Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa makala hii. Bila shaka makala au tangazo hili lina kuhusu, kama si direct basi hata indirect. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa mbaya miongoni mwa Magonjwa mabaya. Unasumbua, unanyima raha, unazorotesha afya ya mtu, unapunguza idadi ya vyakula muhimu kwa mwanadamu, unazorotesha utendaji kazi wa mtu na kwa wanaume mpaka unapunguza hamu na nguvu za tendo la ndoa. Sisi tumefanikiwa kugundua dawa ambayo inaponya kabisa ugonjwa huu na kwa muda mfupi sana. Dawa hii tumeigundua mwaka juzi 2010, ila hatukuiweka kibiashara kwanza ilitubidi kuifanyia utafiti wa kina mpaka mwaka jana 2011 ndo tuliamua kuiweka kibiashara baada ya kuwa tumeiamini vya kutosha. Tuliwatumia watu tofauti walokuwa na tatizo hilo. Cha kufurahisha hakuna mtu hata mmoja aliyebaki bila kupona. Miongoni mwao walikuwepo walio ugua muda mfupi na wengine muda mrefu na wengine muda mrefu sana hadi miaka 20+. Hadi hii leo watu wasio pungua 130 kwa takwimu zetu wamtumia dawa hii na hatujapata malalamiko bali hupata simu nyingi sana za shukurani na wengine kwa usumbufu wa ugonjwa huu hutupa zawadi kama shukurani. Tumefanya vizuri sana Mikoa ya Dar-es-salam, Morogoro, Mwanza, Arusha, Moshi na Bukoba ambapo matangazo yetu yamefika sana na Mikoa mingine kwa uchache sana. Kama una swali, maoni au uhitaji wa matibabu, wasiliana nasi SIMU NO: +255757143379/+255655143379/+255786143379. mnakaribishwa nyote kwa pamoja. By DR, KAGIMBO
Dr kagimbo alisomea chuo gani?
utapeli tu huu, kuna mmoja yuko magomeni eti anatibu figo, very expensive..!!! hakuna cha matibabu zaidi ya wizi mtupu. eti aliwahi kutunukiwa shahada na Costech kwa hiyo dawa yake ya kitapeli, sijui alihonga, hata sielewi.
Mbona hutaki kusema umesomea wapi,? na content za dawa yako zinainclude nn?Mi najua watanzania mnajua kuongea sana, kwa hilo tu hamjambo!!!!! mi niko kikazi si kimalumbano.
Mbona hutaki kusema umesomea wapi,? na content za dawa yako zinainclude nn?
Kuna mtu aliniambia kuwa mafuta ya UBUYU yanasadia kwa kunywa kijiko kimoja kila siku asubuhi na jioni kabla ya kifungua kinywa na usiku kabla ya kula.
I think I gave you my numberNimepona namna gani mkuu?? Sijakuelewa!
Naomba kwa yeyote anae jua dawa ya vidonda vya tumbo, iwe ya hospitali au asili.napatikana morogoro mjini
Makamanda Plz nina wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo. Nilipima hosp ikagundulika hivyo. Je miongoni mwenu kuna mtu anafahamu dawa ya matatizo haya?