mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza utani ni makosa ya kidole gumba ni vidonda vya tumbo mkuuVodonda vya tumbo ni ugonjwa gani?
Hata mm nilitumia hizo dawa nikapona kabisa.Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula
Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Wenga mwenyewe ni zaidi ya vidonda vya tumbo, muone alivyoisha, poleni arsenalHata mm nilitumia hizo dawa nikapona kabisa.
Lakini kwa sasa vinajirudia rudia kwa sababu ya stress zinazotokana na kushabikia ARSENAL! yaani km jana usiku sikupata usingizi Arsenal ilipofungwa maana vidonda vilicharuka sana.
Babu Wenger tuonee huruma mashabiki wa Arsenal utatuua kwa vidonda vya tumbo.
WELL SAID MI NILIKUWA NASUMBUKA SANA NA MADONDA NIKAWA CLI DAGAA, MIKUNDE, N.K LAKINI BAADA YA KUPIMA NA KUPEWA HYO H. PYLORI KITNunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula
Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
45000/= DOSE ILA KWA BIMA PIA UNAPATAHyo heligo ndo sh ngap?
KAMA UNA BIMA HUTUMII HATA SENTI HAPO NENDA HOSPITAL KUBWA KUBWA ZA PRVT...duh,mbona masharti makali kuliko mgonjwa wa ukimwi?...na matibabu aghali sana,
...sana yani!
Na ili upone dozi ngapi zitahitajika?45000/= DOSE ILA KWA BIMA PIA UNAPATA
....sawa mkuu,'kama nina bima!'....na vipi kuhusu masharti ya kutokuwa na mawazo/stress,hasira,kula kwa wakati tena baadhi ya vyakula kwa masikini kama mimi niende nchi kubwa kubwa za dunia ya kwanza!?KAMA UNA BIMA HUTUMII HATA SENTI HAPO NENDA HOSPITAL KUBWA KUBWA ZA PRVT
Acha mawazo, acha kuwaza. Be happy 24/7 hrs.Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
DX hawatoagi? WAP huko mkuu?Nimetoka kumpeleka mama dispensary kwa ajili ya tatizo hilohilo.......nimetokwa elfu 95. Nimeomba diagnosis yake wamenigomea eti huwa hawatoagi.....nikanyong'onyea balaa.....
Kuna madawa mengi kapewa na sindano juu (5). Ngoja nirudi nikuorodheshee majina na ile sindano
Fanya mpango kama utaweza tafuta maziwa ya mbuzi tumia ndani ya mwezi mmoja kwa kuchemsha glasi moja asubuhi na nyingine jioni hata ukizidisha ukanywa mbili asubuhi na mbili jioni haina madhara na baada ya muda huo tatizo litakua limekwisha kabisa vinginevyo mtafute Dr. Rahabu atakusaidia pole sana ndugu yangu na mungu akusaidieNimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Mkuu nitafute mimi nipate kukupa dawa ya kutibu vidonda vyako vya Tumbo kwa siku 30 umepona huna haj tena ya kutumia dawa ingine yoyote ile. Na utakula chakula chochote ukipendacho hata pilpili utakula utatumia dawa za hospitali hutoweza kupona.Ukihitaji tiba toka kwangu.Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
MCHEKI HUYU DK WETU WA KFNimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi