Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

mkuu hao wadudu wanauawa na antibiotics hasa Amoxicilin.Dose ya Amoxicilin kwa wiki moja au mbili inatibu kabisa hao wadudu.Kwa uhakika wa ninachokwambia google utaona

Asante kwa ushauri.
Mungu akubarik.
 
Mkuu Mzizi mkavu hii prescription yako nafikiri ungetuelezea mode of action la sivyo dada yetu Tummah unaweza kumletea matatizo zaidi. Nimetafakari sana namna ya kumsaidia tofauti na wewe unavyopendekeza lakini naona ajaribu kutupia contact zake humu niangalie namna ya kumsaidia. I am not hiding anything but only an 'ethical issue'

Thank for your advice,i feel better for my madicen that am stil using.
Then sorry am not 'dada'
Thnx.
 
He! hii hatari ndio hatujibiwi sie wenye majeraha ya tumbo! aah tujibuni jamani mtatuuwa!
 
Naona wanapenda tu vinono na vilivyoungwa kiasi cha kuwasahau wenye mahitaji maalum ndugu yangu 124 Ali
 
Last edited by a moderator:
Pole. mimi miaka ya 90 nilisumbuliiwa sana vidongo nika sili vyakula vyote vyenye acid na vyenye vichocheo vikali kama vile jamii ya kunde, chai ya rangi, pilipili, pilau na vyote vifananavyo.

Ila nashukuru Mungu baada ya kupona natwanga kila kitu kasoro mawe na kilicho haramu kwangu.
 
Wana jamii forums naomba munisaidie nateseka na ulcers nimetumia dawa tofauti lakini sipati haueni nimiezi minne iliyopita mpaka nimeshindwa kuendelea na masomo nani ambaye anafahamu dawa anisaidie au hata ushauri pls!!!!!!!!!!!!!
 
Tafadhali nenda hospital upate tiba sahihi, hi ugonjwa unatibika ukiwahi kabla ya komplikesheni
 
Nenda hospitali pia epuka kukaa bila kula kwa muda mrefu. Jaribu kula milo midogo midogo kila baada ya masaa machache labda kati ya matatu na manne, kama unatumia pilipili cheza nazo mbali. Pole sana.
 
Wana jamii forums naomba munisaidie nateseka na ulcers nimetumia dawa tofauti lakini sipati haueni nimiezi minne iliyopita mpaka nimeshindwa kuendelea na masomo nani ambaye anafahamu dawa anisaidie au hata ushauri pls!!!!!!!!!!!!!

Mkuu lukunij

Pole kwa tatizo lako na nakusihi kutokata tamaa kwani muda wa kupokea muujiza wa tiba umefika. Hakika, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL na RED YEAST COFFEE ambavyo ni VIRUTUBISHO VYA EDMARK, vina tibu vidonda vya tumbo na maradhi mengine ya hapa duniani.

Ninachokuomba Mkuu lukunij, ni utayari wako wa kutumia ipasavyo dozi kama nitakavyokuelekeza kisha malipo utafanya mara baada ya kujiridhisha kwamba umepona na kuja kutoa ushuhuda humu jamvini ili kuwasaidia watu wengine humu jamvini wenye imani ya Thomaso.

Wasiliana nami kwa 0713 366 473 au 0767 277 223.

Usikubari kuendelea kuteseka. CHUKUA HATUA!

MAELEZO YA SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL NA RED YEAST COFFEE

Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa “Mulberry ” unaotambulika kama chanzo bora cha “Chlorophyll”.

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya”. - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

“Splina” Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng’enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.

Nani anatakiwa kutumia “Splina Liquid Chlorophyll”

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

Red Yeast Coffee.

Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu”lehemu”(Bad Cholesterol)

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na “triglycerides”.

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng’enyo wa chakula.
 
Napenda kufahamu tiba sahihi ya vidonda vya tumbo maana matangazo ya dawa ni mengi. Kama kuna mtu ambaye ameishatumia na kupona bila kupata usumbufu tena naomba unitajie ni dawa gani.

Iwe ya hawa herbalist au ya viwandani.
 
Napenda kufahamu tiba sahihi ya vidonda vya tumbo maana matangazo ya dawa ni mengi. Kama kuna mtu ambaye ameishatumia na kupona bila kupata usumbufu tena naomba unitajie ni dawa gani. Iwe ya hawa herbalist au ya viwandani.
Mkuu.@Kaka mwisho Mimi ninayo Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo ukitaka wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Napenda kufahamu tiba sahihi ya vidonda vya tumbo maana matangazo ya dawa ni mengi. Kama kuna mtu ambaye ameishatumia na kupona bila kupata usumbufu tena naomba unitajie ni dawa gani. Iwe ya hawa herbalist au ya viwandani.

Last edited by a moderator:
Napenda kufahamu tiba sahihi ya vidonda vya tumbo maana matangazo ya dawa ni mengi. Kama kuna mtu ambaye ameishatumia na kupona bila kupata usumbufu tena naomba unitajie ni dawa gani. Iwe ya hawa herbalist au ya viwandani.

Jaribu hii

Vipi utajitengenezea "dawa" hiyo ya kutibu vidonda vya tumbo?

Mwenye macho, haambiwi tazama!

Last edited by a moderator:
Napenda kufahamu tiba sahihi ya vidonda vya tumbo maana matangazo ya dawa ni mengi. Kama kuna mtu ambaye ameishatumia na kupona bila kupata usumbufu tena naomba unitajie ni dawa gani. Iwe ya hawa herbalist au ya viwandani.

Kama upo Dar panda gari za kwenda kitunda shuka kituo kinachoitwa matembele then uliza clinic ya tiba mbadala.mimi nimepona baada ya kutumia dawa za yule dada.nilihangaika muda mrefu na kunywa dawa za aina kibao bila majibu mazuri
 
Wana jamii forums naomba munisaidie nateseka na ulcers nimetumia dawa tofauti lakini sipati haueni nimiezi minne iliyopita mpaka nimeshindwa kuendelea na masomo nani ambaye anafahamu dawa anisaidie au hata ushauri pls!!!!!!!!!!!!!

Nakushauri kama upo Dar panda gari za kwenda kitunda then shuka kituo kinaitwa matembele uliza clinic ya tiba mbadala ipo barabarani tu.mimi nimepona baada ya kutumia dawa za yule dada.
 
Ndugu mbona dawa unayo mwenyewe, piga glass ya mkojo wa asubuhi ndani ya wiki moja utuletee majibu.
 
Back
Top Bottom