Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

mwaka mzima unakunywa hizo acid inhibitors aah wapi?hiyo regiment siyo.

Matibabu ya vidonda vya tumbo ni ndani ya siku14 tu.kisha unastop kwa mda kama bado unaanza upya ,
 
Mkuu hapo naona hiyo amoxillin italeta complicaton, hawa h. Pylori ni sensitive to antibiotics inaweza wafanya wawe resistant na kuwa sugu. Mi naona cha maana hapa ni kwenda hospital inayoyoaminika kwanza akapime halafu mengine yafuate.
Ni hatari sana siku hizi kwani ulcers zikiachwa kwa muda mrefu huweza pelekea mtu kupata kansa maeneo ulcers ilipo.
 
Shughuli za wataalamu waachie wenyewe. Huwezi neutralize acid kwa maji, instead una-dilute. Kama hydrochloric acid inazalishwa kwa wingi tumboni kutokana na bacteria hasa helicobacter pylori huwezi ukanywa maji uzalishaji ukarudi normal.
Nenda hospitali kafanye H. Pylori test kama itakuwa positive watakupa Heligo kit itakusaidia sana
 
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.

serikali ilishafungia hawa watu kwa utapeli.
 
mwaka mzima unakunywa hizo acid inhibitors aah wapi?hiyo regiment siyo.

Matibabu ya vidonda vya tumbo ni ndani ya siku14 tu.kisha unastop kwa mda kama bado unaanza upya ,

Jaribu kutafuta kitu kinaitwa sequential Rx of PUD, unajua siku hizi wanasema ile standard Rx ya pud kwa 7days imeanza kupungua effectiveness yake. Jaribu kuisoma hiyo then cum back ili tujadili kuona kama ni reasonable.
 

Mimi mwenyewe ni mtaalamu. Usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza. MAJI NI UHAI, HUJUWI HILO?
 
Nitafute nikupe dawa za vidonda vya tumbo usipopona hela inarudishwa 0758768855
kama watu wa miaka 10-20 wamePona vidonda vya tumbo hata wewe utapona
 
mama yangu kaugua miaka 17 alikuwa wa kufa nilimpeleka peramio hosp alipewa dawa za miezi mitatu kapona mpaka leo ni miaka 11 imepita
 

Kaka hata mim nilikuwa nasumbuliwa na,vidonda vya tumbo na nilihangaika sana kutumia dawa za hospital lakini sikufanikiwa ila kuna mtu anismbia nitafune vitunguu swaumu asubihi,mchana na jion na nikafanya hivyo sasa sijambo kabisa na havinisimbui . vitunguu SWAUMU ni dawa sana tena ulcers zikianza kuuma tafuna vitunguu swaumu linapoa faster
 
Nenda katibu helicobacter pyroli tatizo litakwisha!
 
Vimekuanza lini? je umeshathibitishiwa hospitalini kwamba una vidonda vya tumbo?
 
Ni aina Fulani ya bacteria wanakuwa kwenye tumbo ndio wanasababusha kuongeza kwa stomach acid na kusababisha ulcers.
 

Mkuu hii dawa ni yakweli? Kuna aliewahi kufanya na akapona? Jee kwa imani yetu (uislam) kunywa mkojo (najis) itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…