Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Me nilisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka kumi nikakutana na hizi chinese traditional medicine nikatumia kwa siku 45 nikapona hadi leo hii sijaumwa tena vidonda vya tumbo na nimeenda kupima wakaniambia sina namshukuru Mungu
kwa msaada na maelezo zaidi wasiliana nao kwa 0758768855 watakusaidia naimani wapo mwenge mkuu
nakutakia mauguzi mema mdau
 
Mimi vimenikausha kabisa sasa,na bahati mbaya sana watu wengi wameugeuza ugonjwa huu kuwa mtaji wao kitapeli,kila mganga njaa anasema anatibu,lakini wapi,nimeshamezeshwa mpaka maharamu lakini sijapona bado,japo vimepunguza makali tena baada ya kuachana na midawa ya kubambikiwa,sina tena imani na hayo madawa ya kwenye tv,mama yangu alipiga Dozi nne za ile dawa ya buguruni sheli lakini wapi! Alikuja pona baadaye sana,tena ni baada ya kuachana na madawa hayo,akh.
 
Isije ikawa wewe mwenyewe ndio muuzaji unajipigia promo, ok Weka namba ya simu basi .
 
Tuamini vipi kwamba dawa yako inatibu vidonda vya tumbo na wakati hujatuambia mpaka sasa imesaidia watu wangapi,. Je ina ubora kwa matumizi ya binadamu?

Je mamlaka ya chakula na dawa TFDA wameruhusu dawa yako itumike?

Siku hizi tatizo la vidonda la tumbo limegeuzwa dili na kila mtu, kila mtu anasema anatibu vidonda vya tumbo lakini wapi!!!

Dawa yako isiponisaidia uko tiyari kunirejeshea fedha zangu?

Kama upo tiyari ni-PM mkuu,.
 
Mimi vimenikausha kabisa sasa,na bahati mbaya sana watu wengi wameugeuza ugonjwa huu kuwa mtaji wao kitapeli,kila mganga njaa anasema anatibu,lakini wapi,nimeshamezeshwa mpaka maharamu lakini sijapona bado,japo vimepunguza makali tena baada ya kuachana na midawa ya kubambikiwa,sina tena imani na hayo madawa ya kwenye tv,mama yangu alipiga Dozi nne za ile dawa ya buguruni sheli lakini wapi! Alikuja pona baadaye sana,tena ni baada ya kuachana na madawa hayo,akh.

mkuu nakuelewa sana kumbuka madaktari wanaojiita madaktari wenye viofisi vyao na dawa mbadala hazikuwahi kufanyiwa research pia hata TFDA hawazijui sasa ni dhahiri kabisa ukitumia upone kwa bahati au usipone maana ukiuliza huo mchanganyiko uko kwa quantity gani hakijulikani hivyo ni lazima uwe makini na dawa za miti shamba
huyu mwenye dawa dawa zake ni za kimataifa na zimepitishwa na TFDA na ziko kwenye mfumo wa vidonge sio miziz ukafhemshe au maji laaahhh hasha ni vidonge

Nawakilisha
 
Ndizi mbivu ni dawa mbadala(google utaona-umuhimu wa ndizi)
 
Nipo tayari kutoa bure. Mimi ni engineer si mganga. Dawa nimeelekezwa nachimba na kuchemsha. 0767386011
 
Kaka nina shughuli zangu za kuniingizia kipato. 0767386011. Malipo hayo ni ya mke wangu akuchimbie na kuchemsha
 
Hamnaga dawa ya kuondoa vidonda vya tumbo zaidi ya kufuata masharti tuu.
​nimezitumia hizo dawa vichupa 10 ila baada ya wiki kadhaa vikaanza tena nikaamua nirudi kwenye omeprazole tsh 1000/= dozi alafu zinasaidia sana tuu wakati netragen ni tsh 5000/kichupa

Asante kwa ushauri makini !
 
kuna mixture of antibiotics ambazo uki2mia mambo yanakuwa poa.cna info nyingi kuhusiana effectiveness ya netragen.xo no comment on t
 
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.

Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA haidrokloriki asidi ili kuuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujameza chakula. INAPUNGUZWAJE MAKALI? kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Jaribu hivyo kwa wiki 2 mfululizo, ni bure tu kisha unipe feedback
 
vidonda vya tumbo ni gesi kuzidi tumboni pamoja na acid, uki control hivyo umepona
 
mimi nilitumia netragen miezi miwili ilinisaidia mana inalainisha choo na kupunguza acid kwa kiwango kikubwa sana
 
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.
Kwakweli hiyo dawa mimi imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!
 
Kwakweli hiyo dawa mimi imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!

Naomba nisaidie mkuu hiyo netragen inapatikana wapi maana ninavyoteseka na vidonda vya tumbo balaa
 
Kwakweli hiyo dawa mimi
imeniponya nilikuwa na hali mbaya as for now nipo poa, inahitaji nidhamu
ya kutumia. Sasa kuponya mimi sina hakika ila mimi IMENIPONYA!

Ndugu yangu naomba experience yako kuhusu dawa hii maana hata mimi nimeanza kuitumia, ikiwezekana ni pm
 
Hakuna dawa za Hospitali za kutibu vidonda vya tumbo. Dawa zilizopo Mahospitalini ni

za kupunguza Makali ya vidonda vya tumbo. Ukitaka Dawa ya Vidonda vya tumbo fuata

ushauri wangu huu hapa.

Haya natoa Dawa ya Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo kunywa Mkojo wako ( Urine)

mwenyewe glasi moja kila siku kabla hujala kitu Asubuhi kwa muda wa siku 10 kisha

nenda ukapime Vidonda vya tumbo utakuta umeshapona kabısa nınakupa hıyo dawa nı

Garanti. Kabla ya kunywa mkojo wako mwenyewe nenda kapime mkjo wako ili

kuhakikisha huna maradhi ya Zinaa na (UTI) kisha ndio waweza kunywa huo Mkojo

wako mwenyewe kwa muda siku 10 utakuwa umepona chanzo.
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza.html
 
Tumia Rabeprazole, amoxicillin (siku tano), then endelea na rabeprazole, clarithromycin, tinidazole kwa siku tano tena. Baada ya hapo unaweza kumeza omeprazole kwa muda wa mwaka mmoja huku ukifuata mashart mengine. I can assure you that it is effective for 94%.
 
Back
Top Bottom