Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Nina dawa ya asili inayotibu vidonda vya tumbo kwa siku14tu ni dawa nzuri sana,inasaidia watu wengimno,kama unaitaji ntafute 0759217720.
Acha uongo bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina dawa ya asili inayotibu vidonda vya tumbo kwa siku14tu ni dawa nzuri sana,inasaidia watu wengimno,kama unaitaji ntafute 0759217720.
Mwenye kufaham dawa ya vidonda vya tumbo.hasa za asili anijuze!
Licorice
![]()
Huu sio mmea wa mbaazi kweli??
Nina mgonjwa wa vidonda vidonda vya tumbo ametumia dawa za hospt kwa muda mrefu nafuu hamna.nimeamua kujaribu tiba mbadala.nimenunua kitabu cha mtalaam fulani yuko Amerika amefanya utafiti wa dawa mbadala na anatibu magonjwa mengi kwa tiba mbadala.kwenye tiba ya vidonda vya tumbo kina maelezo haya-
some bioflavonoids(including quercetin,catechin and apigenin) inhibit the growth of the bacteria(Helicobacter pylori) which causes the ulcers.chamomile contains those bioflavonoids.
licorice has been used for centuries to soothe inflamed and injured portions of the intestinal tract.it increases mucin and fights H.pylori. best to take it in the form of DGL (deglycerinated licorice),which will not increase blood pressure or cause water retention.take 1-2 chewable tablets of GDL 1-2 hours before bedtime.aiso extremely good:marshmallow root.
. st.john's wort and malva both calm the stomach and reduce intestinal irritation.also helpful are bilberry,flax,catnip,goldenseal,bayberry , myrrh and alovera accelerates healing.
also Hops,skullcap and valerian will help you sleep
nimeamua kuweka maelezo hayo ili yasaidie wengi.ombi langu hiyo mimea niliyo iandika kwa rangi ya bluu siijui kwa kiswahili inaitwaje.mwenye kuijua atusaidie kwa kiswahili.karibuni
Mkuu iliyobaki jaribu kuigugo!
Mwenye kufaham dawa ya vidonda vya tumbo.hasa za asili anijuze!

