Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Nimetumia full dose ya Rahabu na kufuata masharti yote wakati wa kutumia dawa zake lakini mpaka leo hii sijapona na nina zaidi ya mwaka sasa,ukizingatia kuwa dawa zake ni ghali sana,sikushauri utumie dawa zake after all zina mateso ya ajabu kwani una harisha sana wakati wote wa kutumia dawa zake ambapo itakugaharimu kama miezi 3 ya mateso hayo.
 
duuuh. Eeeh Mungu tunusuru.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe

kwa kipimo cha Glasi moja uwe unakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana. Hakuna Hospitali Dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo Mkuu.@
stephot tumia hiyo Dawa kisha unipe Feedback
 
Asante sana Mzizi Mkavu, nimekupata vyema. JE TANGAWIZI KWENYE CHAI NA PILIPILI MTAMA KWENYE UJI
Usitumie Tangawizi au pilipili mta ukiwa na vidonda vya tumbo muu.

Tangawizi ina faiada nyingi sana kwa kuitumia hiyo Tangawizi kama dawa Faida chache nitazitaja hapa. Tangawizi ni dawa ya Kikohozi,Tangawizi inasaidia kuondowa Baridi mwilini,Tangawizi inasaidia kuondowa Gesi ndani ya tumbo,Tangawizi inatibu mtu

mwenye matatizo ya Tumbo haswa Tumbo linalosokota .Ukitumia Tangawizi iliyopikwa kwa sukari Ukitumia kwa glasi 3 za maji moto kwa siku inasaidia kuchangamsha Mzunguko wa Damu mwilini.Na pia Tangawizi husaidia kuondosha ute wa mdomo.Pia

ukinywa hiyo Tangawizi uliochemsha kwa maji ya moto na sukari husaidia kuondosha riyahi na kuvimbiwa na tumbo.

itakuwa vizuri hiyo tangawizi uiponde ponde upate ule unga wake iwe Tangawizi kavu.Mkuu.@kipusy
 
Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe

kwa kipimo cha Glasi moja uwe unakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana. Hakuna Hospitali Dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo Mkuu.@
stephot tumia hiyo Dawa kisha unipe Feedback

Ninaanza kesho asubuhi na nitakupa feedback.
 
Kuna bwana anatibu. Mimi nilikuwa navyo. katika kutibu kisukari nilijikuta vile vile nimetibu hivyo vidonda. sasa sijui ni dawa gani ya kienyeji iliniponya. Maana siku stick kwa aina moja. Kwa hiyo kifupi kinatibika na dawa za kienyeji. ..................................
 
Jamani wanajamvi naomba msaada wenu nina vidonda vya tumbo vinanisumbua nasikia maumivu mpaka kwenye nyonga,hadi sehemu zinapoishia mbavu,nimetumia dawa za hospital wapi,je kuna tiba mbadala maana nasikia mkojo unatibu ni kweli?
 
Naomba kwa yeyote anae jua dawa ya vidonda vya tumbo, iwe ya hospitali au asili.napatikana morogoro mjini
 
Mkuu hapa Dar kuna mzee mmoja anatibu kwa dawa za asili anachanganya na asali.Mimi vidonda vilinisumbua sana,nilipopelekwa kwake na baada ya kutumia dawa yake kwa mpangilio nilipona kabisa.Aliniponya 2009 na mpaka leo niko fiti,kila kitu nakula.Kesho nitakupa namba yake uwasiliane nae.Pia niliowaelekeza kwake walipona kabisa.Ila dawa zake ni gali kidogo,ila kwa jinsi vidonda vilivyokua vinanitesa nilikua natoa tu hela.
 
Mkuu Mkombozi,
Hebu tuwekee namba ya huyo mzee tumtafute maana na mimi ninasumbuliwa na vidonda vya Tumbo, natanguliza shukurani.
 
Mkuu hapa Dar kuna mzee mmoja anatibu kwa dawa za asili anachanganya na asali.Mimi vidonda vilinisumbua sana,nilipopelekwa kwake na baada ya kutumia dawa yake kwa mpangilio nilipona kabisa.Aliniponya 2009 na mpaka leo niko fiti,kila kitu nakula.Kesho nitakupa namba yake uwasiliane nae.Pia niliowaelekeza kwake walipona kabisa.Ila dawa zake ni gali kidogo,ila kwa jinsi vidonda vilivyokua vinanitesa nilikua natoa tu hela.

Nitashukuru mkuu nangoja hiyo namba
 
Nunua CIMETIDINE tabs 400mg bd 1/12: uwe unakunywa asubuhi baada ya kunywa chai na jioni wakati wa kulala. Utaona matokeo yake vidonda kwishney. Ukitumia siku mbili tu nipe majibu, wagonjwa wangu wengi sana wamepona na wengine wamepata nafuu. Kikubwa zingatia muda niliosema wa kunywa.
 
Aksante mkuu! Naweza pata wapi nipo moro mjini.
 
Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa makala hii. Bila shaka makala au tangazo hili lina kuhusu, kama si direct basi hata indirect. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa mbaya miongoni mwa Magonjwa mabaya. Unasumbua, unanyima raha, unazorotesha afya ya mtu, unapunguza idadi ya vyakula muhimu kwa mwanadamu, unazorotesha utendaji kazi wa mtu na kwa wanaume mpaka unapunguza hamu na nguvu za tendo la ndoa. Sisi tumefanikiwa kugundua dawa ambayo inaponya kabisa ugonjwa huu na kwa muda mfupi sana. Dawa hii tumeigundua mwaka juzi 2010, ila hatukuiweka kibiashara kwanza ilitubidi kuifanyia utafiti wa kina mpaka mwaka jana 2011 ndo tuliamua kuiweka kibiashara baada ya kuwa tumeiamini vya kutosha. Tuliwatumia watu tofauti walokuwa na tatizo hilo. Cha kufurahisha hakuna mtu hata mmoja aliyebaki bila kupona. Miongoni mwao walikuwepo walio ugua muda mfupi na wengine muda mrefu na wengine muda mrefu sana hadi miaka 20+. Hadi hii leo watu wasio pungua 130 kwa takwimu zetu wamtumia dawa hii na hatujapata malalamiko bali hupata simu nyingi sana za shukurani na wengine kwa usumbufu wa ugonjwa huu hutupa zawadi kama shukurani. Tumefanya vizuri sana Mikoa ya Dar-es-salam, Morogoro, Mwanza, Arusha, Moshi na Bukoba ambapo matangazo yetu yamefika sana na Mikoa mingine kwa uchache sana. Kama una swali, maoni au uhitaji wa matibabu, wasiliana nasi SIMU NO: +255757143379/+255655143379/+255786143379. mnakaribishwa nyote kwa pamoja. By DR, KAGIMBO
 
Back
Top Bottom