Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"