Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Muumbaji amesema tuijaze.....Wapo watu bilioni 8 duniani, Dunia hahiitaji watu zaidi
Chuma Hicho Kinatema Che Che Che, Rocket ScienceChuma inabidi iwe hivyo π₯π₯
View attachment 3676310
Yeah, lazima kiwe kimeshiba,Chuma Hicho Kinatema Che Che Che, Rocket Science
Una amini ?Chuma inabidi iwe hivyo π₯π₯
View attachment 3676310
Kati ya wanaume 10, wawilindio wana hicho kimjusi kilichokamilika.Chuma inabidi iwe hivyo π₯π₯
View attachment 3676310
Well said, wanaume wengi hawana mbegu, na hata uume hausimami vizuri kama sisi tulipokuwa mabinti ukikutana na mwanaume kweli unajua mwanaume na hata tulipokuwa shule ukiona ndani ya kaptula ya vulana kweli unajua huyu ana mzigo.The world itself is contaminated...
Huwezi niambia kwa chemically anazobugia mtu on a daily basis, na vyakula vya ovyo anavyopakia aje awe na sperm count kama ya mtu wa miaka ya 90.
Hakuna option tena naona ni vizuri tu watu wapandane bila kuzaana Maana umaskini na watoto wasio na malezi bora vinapungua pia
Acha chips na mayonaiz na urojo upate heshima ukweni.πππ
Umeona ripoti inataja ulichoandika au tuupoteze uzi wakoWanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume ni changamoto kubwa zinazokabili mpango huo.
Kwa mujibu wa Wataalamu, karibu theluthi mbili (2/3) ya visa vya Ugumba vinavyotibiwa katika kituo hicho vinatokana na Wanaume, ikijumuisha kutokuwa na Mbegu kabisa, idadi ndogo ya Mbegu, uwezo duni wa Mbegu kuogelea au umbo lisilo la kawaida la Mbegu.
Baadhi ya Wanaume huonekana kuwa na afya njema lakini vipimo hufunua matatizo makubwa ya Uzazi, mara nyingi yakihusishwa na Mtindo wa maisha kama vile matumizi ya Pombe, uvutaji sigara, Msongo wa mawazo, ukosefu wa usingizi wa kutosha na matumizi ya dawa za kulevya.
Utafiti mkubwa wa Kimataifa uliochapishwa katika Jarida la 'Human Reproduction Update' unabainisha kuwa uwezo wa Wanaume kuzalisha idadi nzuri ya Mbegu za kiume Duniani umeshuka kwa zaidi ya 50% kati ya mwaka 1973 na 2018, huku kasi ya kupungua ikiongezeka mara dufu hadi kufikia 2.6% kwa mwaka tangu mwanzoni mwa karne ya 21
Imeshajaa mpaka inapumulia pomoni, binadamu wanazidi kuharibu ozone layer tu kwa kuzalisha hewa chafu na wanakaribia kumaliza species nyingine za viumbe hai sasa hivi.Muumbaji amesema tuijaze.....
ni vizuri kupunguza ulaji wa mayai na kuku mshenzi wa kukaanga, na ni vizuri zaidi kuzidisha kula zaidi vyakula asilia na matunda, kunywa maziwa kwa wingi na maji ya kutosha, kufanya mazoezi mepesi na kupumzika vya kutosha, kwasababu changamoto hiyo inatibika na kupona zaidi.Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume ni changamoto kubwa zinazokabili mpango huo.
Kwa mujibu wa Wataalamu, karibu theluthi mbili (2/3) ya visa vya Ugumba vinavyotibiwa katika kituo hicho vinatokana na Wanaume, ikijumuisha kutokuwa na Mbegu kabisa, idadi ndogo ya Mbegu, uwezo duni wa Mbegu kuogelea au umbo lisilo la kawaida la Mbegu.
Baadhi ya Wanaume huonekana kuwa na afya njema lakini vipimo hufunua matatizo makubwa ya Uzazi, mara nyingi yakihusishwa na Mtindo wa maisha kama vile matumizi ya Pombe, uvutaji sigara, Msongo wa mawazo, ukosefu wa usingizi wa kutosha na matumizi ya dawa za kulevya.
Utafiti mkubwa wa Kimataifa uliochapishwa katika Jarida la 'Human Reproduction Update' unabainisha kuwa uwezo wa Wanaume kuzalisha idadi nzuri ya Mbegu za kiume Duniani umeshuka kwa zaidi ya 50% kati ya mwaka 1973 na 2018, huku kasi ya kupungua ikiongezeka mara dufu hadi kufikia 2.6% kwa mwaka tangu mwanzoni mwa karne ya 21
Muumbaji amesema tuijaze.....
"tuupotezee"wewe na nani?Umeona ripoti inataja ulichoandika au tuupoteze uzi wako
Kama mwanaume anathubutu kula vitu hivyo hawezi kuwa na maajabuChips na Ice CREAM zatajwa!