Mara nyingi nakuona una like sijawahi kukuona unacomment sijui kwanini upendi kucomment? Wakati upo vizuri kichwani.Awww asante ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi nakuona una like sijawahi kukuona unacomment sijui kwanini upendi kucomment? Wakati upo vizuri kichwani.Awww asante ndugu.
Wewe wasemaKama wewe
SawaNeno demu silipendi.
Wasipokuelewa hadi hapo waendelee tu kulalamika na ku hate AFHuyu ndugu aliyeleta uzi si ajabu ukakuta yupo kwenye management team ya kondeboy, kwa excuses hizi totatoboa kweli????
Kitu pekee mlishindwa kugundua toka mwanzo ni kuwa kutoboa kiafrica needs alot of efforts accompanied na nyimbo nzuri, katika efforts hizo, collabo na wasanii wa nje haikwepeki mlidhani Mond ni mjinga kufanya collabo nyingi? Diamond aliwahi ingia mkataba na moja ya mameneja wa Wizkid kwa ajili ya kupush mambo fulani fulani huko west mnadhani hakuwa na akili eenhe?? Tanzania ni nchi ambayo iko nyuma kwenye international eyes kwa kila kitu na muziki ukiwepo, hivyo extra efforts zinahitajika kutoboa tusidanganyane.
Kondeboy ametoka WCB akiwa bado mchanga kwa international market, alihitaji menejiment makini izidi kumpush sana. Walifanyie hili kazi ama sivyo wataendelea kulia lia. Kwa maana nyingine alitakiwa apate management ambayo wapo smarter na wana exposure kuliko ya WCB.
Tukija kwa market ya ndani, anatakiwa awe na mashabiki loyal wengi sana , be it wapuuzi kama mnavowa-name au smart ones. Business wise mashabiki ni mashabiki as long as wanasupport unachofanya. Kibongo bongo mashabiki ambao ni loyal ni wa Diamond, Mpira, CCM, CDM, Wema (kwa kipindi chake) na Zari. Wengine wote au kwingine kote wanajaribu kugawana gawana waliobaki ambao hata sio loyal. Watu walimis-look wakati Konde anajitoa WCB kwa kudhani ana mashabiki wa kutosha ukweli ni kuwa hana mashabiki mnaodhani anao, mashabiki zake wengi ni wa Diamond na wamebaki na Diamond wao. Tulishauri miaka ya nyuma ufanyike mpango mkakati wa kuwatengeneza mashabiki loyal kwa Harmonize, Rayvanny na mavoko kipindi hicho WCB hawajamsajili mboso na lavalava. Sasa kondeboy hana mashabiki loyal wengi, na hajatoa nyimbo nzuri tangu atoke WCB graph lazima ishuke tu hakuna uchawi hapo.
Nimezungumzia loyal fanbase kwa uzito kuliko hata support ya media houses sababu sote tunajua impact ya social media ambayo ni uwanja huru, kuna muda unaingia kwa social media unashangaa kumechafuka posts za yanga ,simba au za Diamond etc unaanza kujiuliza kwani nini kinafanyika leo! Unajikuta umepata hamu ya kufuatilia.
Mashabiki wanaplay role kubwa sana ya kupost na kurepost kusababisha kitu kiende viral. Mfano mwingine unakuta wimbo umetoka unafanyiwa challenge Dunia nzima mfano ule “Kiki”(in my feelings) wa Drake, hata kama mtu huna interest nao unajikuta umefuatilia na umefahamu.
Mara nyingi nakuona una like sijawahi kukuona unacomment sijui kwanini upendi kucomment? Wakati upo vizuri kichwani.
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMOND PLATINUMZ TU.
Wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi.
Sasa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Watu wengine hata sielewagi akili zao zipoje,mtu anaanzaje kusema wanigeria wanaachiana kufanya muziki seriously?,ndio hizo sababu wanazoletaga hapa eti Diamond mbinafsi anataka kuwa juu peke yake au hawaachii wenzake nao wakue international artist wakubwa kama yeye,music ni biashara kila mtu anakula kutokana na bidii yake, Diamond kawaonyesha njia wasanii wengi wa Tanzania lakini wao wanataka waachiane, sijawahi ona popote pale duniani,Huko Nigeria fikiria miaka mitatu au minne nyuma ambapo watu kama kiss Daniel,tiwa savage,korede bello,harrysong,olamide,patoranking,davido, Wizkid,p square,na wengine walipokuwa ktk peak ya hali ya juu,mtu anaanzaje kusema wanigeria wanaachiana?, harmonize aache kutafuta huruma za watu ajue kuwa 90 asilimia ya mashabiki wake ni wale waliokua WCB,hao asilimia kumi wote ni haters wa Diamond na WCB kwa ujumla, kutafuta huruma hakumsaidii,atoe nyimbo kali zaidi watu watamkubali.Hyo ndo game ya muziki... sijaelewa hapo unaposema BURNABOY kaachiwa nafasi? ...ina maana wengine hawafanyi tena muziki? ....... mwambieni msanii wenu atoe ngoma kali na ajitume otherwise acheni majungu na kutafuta huruma .... halafu usilazimishe kila mtu apende unachotaka wewe!!! na unapoongea ni vizuri ukawa na ushahidi na akiba ya maneno mana sidhani kama YOUTUBE wakikwambia uthibitishe kwamba wao hawa post hzo shows za konde boy utakuwa na huo ushaidi!?
Fanya kazi kijana acha majungu.
Kaka me ktk hao wa TZ mil 50 nitoe...sijawah taka msanii awe DIAMOND peke yake kwanza SIMUELEWI naona anapiga kelele tu na kaanza na wizi siku hizi.Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMOND PLATINUMZ TU.
Wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi.
Sasa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Kama AlikibaKaka me ktk hao wa TZ mil 50 nitoe...sijawah taka msanii awe DIAMOND peke yake kwanza SIMUELEWI naona anapiga kelele tu na kaanza na wizi siku hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly.Ujamaa umetulemaza sana aisee
Hiyo nibiashara sio kusaidiana kila mtu apambane hili ni soko huria.
Ni wapi kabaniwa kondeboy? Kati ya WCB na konde gang nani anabaniwa? Nani nyimbo zake vituo vingi hazichezwi?
Labda jicho lako halioni Mbali kuna management ya WCB na kuna management ya Konde gang kila management ifanye Kazi yake ya biashara sawasawa.
WCB na Konde gang sio vituo vya misaada ni biashara tena zenye ushindani.
Sikwamba Nigeria wanaachiana hapana kila mtu anapambana mpaka atoboe na ushindani upo palepale Sema wenzetu wameshazoea ubepari Hakuna kulia kwenye business.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi,ilisemekana muziki haukui kwa kuwa unadhibitiwa na Ruge(RIP). Huyo Diamond amepambana huku media karibia zote hazipigi nyimbo zake na hakukata tamaa, vita vyake na Ruge(clouds in general) nilikuwa nam-support Ruge kwani kwake vita ile ilikuwa ya kibiashara na haikuwa personal. Hali kadhalika hapa Harmonise apambane kwani hii ni biashara ya muziki na biashara ni vita,mambo ya ujamaa kwenye biashara hayapo.ulikua mzuri sana kila mtu alipewa nafasi yake kwa ukali wake.
Ndo mana unaona hata diamond amefika alipofika
kwa sasa kuna namna mziki umetengenezwa haupendezi tena
Yaani mashabiki wa Harmonize wana akili sawa na mashabiki wa Kiba, and possibly, tunaodhani ni mashabiki wa Konde ni wale wale wa Kiba!! Hizo media unazosema hazi-post ngoma za Konde kisa WCB ni media zipi?! Unamaanisha hivi v-blog uchwara ambavyo havijafikisha hata Subscribers 100K, au?! Ikiwa Konde mwenyewe channel yake ina takribani ya Subscribers 1.5M na bado Views zinasua sua; hivi unaamini ki-blog uchwara chenye Subscribers chini ya 100K ndo zita-boost Views za Konde? Btw, hivi unaamini kabisa kwamba majority ya subscribers wa hivi v-blog hawaja-subscribe channel ya Konde?Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto.
Mzee baba umeua umemaliza kila kitu asipokuelewa basi.Yaani mashabiki wa Harmonize wana akili sawa na mashabiki wa Kiba, and possibly, tunaodhani ni mashabiki wa Konde ni wale wale wa Kiba!! Hizo media unazosema hazi-post ngoma za Konde kisa WCB ni media zipi?! Unamaanisha hivi v-blog uchwara ambavyo havijafikisha hata Subscribers 100K, au?! Ikiwa Konde mwenyewe channel yake ina takribani ya Subscribers 1.5M na bado Views zinasua sua; hivi unaamini ki-blog uchwara chenye Subscribers chini ya 100K ndo zita-boost Views za Konde? Btw, hivi unaamini kabisa kwamba majority ya subscribers wa hivi v-blog hawaja-subscribe channel ya Konde?
Ngoja nikusaidie kitu kimoja, ambacho watu wa Digital Makerting wanakifahamu!! Hapa nitakuonesha Data Analysis ya Mond, Harmonize na Millard AyoView attachment 1369349
Hapo juu ni Data Analytics ya Konde's Instagram Account! Hapo unaambiwa kwamba 82% ya Instagram Followers wa Konde Boy pia wamem-Follow Diamond! Kwa maana nyingine, 82% ya Followers wa Konde wametokana na Followers wa Mond!!
Sasa tuangalie akaunti ya Diamond:-
View attachment 1369363
Utaona hapo Instagram Account ya Diamond haina common followers na Harmonize bali ana common followers na hao wanne tu!! The question is: WHY wakati tumesema 82% ya Followers wa Harmonize wapo pia kwa Diamond na hapa tunasema Diamond hashei followers na Harmonize!!!
Jibu ni kwamba, Diamond amejiunga Instagram July 30, 2012 wakati Konde kajiunga December 14, 2014. Sasa hiyo 82% ni kwa sababu Followers wale wale wa Diamond ambae alijiunga mapema zaidi, ndiyo wakam-follow Harmonize ambae by the time hakuwa na followers!
Mtu kama Millard ana-share 56% na Diamond kwa sababu akaunti ya Ayo nayo ni ya muda mrefu; August 06, 2012; na kwahiyo kuna Followers walianza kum-follow Ayo ndipo wakaenda kwa Mond!!!
MAANA ya hiyo analysis ni kwamba, Harmonize HANA followers wa kutosha wa kwake mwenyewe bali 82% ya Followers wake wametokana na Diamond! Majority ya hawa ni mashabiki wa Diamond na Wasafi! Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi, asilimia kubwa ya Followers wake ambao wanatokana na Diamond/Wasafi, hivi sasa hawahangaiki kumaliza bundle zao kwenda ku-watch videos zake!!
So, hiyo ndiyo sababu na maelezo mengine yote, kama vile eti anabaniwa, mara sijui Youtube Media hazi-post, yote hayo ni POROJO tu!! Kwahiyo fanyeni kazi na achaneni na tabia za kutafuta public sympath, kama zile za Konde kutangaza kwamba kuzuiwa kwa shoo yake Mbeya kulikuwa na mkono wa mtu!!!!!
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMOND PLATINUMZ TU.
Wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi.
Sasa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMOND PLATINUMZ TU.
Wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku Tz tunapambana kushushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvuto. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi.
Sasa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Kama ni hivyo kwanini umlaumu diamond?