Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Hili jukwaa la uchumi yameshaanza jaa matangazo imekuwa kero
C ndo jukwaa lenyewe la Biashara na uchumi mkuu, au ndo ushazoe udaku tu. Hata kwenye cm yako natumaini kunawakati unatumiwa msg za matangazo. Ni vitu ambavyo vipo ktk jamii.
 
Umeshawai kutumia omophrozone( naisi nimekosea spelling kidogo) jaribu hiyo kama ujawai kutumia, mimi iliniponyesha kabisa vidonda vya tumbo
 
C ndo jukwaa lenyewe la Biashara na uchumi mkuu, au ndo ushazoe udaku tu. Hata kwenye cm yako natumaini kunawakati unatumiwa msg za matangazo. Ni vitu ambavyo vipo ktk jamii.
Group la matangazo mbona lipo kwanini unaweka huku ni bora ungeliweka hata jukwaa la jf doctor
 
jifunze kuandika kwanza ndo uje hapaaa
 
Group la matangazo mbona lipo kwanini unaweka huku ni bora ungeliweka hata jukwaa la jf doctor
Ni wazo zuri pia, hata huko itabidi liende. Kwakua hapa ni Biashara na ujasiriamali, niliona km panafaa japo ni ya matibabu. Lakini pia sio dawa(chemical) ila ni inaponyesha inaponyesha. Yenyewe inakuwa extracted toka kwenye food stuff
 
Dawa ya Vidonda vya Tumbo ni Kula chakula kwa Ratiba nzuri tu... Sababu kinachoumiza Tumbo ni ile Acid ya tumboni inayoyayusha chakula muda maalum wa Kula Ukifika ukakosa kitu tumboni utaumwa na kama vidondo ndio vitazidi kuchimbika na Bakteria watafurahia zaidi hivyo zingatia ratiba ya kula huo ugonjwa utausikia kwenye Bomba tu na Mwishowe utamaliza tu pesa za Dawa iliyothibitishwa ya HELIGO KIT kwa Wiki tatu mfululizo. kwa wenye afya nzuri maana zinapelekesha kama huli vizuri
 
Chahakula ndio, lkn inategemea kwani chakula hicho hicho kinaweza kikawa chanzo cha mtu kupata ulcers au kikawa ndo kikazidi kumuongezea tatizo mtu mwenye tatizo tayari. Inategemea sana na vyakula muathirika anavyokula na ratiba ya kula inategemea mazingira ya mtu katika harakati zake za utaftaji. Hakuna mtu asiyependa kula kwa wakati ila kuna mazingira inatokea watu hawali kwa wakati au chakula ambacho mwenye ulcers anapaswa kula, wkt mwingine akakosa kabisa chakula kinacho mfaa(hii itategemea na stage ya ulcers zenyewe). Changamoto hiyo ndo inayowapa watu taabu hadi kutafuta solution hiyo. Helgo ni nzuri na ina antibiotic na anti-acid, ila ni temporary solution pia ni expensive pia ukilinganisha na bei zetu. Pia yetu sio chemical ni chakula ambacho unachanganya kwenye chakula km mlivyosikia side effects ya antibiotics zikitumika kwa muda mrefu.
 


Heshima YAKO mkuu !.
Naomba maelezo zaidi je huwaunakunywa dawa hizo pamoja na maziwa kwa mpangirio gani na manisha kutwa Mara ngapi?.

Je maziwa una changanya na hizo dawa ama kila dawa unakunywa kivyake?.

Asante
 
Heshima YAKO mkuu !.
Naomba maelezo zaidi je huwaunakunywa dawa hizo pamoja na maziwa kwa mpangirio gani na manisha kutwa Mara ngapi?.

Je maziwa una changanya na hizo dawa ama kila dawa unakunywa kivyake?.

Asante
Kila dawa nainywa kivyake.. Maziwa angalau nusu lita kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…