,tena ni baada ya kuachana na madawa hayo,akh.
Hamnaga dawa ya kuondoa vidonda vya tumbo zaidi ya kufuata masharti tuu.
​nimezitumia hizo dawa vichupa 10 ila baada ya wiki kadhaa vikaanza tena nikaamua nirudi kwenye omeprazole tsh 1000/= dozi alafu zinasaidia sana tuu wakati netragen ni tsh 5000/kichupa
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.
Kwakweli hiyo dawa mimi imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.
Kwakweli hiyo dawa mimi imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!
Kwakweli hiyo dawa mimi
imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu
ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!