allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,134
- 3,467
Heshima pesa, hayo mengine ni mavurugu tuAcha chips na mayonaiz na urojo upate heshima ukweni.
Heshima pesa, hayo mengine ni mavurugu tuAcha chips na mayonaiz na urojo upate heshima ukweni.
Watanzania wengi wako obsesses na kutombana na kuzaana kwa sana, kuongeza watu masikini duniani.Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume ni changamoto kubwa zinazokabili mpango huo.
Kwa mujibu wa Wataalamu, karibu theluthi mbili (2/3) ya visa vya Ugumba vinavyotibiwa katika kituo hicho vinatokana na Wanaume, ikijumuisha kutokuwa na Mbegu kabisa, idadi ndogo ya Mbegu, uwezo duni wa Mbegu kuogelea au umbo lisilo la kawaida la Mbegu.
Baadhi ya Wanaume huonekana kuwa na afya njema lakini vipimo hufunua matatizo makubwa ya Uzazi, mara nyingi yakihusishwa na Mtindo wa maisha kama vile matumizi ya Pombe, uvutaji sigara, Msongo wa mawazo, ukosefu wa usingizi wa kutosha na matumizi ya dawa za kulevya.
Utafiti mkubwa wa Kimataifa uliochapishwa katika Jarida la 'Human Reproduction Update' unabainisha kuwa uwezo wa Wanaume kuzalisha idadi nzuri ya Mbegu za kiume Duniani umeshuka kwa zaidi ya 50% kati ya mwaka 1973 na 2018, huku kasi ya kupungua ikiongezeka mara dufu hadi kufikia 2.6% kwa mwaka tangu mwanzoni mwa karne ya 21
Slow your pace , and fix your tone and come here when you will learn to talk like men."tuupotezee"wewe na nani?
Kama imekugussa, badilika, achana na yaliyotajwa.
Ripoti ipo pdf format , unataka kasome pale MNH, hapa nimekuleteeni kifupi?
Ninti ndio watoto wa mabepari mnsoma siku nzima na usiku mnataka kuletewa walimu wa tuition na kufanyiwa asiignemnt na wazazi.
Pesa zenyewe hadi muuze migongo yenu! Njooni njombe tupande mitiHeshima pesa, hayo mengine ni mavurugu tu
UJUMBE UMEFIKA, unakuta wasichana wanalalamika watu wanawachafua tu, ndio maana siku hizi mabinti wengi wanataka wazungu.Kama mwanaume anathubutu kula vitu hivyo hawezi kuwa na maajabu
AiseeePesa zenyewe hadi muuze migongo yenu! Njooni njombe tupande miti
Yeah,Una amini ?
Maisha ya sasa yameharibu sana mifumo mbali mbali ndani ya mwili.Kati ya wanaume 10, wawilindio wana hicho kimjusi kilichokamilika.
They shoot blanksWanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume ni changamoto kubwa zinazokabili mpango huo.
Kwa mujibu wa Wataalamu, karibu theluthi mbili (2/3) ya visa vya Ugumba vinavyotibiwa katika kituo hicho vinatokana na Wanaume, ikijumuisha kutokuwa na Mbegu kabisa, idadi ndogo ya Mbegu, uwezo duni wa Mbegu kuogelea au umbo lisilo la kawaida la Mbegu.
Baadhi ya Wanaume huonekana kuwa na afya njema lakini vipimo hufunua matatizo makubwa ya Uzazi, mara nyingi yakihusishwa na Mtindo wa maisha kama vile matumizi ya Pombe, uvutaji sigara, Msongo wa mawazo, ukosefu wa usingizi wa kutosha na matumizi ya dawa za kulevya.
Utafiti mkubwa wa Kimataifa uliochapishwa katika Jarida la 'Human Reproduction Update' unabainisha kuwa uwezo wa Wanaume kuzalisha idadi nzuri ya Mbegu za kiume Duniani umeshuka kwa zaidi ya 50% kati ya mwaka 1973 na 2018, huku kasi ya kupungua ikiongezeka mara dufu hadi kufikia 2.6% kwa mwaka tangu mwanzoni mwa karne ya 21.
Tujadili.
ASante, tusisubiri mitume na manabii waje kuwapa ujumnbe wanaume.Kama mwanaume anathubutu kula vitu hivyo hawezi kuwa na maajabu