Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
Hata mm nilitumia hizo dawa nikapona kabisa.

Lakini kwa sasa vinajirudia rudia kwa sababu ya stress zinazotokana na kushabikia ARSENAL! yaani km jana usiku sikupata usingizi Arsenal ilipofungwa maana vidonda vilicharuka sana.

Babu Wenger tuonee huruma mashabiki wa Arsenal utatuua kwa vidonda vya tumbo.
 
Wenga mwenyewe ni zaidi ya vidonda vya tumbo, muone alivyoisha, poleni arsenal
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
WELL SAID MI NILIKUWA NASUMBUKA SANA NA MADONDA NIKAWA CLI DAGAA, MIKUNDE, N.K LAKINI BAADA YA KUPIMA NA KUPEWA HYO H. PYLORI KIT
NILITUMIA DOSE MBILI MFULULIZO NILIPOMALIZA NIKAKAKAA KAMA MIEZI MITANO HV BILA KUTUMIA VITU VYOTE NILIVYO KATAZWA
NOW NAKULA KILA KITU KASORO MI SODA SODA NA SIPATI SHIDA
ILA PIA KWA MGONJWA WA MADONDA UCPENDE KUMEZA MIDAWA YA MAUMIVU K.V DICLOFENAC , DICLOPAR NK PIA UCFANYE KAZI MUDA MREFU BILA KUPMZKA
 
KAMA UNA BIMA HUTUMII HATA SENTI HAPO NENDA HOSPITAL KUBWA KUBWA ZA PRVT
....sawa mkuu,'kama nina bima!'....na vipi kuhusu masharti ya kutokuwa na mawazo/stress,hasira,kula kwa wakati tena baadhi ya vyakula kwa masikini kama mimi niende nchi kubwa kubwa za dunia ya kwanza!?
...huu ugonjwa nilikuwa nauchukulia poa poa ila nshaanza kuuhofia
 
Pole sana mkuu. Kwanza, ni muhimu kufahamu sababu kubwa za vidonda vya tumbo (Peptic Ulcer Disease-PUD). Vidonda vinasababishwa na
(i) Kuambukizwa vijidudu vijulikanavyo kama Helicobacter pylori
(ii) Mawazo yaliyopitiliza, yani, "Excessive stress"
(iii) Utumiaji wa dawa zijulikanazo kama Non Steroidal AntiInflammatory drugs (NSAIDS) mfano Diclofenac, Diclopar, Aceclofenac etc
(iv) Unywaji pombe uliopitiliza.
Kwa Africa, tafiti nyingi zinaonyesha sababu kubwa kwetu ni infection ya huyo mdudu aitwaye H. pylori.

Vipimo vya muhimu vya kufanya kwa mtu anayesemekana kuwa na tatizo la vidonda vya tumbo ni
i. Serology for H pylori, ambapo damu yako itatolewa na utapimwa kuona kama umeathiriwa na huyo mdudu na labda OGD (OesophagoGastroDuodenoscopy)/ Endoscopy kwa ajili ya kuangalia Koo lako ikiwa limeathiriwa na Tumbo lako pamoja na sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (Duodenum). Pia, unaweza kufanyiwa Barium Meal (inaweza kuona kama kuna kidonda) au Abdominal Ultrasound kwa ajili ya kuondoa uwezekano wa sababu nyinginezo za maumivu ya tumbo.
Ikiwa utaonekana kuwa na vidonda na sababu ikawa ni H pylori (yani Serology for H pylori ikawa Positive), basi matibabu ni kwa ajili ya vidonda na pia kwa ajili ya H pylori. Ikiwa H pylori ikiwa negative, basi matibabu yatakuwa kwa ajili ya vidonda tu. Lakini ikiwa hutokuwa na majibu ya H pylori, basi matibabu yatakuwa kama mtu mwenye H pylori, maana wengi wetu wenye vidonda tunakuwa tuko infected na huyo mdudu.

Sasa, matibabu yako namna hii kwa upande wa dawa (Pharmacological treatment) kwa mtu mwenye H pylori na vidonda:

i. Proton pump inhibitor, mfano, Omeprazole au Esoneorazole au Rabeprazole. Kati ya hizo tatu, kali zaidi ni Rabeprazole.
Dozi, tukichukua mfano wa Rabeprazole (unatumia dawa moja tu, si zote tatu) ni:
Rabeprazole 20mg PO BD kila siku kwa wiki 6

ii. Antibiotics 2, zote unatumia kwa pamoja. Dozi zake ni:
a. Amoxycillin 1g PO BD kila siku kwa wiki 2 na
b. Azithromycin 500mg PO OD kila siku kwa wiki 2. Ikiwa una uwezo, badala ya kutumia Azithromycin unaweza kutumia

c. Clarithromycin 500mg PO OD kila siku kwa wiki 2.
OD=Unakunywa mara moja kwa siku
BD=Unakunywa mara mbili kwa siku
PO=Unameza (unakunywa kwa mdomo)...ni vidonge.

Aidha, tumbo likiwa linauma uma unaweza kutumia
a. Magnesium Trisilicate au
b. Relcer gel au Lucid Suspension au Mucogel 15mls PO TDS

Pia, kaa mbali na vyakula vyenye acid, kwa mfano, maharage na vyakula vyote vya jamii ya maharage, matunda machachu, ndizi mbivu na kuendelea. Pia, kaa mbali na pombe na kaa mbali na dawa za aina ya NSAIDs (Aspirin, Diclofenac, Diclopar, Aceclofenac etc). Pia jaribu kupunguza kuwa na msongo wa mawazo au kukaa na njaa kwa muda mrefu. Ukifuata yote hayo una uwezekano mkubwa wa kupona in no time. Best of luck & pole sana mkuu!
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Acha mawazo, acha kuwaza. Be happy 24/7 hrs.
 
Nimetoka kumpeleka mama dispensary kwa ajili ya tatizo hilohilo.......nimetokwa elfu 95. Nimeomba diagnosis yake wamenigomea eti huwa hawatoagi.....nikanyong'onyea balaa.....
Kuna madawa mengi kapewa na sindano juu (5). Ngoja nirudi nikuorodheshee majina na ile sindano
DX hawatoagi? WAP huko mkuu?
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Fanya mpango kama utaweza tafuta maziwa ya mbuzi tumia ndani ya mwezi mmoja kwa kuchemsha glasi moja asubuhi na nyingine jioni hata ukizidisha ukanywa mbili asubuhi na mbili jioni haina madhara na baada ya muda huo tatizo litakua limekwisha kabisa vinginevyo mtafute Dr. Rahabu atakusaidia pole sana ndugu yangu na mungu akusaidie
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Mkuu nitafute mimi nipate kukupa dawa ya kutibu vidonda vyako vya Tumbo kwa siku 30 umepona huna haj tena ya kutumia dawa ingine yoyote ile. Na utakula chakula chochote ukipendacho hata pilpili utakula utatumia dawa za hospitali hutoweza kupona.Ukihitaji tiba toka kwangu.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
MCHEKI HUYU DK WETU WA KF
DK SIJJAD FAZEL
0782785221
AMESAIDIA WENGI SANA HUMUU UKUMBUKE NA SHUKRANI UKIPONA.. SEMA AMINA
 
Kwamatibabu yakienyeji yuko mtaalamuwetu

mshanajr
 
Back
Top Bottom