Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,930
- 2,565
Kaka sio kila kitu ni maombi tu, Mchungaji Gwajima pamoja na unguli wake wa "kufufua watu" alishindwa kujiomnea wala kuomnewa na alikimbilia hospital
sio kila kitu ni maombi tu
...when it comes to faith, nothing is impossible to God...!! imani ya Gwajima haikuzuii wewe kupata muujiza wako, yawezekana yeye hakuwa na imani katika hilo, lakini hii haimaanishi Mungu hawezi kumsaidia katika hilo. Labda ni kuulize, kupasua bahari ikawa barabara na kuponya vidonda vya tumbo,lipi jambo kubwa kati ya haya. kama unawaza kama mimi, basi kupasua bahari na watu wakavuka ni jambo kubwa kuliko vidonda vya tumbo....