Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mmh nivea mimi hatua yangu ilikuwa ndefu kidogo sijui kama maelezo yangu yatakusaidia ila kifupi kipindi hicho nilishikika kisawasawa hadi nikawa natembea kama ninakibyongo kwa ajili ya maumivu.

Basi baada ya kupata vipimo hospitali na dk kuona jinsi matatizo yalivyoniathidhiri, daktarii aliniandikia dozi kama ya miezi miwili baadhi ya dawa kwa kweli sizikumbuki ila ninazozikumbuka ni kama zantac, amoxiline, flyghl (sinahakika na spelling) na hizi dawa huwezi amini nilizitumia kwa kipindi hicho ingawa kuna baadhi zilikuwa za mwezi mmoja na nyingine nimesahau jina maana ni siku nyingi.

Pamoja na hayo kufuata mashariti ya daktari maana katika hizo dawa kuna ambazo nilikuwa nakunywa kabla ya kula, nyingine katikati ya mlo, nyingine baada ya kula. Vile vile vyakula vyote ambazo nilizuiliwa kula sikugusa hata shule nilikuwa naenda na chupa langu au la maziwa au uji lishe.

Baada ya kumaliza nilijisikia nimepona ila kutokana na mihangaiko vikawa vinanishtuashitua so kuna dada mmoja akaniambia nichukue kiini cha yai la kienyeji nichanganye na asali mbichi ikiwa ni ya nyuki wadogo ni nzuri zaidi nikafanya hivyo kama wiki kweli niliona matokeo mazuri, pia kutumia juisi ya Karoti inasaidia sana, vitunguu swaumu pia waweza kuchangania kwenye saladi na kama u buheri wa afya waweza kunywa mkojo wako ule wa asubuhi glasi moja hata siku tatu mpaka tano kabisa.( zingatia uwe mzima wa afya usiwe na uambukizo wa STD).

Kiukweli hayo yote mie nimeyapitia ni kipindi kirefu sasa maumivu ya vidonda kwangu ni ndoto na nala kila nipendacho na ni mpenzi wa pilipili.

La muhimu ukiwa kwenye matibafu fuata masharti ili kurahisisha kupona vizuri ukisha pona unarudia hali yako ya kawaida vidonda vinasumbua, vinatesa na vinaumiza sana na ni hatari hasa vinapofikia steji mbaya kupona ni shida sana nakumbuka wakati nasumbuliwa nilifikia hatua ya kuvutwa na glass yaani nawashiwa moto (wenyewe wanaita chembe moyo) kisha nafunikwa na glass kisha wana-pull maana tumbo lilikuwa kama limehamia mgongoni nikitembea nimeinama kama bi kizee, maumivi yasipoa, siku zote niko kama mgonjwa wa malaria, nikiumwa njaa nikichlewa kula najiona kama nafa, kila siku kuumwa kichwa, kichefuchefu kisichoisha kweli nilikuwa na taabu, nikienda kwa watu lazima nihakikishe nyumbani nimekula maana siwezi kula chochote hasa nikikuta wamepika maharage au jamii yoyote ya kunde lakini GOD IS GREAT LEO HII NANYATANYATA NIKIWA NJIANI, NAIMBA KWA SAUTI NIWAPO NA FURAHA, NALIA KWA MAJONZI NIWAPO NA MASIKITIKO, HATA KICHEKO CHA UMBEA NATOA NIKIWA NATETA, YOTE MAISHA.

POLE SANA KWA KUUGULIWA. ANAWEZA JARIBU HIZO TIBA MBADALA NILIZOORODHESHA HAPO KWA IMANI ATAPONA. AIKIAMUA KUANZA NA YA YAI AHAKIKISHE MAYAI ANAYASAFISHA KABLA YA KUVUNJA KUEPUKA UAMBUKIZO NA LAZIMA YAWE YA KUKU WA KIENYEJI. BWANA AMPONYE.
Ruby Ahsante kwa maelekezo- tiba na kiukweli nitayafanyia kazi (mi ni mmojawapo wa wataabika wa Vid.Tumbo) Lakini bado narudi kwenye suala la msingi nini lishe/mlo wetu ?
 
Ruby Ahsante kwa maelekezo- tiba na kiukweli nitayafanyia kazi (mi ni mmojawapo wa wataabika wa Vid.Tumbo) Lakini bado narudi kwenye suala la msingi nini lishe/mlo wetu ?
sina uhakika sana ila kipindi nataabika vitu nilivyozuiwa kula ni vyakula vyote vyenye acid kwa wingi, mafuta mengi kwenye chakula, vyakula vyenye caffein, vyakula vyenye vichocheo kwa wingi so nilikuwa sili jamii yote ya kunde labda kama itakuwa imetolewa maganda, vyakula vyenye vichocheo kama pilau, mikate yenye blue band pia nilikuwa sili, soda kama cocacola nilikuwa sinywi na mpaka leo sinywi, chai ya rangi/kahawa sikuwa nakunywa ilikuwa vyema nitumie maziwa fresh au uji lishe na ndio hasa niliiokuwa nautumia kwa kipindi chote niliichokuwa kwenye matibabu kama kifungua kinywa na wakati wote nipendao.

so mara nyingi niliikuwa nala vyakula simple ambavyo havijaungwa sana kama wali, wali wa nazi, ugali, viazi mringo, ndizi n.k nyama, samaki lakini chukuchuku, mbogamboga kwa wingi, matunda i.e karoti, embe, chungwa yale matamu, papai, water melon, n.k

kwa ujumla siwezi kukwambia chakula halisi ni kipi ila kama hali sio nzuri ni bora ujiepushe na vyakula vinavyochochea vidonda kuuma ila ukazane na vyakula vinavyosaidia vidonda kupona kwa haraka.

katika somasoma vitabu niliona hot paper inasaidia vidonda kupona hata ndimu ila ukiitumia wakati vidonda ndio vibichi vinauma ni kama ukijikata ukaweka ndimu inasaidia lakini maumivu yanakuwa makali hii nafikiri ni kwa sababu ya ile acid. la muhimu ni kuwa mwangalifu ujijue uko katika hali gani ule nini na kwa wakati gani unapopangilia kiukweli unapona. Pengine wengi tunashindwa pona kutokana na maisha ya mihangaiko mingi kutwa uko kutafuta na ule muda wa kula huna sana sana tunakimbilia kwa mama ntilie au kwenye buffet, ukirudi jioni nyumbani ndio hivyo ushakuwa usiku na chakula kizuri ambacho kingesaidia mwili ni kile cha asubuhi, mchana na jioni sio usiku.

Na mtu mwenye vidonda anatakiwa asikae njaa muda mrefu angalau anaweza kula baada ya masaa manne mpaka sita. Je wote twaweza haya?
 
Ahsante ndugu hapo kwenye red nadhani ndipo ninapofeli ,mie na wife ni vinara wa mikaangizo pamoja na matatizo yangu ,halafu mkate kwa blueband na jam pia haukosikani.
Nakula samaki roasted, mboga za majani kwa wali kila siku iendayo kwa mungu nimebadilisha ni chapati .kwa maelezo yako nimepata general idea nini nizidishe nini niache!asante tena!
 
Ndugu Che Kalizozele hiyo Dawa niliyosema Ya kutibu Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo nimeipata katika vitabu vya zamani sana vya Uganga wa Kienyeji vya Mwaka 1200 na Huo Utaalamu wa Kutumia Mkojo Kwenye Hospitali hawajuwi hata Ma Proffeser hawaoni ndani usione kuwa natani hiyo ni kweli na wengi waliojaribu wamepona.

Hakuna Dawa Ya kutibu Vidonda vya Tumbo yaani kwa lugha ya kigeni ni (Ulser) hakuna Hospitali ipo ya kutuliza tu sio kutibu Kunguru Mweupe kuna Maradhi ambayo hayawezi kutibika Hospitalini lakini kwa Wataalamu wa Kienyeji wanaweza kutibu kama Ugonjwa wa Pumu ugonjwa wa kisukari, Ugonjwa wa Kifafa, Ugonjwa wa Wendawazimu Kupooza na Ugonjwa wa Cance.

Mpaka sasa hakuna Dawa za kutibu hayo maradhi ila zipo za kutuliza sio kuyamaliza Maradhi kinachotakiwa kwa Mgonjwa ni kujaribu kutumia Dawa ili kuona kama itaweza kumsaidia sio kupinga jamani Wenzangu tunajaribu kuelimishana sina kushindana asanteni sana.

mkuu majuzi nikutafuta na mgonjwa wangu anatapika kila kitu anachotia mdomoni, na tatizo limeonekana ni vidonda vya tumbo lakini kwa dawa hiyo ya mkojo wake, no basi nasipone
 
mkuu majuzi nikutafuta na mgonjwa wangu anatapika kila kitu anachotia mdomoni, na tatizo limeonekana ni vidonda vya tumbo lakini kwa dawa hiyo ya mkojo wake, no basi nasipone
Mkuu mansakankanmusa Kama huyo Mgonjwa wako atashindwa kunywa mkojo wake bora mpeleke hospitali wakamtibu hivyo Vidonda vya tumbo. Hakuna dawa iliyokuwa nzuri tena ya Rahisi kuliko hiyo ya mkojo wake mwenyewe kunywa kwa muda wa siku 7 ninakuhakikishia atapona hivyo vidonda vyake vya tumbo.Mkuu.@ngoshwe njoo umpe huyu kijana ushuhuda wa Dawa ya Vidonda vya tumbo ehttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza.html
 
Vidonda vya tumbo husababishwa na vitu tofauti na kimojawapo ni kuongezeka kwa kutengenezwa kwa tindikali iliyopo katika tumbo ambayo inadhuru (gastric mucosal),Matumizi ya dawa zinazoitwa NSAID´s(non-steroidal antiinflammatory drugs mfano aspirini kwa muda mrefu husababisha pia vidonda vya tumbo au maambukizi ya Helicobacter.pylori
Nakushauri uende kwa daktari achukue Gastrokopi ya tumbo lako na vipimo vingine kama haja kubwa ili kuchunguza kama unda vidonda vya tumbo tu na vipo katika eneo gani la tumbo/utumbo.. au kama una vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na maambukiziya Helicobacter Pylori,hapo lazima uchukuliwe ureatest.
Vidonda vya tumbo matibabu ni.
Omeprazol,Pantoprazol,Lansoprazol,Esomeprazol ,cemitidin,ranitidin

Vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na Helicobacter pylori hutibiwa na (trippelcure)
a)aidha omeprazol+ amoxicillin+ clarithromycin
b)au omeprazol+ metrodinazole+ amoxicilln/clarithromycin

Pole sana mwanajamii. Unaweza kufuatilia haya maelezo ya namna ya kupambana na vidonda vya tumbo hapo chini yatakusaidia. Ukiwa unahitaji msaada zaidi unaweza kuwasiliana katika namba ya simu niliyoweka mwishoni au kwa kuniandikia katika email iliyowekwa.

REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN HYPHA

Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.

FAIDA ZA GOLDEN HYPHA

  • Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
  • Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
  • Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
  • Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
  • Inaondoa uvimbe mwilini
  • Inatibu matatizo ya ini
  • Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
  • Kutibu matatizo ya ngozi
  • Kupambana na bacteria na virusi

Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/-, GOLDEN HYPHA ni 72000/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 
Attachments

  • REISHI.jpg
    REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 101
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 98
  • GOLDEN HYPHA.jpg
    GOLDEN HYPHA.jpg
    16.2 KB · Views: 105
Je na mimi ninaweza kuwa na tatizo la vidonda vya tumbo? Nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupungua kwa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa! Nini tiba yake? Lakini nikinywa pombe kali tatizo linakwisha!
 
Mkuu pole sana,mimi nilisumbuliwa sana na vidonda vya tumbo 2008.Huyu mzee anaishi Mtoni Madafu,kama unaelekea Mbagala.Aliniponyesha Vidonda.Wengi niliowapeleka wamepona pia.Anatengeneza dawa za kuchanganya na asali.Mpigie uonane nae.Ni gali lakini baada tiba utapona kabisa.achana na matapeli.0774553650
 
Tafuta aloe vera gel ya forever living, ni kiboko ya hili tatizo, miez michache iliyopita nilikuwa na hilo tatizo saiz baada tu ya kutumia lilisha mpaka leo, inauzwa elf 43 kwa chupa moja. Ukihitaj ntafute 0752720276
Je na mimi ninaweza kuwa na tatizo la vidonda vya tumbo? Nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupungua kwa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa! Nini tiba yake? Lakini nikinywa pombe kali tatizo linakwisha!
 
Vitamin U is the anti-ulcer vitamin. It is a specific for peptic ulcers. Raw cabbage juice and alfalfa have the most of vitamin U. Boiling destroys this anti-ulcer factor, and wilted cabbage contains less vitamin U. Drink fresh, raw cabbage juice immediately after juicing. Drink a quart(i.e., 1litre) daily. Carrot juice can be added to improve the flavor.
Potatoes are very helpful. They are soothing and have an alkaline reaction.
 
kuna dawa inaitwa harakati iko kwenye chupa ya plastic inapatika hapo kariakoo kwenye maduka yanayouza madawa ya asili chupa moja tsh 3000 unatakiwa kunywa chupa4,ni nzuri sana binti amemsadia sana kwani sasa anakula hata maharage
 
mi nina tatizo kubwa la kusumbuliwa na gesi sina raha hata kidogo,nimejaribu kutumia dawa za kikorea na kichina na hata kufanya massage ya kichina ya tumbo ilipoa kwa wiki moja tu halafu ikarudi kama zamani,na nahisi nina tatizo pia kwenye digestion system yangu...wadau naomba mnisaidie kunishauri dawa ya miti shamba inayoweza nisaidia..tafadhali.
 
mkuu Rubi tatizo ya hizi tiba mbadala ni muda mrefu utakaotumia kuhangaika kutumia hivyo vitu. Pangekuwa na tiba moja inayojulikana na isiyo na mlolongo wa masharti na taratibu ingekuwa rahisi. Maisha yenyewe yanaenda kasi kama nini. Kujipanga na hizi tiba mbadala ni sawa na kukiuka masharti ya mganga
 
Last edited by a moderator:
Wapigie wale wa netragen tabata segerea, km kweli una uhakika ni vidonda vya tumbo.0755463046
 
Siku zote ugonjwa kuingia ni rahisi kutoa shida.
 
yule dada anajitangaza kwenye tv anaitwa dr. rahabu umemjaribu??? nasikia wengi wanapona kwa kutumia dawa yake...hata tfda wamempa kibali na juzi nlimwona znz na viongozi wa znz wanamkubali kutokana na reviews za waznz waliokua kukiugua vd vya tumbo.
 
Unajuwa lakini Faida ya mkojo wako mwenyewe Ule wa Asubuhi unapoamka? Hebu soma hapa chini kwa kiingereza mkuu Mzalendo JR

Is it safe to drink your own urine?

Tatizo la wengi wanatanguliza kinyaa kwenye tiba, nakubaliana
kabisa na wewe kuhusu mkojo wa asubuhi, nina ushuhuda kutoka
kwa watu waliopona vidonda vya tumbo kwa tiba ya mkojo wao
wa asubuhi. Tuache ubishi, kama tunataka tiba kwanini tusijaribu,
after all hakuna madhara kunywa mkojo wako mwenyewe. Tatizo
letu tunataka dawa tamu na kusahau kuwa dawa nyingi nzuri huwa
ni chungu ama chachu.

Pia issue ya Dr Rahabu na dawa yake ya Fiterawa, kuna watu wawili
ninaowafahamu waliotumia madumu kadhaa ya dawa hiyo na hadi leo
bado wanasumbuliwa na vidonda vya tumbo. Pia rafiki yangu analalamika
kuwa mama yake katumia dawa hiyo kama miezi sita iliyopita lakini
bado analalamika maumivu ya tumbo kila akila maharage...
 
Back
Top Bottom