Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa makala hii. Bila shaka makala au tangazo hili lina kuhusu, kama si direct basi hata indirect. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa mbaya miongoni mwa Magonjwa mabaya. Unasumbua, unanyima raha, unazorotesha afya ya mtu, unapunguza idadi ya vyakula muhimu kwa mwanadamu, unazorotesha utendaji kazi wa mtu na kwa wanaume mpaka unapunguza hamu na nguvu za tendo la ndoa. Sisi tumefanikiwa kugundua dawa ambayo inaponya kabisa ugonjwa huu na kwa muda mfupi sana. Dawa hii tumeigundua mwaka juzi 2010, ila hatukuiweka kibiashara kwanza ilitubidi kuifanyia utafiti wa kina mpaka mwaka jana 2011 ndo tuliamua kuiweka kibiashara baada ya kuwa tumeiamini vya kutosha. Tuliwatumia watu tofauti walokuwa na tatizo hilo. Cha kufurahisha hakuna mtu hata mmoja aliyebaki bila kupona. Miongoni mwao walikuwepo walio ugua muda mfupi na wengine muda mrefu na wengine muda mrefu sana hadi miaka 20+. Hadi hii leo watu wasio pungua 130 kwa takwimu zetu wamtumia dawa hii na hatujapata malalamiko bali hupata simu nyingi sana za shukurani na wengine kwa usumbufu wa ugonjwa huu hutupa zawadi kama shukurani. Tumefanya vizuri sana Mikoa ya Dar-es-salam, Morogoro, Mwanza, Arusha, Moshi na Bukoba ambapo matangazo yetu yamefika sana na Mikoa mingine kwa uchache sana. Kama una swali, maoni au uhitaji wa matibabu, wasiliana nasi SIMU NO: +255757143379/+255655143379/+255786143379. mnakaribishwa nyote kwa pamoja. By DR, KAGIMBO

Mimi huu utapeli siupendi kabisa, nyinyi ni waongo mnatumia pesa za watu kwa kutumia shida zao za magonjwa, huo ugunduzi umethibitishwa na nani?
 
utapeli tu huu, kuna mmoja yuko magomeni eti anatibu figo, very expensive..!!! hakuna cha matibabu zaidi ya wizi mtupu. eti aliwahi kutunukiwa shahada na Costech kwa hiyo dawa yake ya kitapeli, sijui alihonga, hata sielewi.
 
Ni nchi penkee kila mtu anjitwisha Taaluma ; Maprofessor na Madaktari uchwara bila shule. Serikali iunde Tume ya kuthibiti taaluma hizi na matangazo yake kwe TV, Radio , Magazeti & Mitandao. Mgamga mmoja pale Mazombe (Imalutwa??) Ilula karibu na Msitu wa Kising'a Lugalo amezika wagonjwa wengi , makuburi yako nyuma ya boma lake. Dr Ndondi anasema dawa ya vidonda tumbo ni kunywa glasi 6 za limau (Acid), malipo 300,000Tsh. Jamani!! Nendeni Regency /Muhimbili Hosp ukapewe dawa. Mimi nimepona.
 
Hapa si mahali pake,hii inapendeza ikionekana kule JF Doctor.
 
Kuna mtu aliniambia kuwa mafuta ya UBUYU yanasadia kwa kunywa kijiko kimoja kila siku asubuhi na jioni kabla ya kifungua kinywa na usiku kabla ya kula.
 
utapeli tu huu, kuna mmoja yuko magomeni eti anatibu figo, very expensive..!!! hakuna cha matibabu zaidi ya wizi mtupu. eti aliwahi kutunukiwa shahada na Costech kwa hiyo dawa yake ya kitapeli, sijui alihonga, hata sielewi.

Mi najua watanzania mnajua kuongea sana, kwa hilo tu hamjambo!!!!! mi niko kikazi si kimalumbano.
 
Mbona hutaki kusema umesomea wapi,? na content za dawa yako zinainclude nn?

Nadhani Tanzania ni nchi pekee ambayo haina udhibiti wa matumizi ya tiba zinazodaiwa kuwa ni za asili. Jambo hili linashangaza sana hasa ukitilia maanani kuwa tunao wataalamu wa afya kama madaktari na hata madaktari bingwa waliobobea katika fani ya tiba. Nadhani pengine watu wetu ni wavivu wa kufikiri na kufanya uchambuzi ama huenda wana ufinyu tu wa fikra. Tatizo hili ni kubwa sana hasa ukizingatia ni juzi juzi tu viongozi wetu wa ngazi za juu kabisa walishikilia bango kuitetea dawa ya babu wa Loliondo kama vile wao ndio walioipima katika maabara na kuijua ubora wake. Tanzania ni nchi pekee ambayo mtu huweza kuamka asubuhi na kudai kuwa amegundua dawa inayotibu ugonjwa ama magonjwa kadhaa na kwamba amefanyia utafiti, na mtu huyu huweza kutoa dawa yake kwa wenye kusumbuliwa na magonjwa hayo na tena kwa gharama anayojipangia yeye, na hakuna mamlaka yo yote itakayo ingilia kati. Masikini nchi yangu, nchi ya wajinga ndio waliwao.
 
Kama una tatizo la vidonda vya tumbo usiendelee kuteseka kwa sababu njia ya kukuondolea matatizo ipo na usahau kabisa kuhusu hilo tatizo. Penda kurudi katika hali yako ya kuwa huru kama mwanzo. niandikie kwenye email ishealthy@hotmail.com na utafurahia
 
Makamanda Plz nina wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo. Nilipima hosp ikagundulika hivyo. Je miongoni mwenu kuna mtu anafahamu dawa ya matatizo haya?
 
Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA haidrokloriki asidi ili kuuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujameza chakula. INAPUNGUZWAJE MAKALI? kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBO na hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Jaribu hivyo ni bure tu kisha unipe feedback
 
Hello M4C! Hilo tatizo umefanya la maana kuligudua mapema sbb likikomaa huwa linasumbua sana na kumfanya mtu kutokuwa vema kiafya. Mm ninayo product ya asili ambayo ukiitumia utasahau kabisa hilo tatizo. Pia hukusaidia kukupatia nguvu na kuondoa sumu zilizowahi kuwepo mwilini. Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba yangu ni 0713889162
 
Back
Top Bottom