Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Master Bob laidoo ...mimi hapa nishapona kwa ninavojiona na kujisikia, jana Jumanne ndo nimeimaliza dawa... nahitaji tu kwenda kupima sasa ili nipate uhakika kupitia vipimo. Ila kwa hali yangu jinsi nilivo namshukuru sana Mungu aise nik vizuri.Poa, zali limekudondokea ilo mkuu
In bobo for more info plz !
Pia shukrani za pekee zikirudie kwako kwa roho nzuri y kutaka kusaidia, Mungu akubariki kaka.
Kama kweli unasumbuliwa na ulcers jamani, suluhisho liko kwa huyu mtaalam. Mimi nashukru nilipata ofa na kwa kweli sijui nielezaje maana ni vimenitesa sanaa yani, madawa nshatumia lakini wapi. But vidone vya siku 4 vya mtaalam wetu vimerejesha tabasam langu.