Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kaka sio kila kitu ni maombi tu, Mchungaji Gwajima pamoja na unguli wake wa "kufufua watu" alishindwa kujiomnea wala kuomnewa na alikimbilia hospital

sio kila kitu ni maombi tu

...when it comes to faith, nothing is impossible to God...!! imani ya Gwajima haikuzuii wewe kupata muujiza wako, yawezekana yeye hakuwa na imani katika hilo, lakini hii haimaanishi Mungu hawezi kumsaidia katika hilo. Labda ni kuulize, kupasua bahari ikawa barabara na kuponya vidonda vya tumbo,lipi jambo kubwa kati ya haya. kama unawaza kama mimi, basi kupasua bahari na watu wakavuka ni jambo kubwa kuliko vidonda vya tumbo....
 
Kwa hiyo kuna magonjwa ya nguvu za giza na ya nguvu za nuru? Nitajuaje kwamba haya magonjwa ni ya nguvu za nuru na haya ni ya nguvu za giza?


 
wakuu napenda kuuliza ivi ugonjwa wamadonda ya tumbo mtoto anaweza kuupata kutoka kwa mama?
msaada kwenu!
 
mkuu ulipata majibu ya mwanzo kuhusiana na tatizo la mpenzi wako?

Kama hujapata basi nikutoe hofu kwamba vidonda vya tumbo haviwezi kupasishwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Tafiti zinaonyesha watu wenye group A la damu wapo kwenye hatari ya kupata gastric ulcers na wale wenye group O wanaweza kupata duodenal ulcer ingawa siyo lazima.
 
Ulcers haina tiba ila ni management tu...kuna vyakula anapaswa kuwacha kabsa...kama kuna nutrition clinic karibu aende apate mafunzo kuhusu management of ulcers
 
harithi moja kwa moja kwa njia genes, bali anaweza akawa na udhaifu fulani ambao utaongeza chance ya yeye kuata hilo tatizo. Hii bado haijawa confirmed scientifically globally.
 
Ulcers haina tiba ila ni management tu...kuna vyakula anapaswa kuwacha kabsa...kama kuna nutrition clinic karibu aende apate mafunzo kuhusu management of ulcers

Ulcers inatibika vizuri sana sema hospital ndio hakuna dawa, anaeumwa ulcers anitafute nampa dawa na anapona kabisa
 
Kama bado hujapona nitafute
 
Kwa wale ambao bado hawajapona vidonda vya Tumbo wanitafute ninayo Dawa ya kuwatibu wakapona ukinihtaji mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 

jamani mi natoa ushuhuda hapa hii ndiyo dawa ya vidonda vya tumbo nilikuwa silali ucku vidonda vikianza kuuma lakini baada ya kuanza kutumia tu maumivu yote yakaisha.saiz nimesahau kabisa maumivu ya vidonda vya tumbo nakula pilipili kama kawaida maharage na vitu vingine. Kwanza haina gharama unatafuta tu izo dawa.mkuu mungu akupe maisha malefu na malefu milele.
 
Vilinisumbua sana, nilitumia pilipili kichaa (kwa kiinglishi inaitwa cayene peper). Katia katia pilipili kama mbili au tatu kwenye chakula chako. Kila siku kwa muda wa mwezi mmoja utaona mabadiliko. Cayene peper ina sifa ya kurepea sehemu iliyoliwa na acid hivyo kupelekea kupona kabisa.
 
Nimeumwa kwa muda wa miaka 13, kifua kinawaka moto sana. Nimeambiwa ni vidonda vya tumbo, dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona?

Dawa yoyote, hata mizizi ni sawa, ntazingatia ushauri.
 
Mkuu ni kama huziamini kabisa dawa zetu za enzi na enzi.... wakati ndo zaukweli na zinatibu haraka zaidi.

Kabla hujatumia dawa yoyote nenda hospitali ukafanyiwe uchunguzi wa afya yako kwanza uwe na uhakika wa tatizo lako.

Kwa wakati huu jizoeshe kunywa supu ya bamia changanya na mafuta ya kondoo kiasi.
Usisahau kunitafta upate dozi kamili.
 
Naunga mkono tiba ya mkojo. Inatibuvitu vingi. Zingatia kunywa mkojo wa kati yaani acha umwagike kidogo ndipo ukinge na ule wa mwisho pia usikinge. Kunywa fresh ule wa mwanzo asbh sana. Kina Ghandi walijua na waliutumia sana!!
 
KLwa Wale ambaoa wasiotaka kujitibia Vidonda vya Tumbo kwa njia ya mkojo wako mwenyewe Dawa ya kuponyesha Vidonda vya Tumbo nimepat kwa mwenye kutaka Dawa anitafute kwa wakati wake ukinitaka bonyez hapa.Mawasiliano
 
KLwa Wale ambaoa wasiotaka kujitibia Vidonda vya Tumbo kwa njia ya mkojo wako mwenyewe Dawa ya kuponyesha Vidonda vya Tumbo nimepat kwa mwenye kutaka Dawa anitafute kwa wakati wake ukinitaka bonyez hapa.Mawasiliano

vidonda vp dr. vinavyosababishwa na HP au acid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…