Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Mkuu, huyo jamaa amepigwa ban kwa sasa tumsubiri amalize adhabu yake ila nina-attach hapa chini audio yake ya vidonda vya tumbo idownload uisikilize nimeipenda sana hata mimi
Download attachment yake hapa chini na uisikilize alishaiweka hapa jf siku za nyuma
mkuu Iyokopokomayoko we na Fadhili Paulo nadhani mna share idea moja nadhani mnafahamiana kama sio mtu mmoja, kuna issue moja ya kuhusiana na HIV/AIDS ameielezea kule kwenye website yake ya Fadhili Paulo kuna bandiko moja anasema kwamba UKIMWI hausababishwi na virus lakini katika zile dawa zake za ukimwi anaelezea kuhusiana na dawa kwa mfano ile ya Nazi inavyoweza kupambana na Virusi...
Sasa nikamuuliza inakuwa vipi anasema ukimwi hausababishwi na virusi hapo hapo kwenye dawa anaongelea kuhusiana na Virusi akatoka Nduki hakunijibu...
Halafu kule kwenye web yake sijui amefanyaje sikuweza kukopi yale maandishi yake ili kwamba niweze quote, twende nae sawa aweze kujibu maswali yangu ili kwamba niweze kujiridhisha, sasa ameniacha nime hang hewani tu, ukimwona mwambie au akifunguliwa, aje huku ku stick na kitu anachokianzisha baada ya kuweka kitu na kuondoka tu, hivyo sio fair kabisa...
Last edited by a moderator: