Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu herigo ni dawa nzuri sana lkn ni kwa vidonda vya tumbo vitokanavyo na hyperol, vya acid herigo haiwezi kutibu
 
Kuna mtu anayosema nimeisahau unaoona kbs ngoja nimuulize
 
Kama tumbo limejaa acid unatakiwa utumie ile dawa ya maji inaitwa Gastrocid na Lamsoprazole
 
Madhara ya vidonda vya tumbo vyaweza kusababisha cancer hadi kifo
 

kiongozi naomba msaada kama ulipona katika tatizo hili,maana ni msalaba kwangu.naomba uni PM
 
Piga mwarobain/nansimba mitisha shamba iyo Per two weeks utanitafta dozi nikupangie Njoo pm
 
Dawa zipo piga cm no.0752097770
 
Nitajaribu hiyo ya kuchoma vifuu vya nazi....asante sana kwa muongozo.
 
Asante sana mleta maada nzuri kama hii ambayo ni msaada kwa watu wengi, Mungu akubariki na kukuwezesha kutuletea vitu vingine vizuri kama hivi.
 
Nitumie nikipona nakulipa mara mbili
Safi sana mkuu. Naamini hakuna aliyeteseka na vidonda vya tumbo halafu apewe dawa imtibu then akakimbie na pesa ya aliyemtibu. Hili ni sharti zuri kwa anayejiamini kuwa anatiba sahihi.
 
Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
Ipo dawa alipata kutumia jamaa flani, ikamfaa,gharama yake haizidi elf 30(maximum) na ina faida kuu 2.
Ni pm nkuelekeze,6ki malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…