Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Usiendelee kuteseka tena na vidonda vya tumbo, dawa ya kutibu na vikapona kabisa sasa ipo. Ni ASSA MIXTURE, ndani ya wiki moja tu (kwa vidonda vichanga) na wiki mbili(kwa vidonda chronic). Dosage yake ni 10mls kutwa mara mbili kwa siku 7 hadi 14. Kwa kuwa ni ya maji mgonjwa hunywa kwa kijiko asubuhi kimoja na jioni kimoja. Hufanya kazi kwa kuponya vidonda vya tumbo kupitia kuwezesha njia ya kawaida ya wound healing, na pia huweka ulinzi wa ute "mucus layer" kulinda dhidi ya vidonda vingine. Gharama yake ni shilingi elfu thelathini (30,000/=) tu kwa dozi ya wiki, na elfu sitini kwa wiki mbili. Inapatikana DAR, na wa mikoani utaratibu wa kutumiwa hadi ulipo upo. Mawasiliano 0659528724 au 0768932789.
Nyote mnakaribishwa!
 
Usiendelee kuteseka tena na vidonda vya tumbo, dawa ya kutibu na vikapona kabisa sasa ipo. Ni ASSA MIXTURE, ndani ya wiki moja tu (kwa vidonda vichanga) na wiki mbili(kwa vidonda chronic). Gharama yake ni shilingi elfu thelathini (30,000/=) tu kwa dozi ya wiki, na elfu sitini kwa wiki mbili. Inapatikana DAR, na wa mikoani utaratibu wa kutumiwa hadi ulipo upo. Mawasiliano 0659528724 au 0768932789.
Nyote mnakaribishwa!

naomba muongozo dosage, inatumikaje, na atleast inavyofanya kazi please
 
naomba muongozo dosage, inatumikaje, na atleast inavyofanya kazi please

Dosage yake ni 10mls kutwa mara mbili kwa siku 7 hadi 14. Kwa kuwa ni ya maji mgonjwa hunywa kwa kijiko asubuhi kimoja na jioni kimoja. Hufanya kazi kwa kuponya vidonda vya tumbo kupitia kuwezesha njia ya kawaida ya wound healing, na pia huweka ulinzi wa ute "mucus layer" kulinda dhidi ya vidonda vingine. Karibu sana!
 
Sina Imani na dawa yako. Mara wiki mbili, mara wiki moja. Matapeli mmezidi sana.
 
Sina Imani na dawa yako. Mara wiki mbili, mara wiki moja. Matapeli mmezidi sana.

Tofauti kwenye muda wa matibabu inatokana na mtu amekuwa na vidonda kwa muda gani, yaani muda mfupi (acute) au muda mrefu (chronic). Kwa walioanza kuwa navyo ndani ya miezi sita wiki moja inamtosha kupona kabisa, ila wenye navyo kwa muda mrefu wanahitaji wiki mbili kupona kabisa. Ahsante!
 
Usiendelee kuteseka tena na vidonda vya tumbo, dawa ya kutibu na vikapona kabisa sasa ipo. Ni ASSA MIXTURE, ndani ya wiki moja tu (kwa vidonda vichanga) na wiki mbili(kwa vidonda chronic). Dosage yake ni 10mls kutwa mara mbili kwa siku 7 hadi 14. Kwa kuwa ni ya maji mgonjwa hunywa kwa kijiko asubuhi kimoja na jioni kimoja. Hufanya kazi kwa kuponya vidonda vya tumbo kupitia kuwezesha njia ya kawaida ya wound healing, na pia huweka ulinzi wa ute "mucus layer" kulinda dhidi ya vidonda vingine. Gharama yake ni shilingi elfu thelathini (30,000/=) tu kwa dozi ya wiki, na elfu sitini kwa wiki mbili. Inapatikana DAR, na wa mikoani utaratibu wa kutumiwa hadi ulipo upo. Mawasiliano 0659528724 au 0768932789.
Nyote mnakaribishwa!

Mkuu Magnificient,
Mgonjwa asipopona ndani ya wiki mbili, unamrudishia pesa yake au?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
@ Kamili gado: huyo dr wa huko matembele gharama zake zikoje,nasikia yuko vizuri
 
Rafiki yangu, nimeandika kuwa dozi inatumika siku tatu tu, soma vizuri maelezo hayo. lakini, pia, hiyo natharia yako ya kuwa vidonda vya tumbo haviwezi kutibika kwa siku tatu ina makengeza ya kiutafiti! Nakukaribisha ili uweze kuifanyia utafiti dawa hiyo, maana kuna madaktari wengi waliokuwa na wasiwasi lakini baada ya kuifanyia utafiti kwa wagonjwa wakaziba vinywa vyao!
Uongo kwa mtu mzima sio dili.Donda la kwenye ngozi tu haliwezi kupona kwa siku 3 sembuse la ndani!
 
Nimepimwa kwa kipimo cha endoscopy nikakutwa ninavidonda kwenye ungio kati ya tumbo na mrija unaochukua chakula toka mdomoni dalili zake ni kichefuchefu asubuhi maumivu kifuani mpaka mgongoni.
 
mie nina gas sana je hiyo dawa itanifaa ila sijui kama ni vidonda vya tumbo
 
Hawa matapeli tu, Wanatoa muda mrefu wa kupona hadi unakuja kustukia umeshalipa pesa kibao na wao wamesepa.

Mkuu Bill,
Nakubaliana na wewe washamtapeli sana Bi Mkubwa wangu hao. Sasa hapa tumemuharibia biashara ndo sababu kakimbia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Siku Zote Mtu Ukiwa Mgonjwa Unaweza Ambiwa Ng'ata Divi Utapona Ukang'ata Kweli....
 
Back
Top Bottom