Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

1.kichefuchefu
2.kukosa choo na kupata kwa shida tena kikiwa kigumu kama cha mbuzi
3.maumivu makali sehemu kilipo kidonda
4.kiungulia
5.tumbo kujaa gesi
6.kukosa hamu ya kula
7.tumbo kuwaka moto
8.sehemu za mwili kupata ganzi
9.kutapika nyongo
10.kutapika na kuharisha damu.
Hizo ni baadhi ya dalili chache tu .endapo utajiisi na ww ni mmojawapo karibu upate uponyaji dawa zinatibu kuanzia chanzo cha tatizo.ndani ya mda mfupi .
Kwa mawasiliano zaidi 0717556768.popote ulipo zinakufikia.
 
PEPTIC ULCERS
This including the gastric ulcer, duodenal ulcer, and esophageal ulcer.
Are defined as mucosal erosions equal to or greater than 0.5 cm of the gastrointestinal tract area.

Duodenal ulcer and gastric ulcer are common among those ulcers and they get similar symptoms .

Their symptoms,
The symptoms of duodenal ulcers and gastric ulcers are like abnormal pain which relating to members
Duodenal ulcers are classified relieved by food, while gastric ulcers are exacerbated by it.
Bloating and abnormal fullness, nausea, vomiting, loss of appetite and weight loss are the main symptoms.

TREATMENTS OF ULCERS,

a) AROE VERA PLUS CAPSULE,
* It improves bowel movements , accelerates toxin excretion;
* It alleviates inflammatory signs and symptoms.
* Eases pain and expels the infernal heat of human body.

b) PROPOLIS PLUS CAPSULE,
* It posses antimicrobial properties against various bacterial and fungal infestations.
* Improves nutritional status and general well-being.

c) SPIRULINA PLUS CAPSULE.
* The ultra-fine molecular groups of pulverized spirulina reach size of 0.1-100nm with processing technique of superfine nanotechnology, ensuring its high absorption rate by human body.
* The purity of spirulina achieves 99.72% and is free of any preservatives.
* an ideal food source that are highly compatible with human nutritional demand.

d) MAGIC DETOXIN PAD
* It pumps out toxins and wastes from accupoints;
* It alleveates pain and strains of skins.

a) ALOE VERA PLUS CAPSULE
*) Inasafisha tumbo kwa ujumla,
*) Ni nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo,
* Inapunguza Sukari na mafuta kwenye damu,
* Huua viini na vidudu tumboni,
* Ni nzuri kwa mzunguko Wa damu,
* Pia inaondoa kujaa kwa gesi tumboni.

b) PROPOLIS PLUS CAPSULE,
* Ni nzuri kwa vidonda vya tumbo au ngozi,
* Huua bacteria aina nyingi mwilini
* Huponyesha kidonda kwa haraka sana.
* Inaongeza kinga mwilini,
* Inaleta hamu ya kula .

c) SPIRULINA PLUS CAPSULE,
* Ina protein, Amino acid, Vitamin B, Carotein,Micro element na mafuta mazuri ya GLA.
* Ni nzuri kwa madonda ya aina yoyote
* Ni nzuri kwa shida za tumbo kama kuharisha, kujaa gesi na constipation.
* Ina lishe bora inayo jitosheleza kwa mahitaji ya mwili Wa binadamu,

d) MAGIC DETOXIN PAD
* Huondoa sumu mwilini,
* Husafisha viungo vya mwili
* Nzuri kwa kuondoa uvimbe Wa aina yoyote mwilini kwa muda husika,
*Huboresha mzunguko Wa damu mwilini na hasa miguuni,
*) Ni nzuri kwa kuondoa maumivu ya mwili kwa ujumla.
*Ukisha itumia lazima ujisikie mwepesi zaidi.

Madonda ya tumbo ni ugonjwa ambao ukisha upata lazima vyakula vingi utakufanya usivitumie, na ukilazisha tu ghafla lazima vianze kuuma ; kwa hivyo basi Dawa hizi ni mwisho Wa mambo yote, ukizitumia tu baada ya wiki moja tu! Jaribu kutumia kutumia tena vile vyakula ulivyokuwa umekataziwa jibu utaripata .
Wengi wetu tunapenda kudharau vitu, wewe endelea kufanya hivyo ila tambua kuwa wengine wamepona,
Tumia bidhaa hizi zitakusaidia Mimi maelezo mengi sina ila vitendo tu .

Asanten wakubwa kazi njema na maandalizi mema ya uchaguzi.


Tuwasiriane kwa namba za simu;
0713871599,
0688794116,
0764078624.
 

Attachments

  • 1444111166474.jpg
    51.7 KB · Views: 150
Mkuu ankol mimi nilikuwa na vidonda vya tumbo na ndivyo vilikuwa vinaanza nilitumia Asali mbichi+ Maziwa ya chai tu, kwa muda wa wiki moja mpaka leo hii sijasikia.

Usitumie maziwa haya ya unga.
Upo sahihi kbsa mkuu.asali mbichi na maziwa fresh ni dawa nzur sana kwa vidonda.tena kwa ubora zaid hayo maziwa asiyachemshe.atumie mabichi aweke na asali.
 
Last edited by a moderator:

80% ya wanopata vidonda vya tumbo ni bacterial infection ya h.pylori
Nenda hospitali ufanyiwe vipimo(fecal antigen test specifically) na vingine ili chanzo kijulikane na utibiwe
Natumai ulipona lakini
 

Mkuu nina tatizo kama lako
Naomba utoe mrejesho!
Hali yako ipoje kwa sasa, kama umepona umetumia dawa ipi kati ya zilizotajwa?
 

The best advice so far. Na anapona kabisa. Ila kama vidonda vimeendelea sana. Mambo ya nyanya chungu, bamia achana na hadithi
 

Do diagnostic OGD please kabla hujadanganywa!!!!
 

lansoprazole ni moja kati xa dawa tatu zilizopo kwenye heligo kit
 

Naomba mtejesho utakapokuwa umekamilisha dozi mkuu
 
Mkuu ankol mimi nilikuwa na vidonda vya tumbo na ndivyo vilikuwa vinaanza nilitumia Asali mbichi+ Maziwa ya chai tu, kwa muda wa wiki moja mpaka leo hii sijasikia.

Usitumie maziwa haya ya unga.

Hukuwa na ulcers seriously maana maziwa sio dawa yoyote kwa vidonda vya tumbo asali Yes imekusaidia
 
Last edited by a moderator:
PEPTIC ULCERS
This including the gastric ulcer, duodenal ulcer, and esophageal ulcer.
Are defined as mucosal erosions equal to or greater than 0.5 cm of the gastrointestinal tract area.

Duodenal ulcer and gastric ulcer are common among those ulcers and they get similar symptoms .

Their symptoms,
The symptoms of duodenal ulcers and gastric ulcers are like abnormal pain which relating to members
Duodenal ulcers are classified relieved by food, while gastric ulcers are exacerbated by it.
Bloating and abnormal fullness, nausea, vomiting, loss of appetite and weight loss are the main symptoms.

TREATMENTS OF ULCERS,

a) ALOE VERA PLUS CAPSULE,
> It improves bowel movements , accelerates toxin excretion;
> It alleviates inflammatory signs and symptoms.
> Eases pain and expels the infernal heat of human body.

b) PROPOLIS PLUS CAPSULE,
> It posses antimicrobial properties against various bacterial and fungal infestations.
> Improves nutritional status and general well-being.

c) SPIRULINA PLUS CAPSULE.
> The ultra-fine molecular groups of pulverized spirulina reach size of 0.1-100nm with processing technique of superfine nanotechnology, ensuring its high absorption rate by human body.
> The purity of spirulina achieves 99.72% and is free of any preservatives.
> an ideal food source that are highly compatible with human nutritional demand.

d) MAGIC DETOXIN PAD
> It pumps out toxins and wastes from accupoints;
> It alleveates pain and strains of skins.

a) ALOE VERA PLUS CAPSULE
> ) Inasafisha tumbo kwa ujumla,
> Ni nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo,
> Inapunguza Sukari na mafuta kwenye damu,
> Huua viini na vidudu tumboni,
> Ni nzuri kwa mzunguko Wa damu,
> Pia inaondoa kujaa kwa gesi tumboni.

b) PROPOLIS PLUS CAPSULE,
> Ni nzuri kwa vidonda vya tumbo au ngozi,
> Huua bacteria aina nyingi mwilini
> Huponyesha kidonda kwa haraka sana.
> Inaongeza kinga mwilini,
> Inaleta hamu ya kula .

c) SPIRULINA PLUS CAPSULE,
> Ina protein, Amino acid, Vitamin B, Carotein,Micro element na mafuta mazuri ya GLA.
> Ni nzuri kwa madonda ya aina yoyote
> Ni nzuri kwa shida za tumbo kama kuharisha, kujaa gesi na constipation.
> Ina lishe bora inayo jitosheleza kwa mahitaji ya mwili Wa binadamu,

d) MAGIC DETOXIN PAD
> Huondoa sumu mwilini,
> Husafisha viungo vya mwili
> Nzuri kwa kuondoa uvimbe Wa aina yoyote mwilini kwa muda husika,
> Huboresha mzunguko Wa damu mwilini na hasa miguuni,
> ) Ni nzuri kwa kuondoa maumivu ya mwili kwa ujumla.
> Ukisha itumia lazima ujisikie mwepesi zaidi.

Madonda ya tumbo ni ugonjwa ambao ukisha upata lazima vyakula vingi utakufanya usivitumie, na ukilazisha tu ghafla lazima vianze kuuma ; kwa hivyo basi Dawa hizi ni mwisho Wa mambo yote, ukizitumia tu baada ya wiki moja tu! Jaribu kutumia kutumia tena vile vyakula ulivyokuwa umekataziwa jibu utaripata .
Wengi wetu tunapenda kudharau vitu, wewe endelea kufanya hivyo ila tambua kuwa wengine wamepona,
Tumia bidhaa hizi zitakusaidia Mimi maelezo mengi sina ila vitendo tu .

Asanten wakubwa kazi njema na maandalizi mema ya sikukuuuuuuuu

Tuwasiriane kwa namba za simu;

0713 871599
0764 078624
 

Attachments

  • 1450097283941.jpg
    44.8 KB · Views: 198
Tatizo la vidonda vya tumbo limekuwa kubwa na linasumbua wengi na mm ni mhanga wa jambo ilo ijapo nimepona.

Napenda tu kuwapa taarifa kwa watu wenye tatizo la vidonda vya tumbo na chembe ya moyo ninayo dawa ambayo ni ya siku mbili (2)tu ijapo dozi ni wiki moja tu na utafaidika na mengi ukiipata dawa iyo maana haitibu vidonda tu ni pamoja na ganzi mwilini,matatizo ya moyo kama moyo kupanuka na bp,kuweka kinga ndani ya tumbo kwa magonjwa nyemelezi kama typhod,kwa wale wenye matatizo ya mawe kwenye figo inasafisha na kutoa kabisa,jino na harufu mbaya mdomoni na magonjwa mengine mengi na inafanya kazi kwa mda mfupi na kufurahia matokeo yario bora zaidi.
Napatikana mbeya-mbalizi
Au nipingie kwa nambari
0752093410 au 0685299621
Mungu na akubariki ameni
 
Ninapokuwa katika maumivu ya vidonda tumbo kwanza akili ya haraka ilikuwa ni kukimbilia maziwa fresh. Wiki jana nilijikuta katika hali hiyo na kama mazoea yangu ya kukimbilia kununua tu dawa hospital huku South Africa ni tofauti huwezi kupewa dawa pasipo Dr. kukupatia vipimo. Lakini kikubwa ni kuwa nimekatazwa kutumia maziwa kwani ni chanzo cha tatizo pia. Lakini amini nawaambia marafiki zangu na ndugu zangu huko nyumbani wanatumia maziwa kupunguza maumivu ya vidonda tumbo na hata mimi nilikuwa natumia sana hii njia. Mnaweza tafuta hii dawa hapa ni nzuri sana.
 
Vidonda vya tumbo ni matokeo ya uzalishwaji wa tindikali ya haidrokroliki asidi nyingi kuliko kiasi ndani ya tumbo.Na pia kuna bacteria ambao kitaaram huitwa HELICOBACTER PYLORI (h.pylori) ambao hutokana na kula chakula na kunywa maji kwa wakati

Kwa mwenye tatizo hili la vidonda vya tumbo ninayo dawa yake ambayo hutibu kwa mda mfupi sana takribani siku 2 tu utapona tatizo ilo.
Pia katika dawa hiyo utapata kuku saidia kwa magonjwa mengine kama minyoo yote,kuondoa ganzi zote mwilini,typhodi,matatizo ya figo,tumbo kujaa gesi,kukinga matatizo yote ya tumbo.
Napia natoa ushauli kwa wale wanao sumbuliwa na matatizo ya miguu kuwaka moto na miguu kuwa na ganzi na wenye kisukari kupona kwa siku 30tu
Dawa yangu naiuza kwa bei ya 70000tsh na nawasaidia wote hata kam umepungukiwa.
Napatikana kwa nambari
0685299621 au 0752093410
Mungu akubaliki
Ameni.


Asante kwa kusoma makala hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…