Afanye mziki wake aache majungu,kaanza Hainishtui watu kimya,kaja Hujanikomoa WCB wamekaa kimya ,sababu wameona ujumbe umekaa kimafumbo labda hauwahusu wao.
Juzi tena kapost video kuna kiemoro kinakunywa,huku kinacheza kakifananisha na meneja wake wa zamani ambaye anapenda bata (Sallam ) naona wenzake nao wamereact,sasa hivi anatafuta huruma.
Yy afanye mziki wake kama ameamua kumove on,akina Kiss Daniel,Lil Kesh,Tiwa Savage,Wizkid wametoka kwenye label zao za zamani lakini hawana madongo wala mafumbo kutoka kwenye label zao zilizo watoa na kuwasaidia.
Nigeria hamna mziki wa kuachiana nafasi haupo,ila wenzetu wanabebana sana,Burna boy kaachia nyimbo imehit kuliko wenzake,lkn mwaka jana Wizkid kaachia nyimbo,Olamide kaachia nyimbo,Davido kaachia nyimbo,Naira Marley,Zlatan,Patoranking,Simi,Adenkule gold,Rekardo Bank,Joeboy,Fireboy wote wameachia nyimbo.
Na kwa mwaka jana msanii alifanya vizuri Nigeria ni Naira Marley,akifuatiwa na Zlatan.Burnaboy alifanya vizuri 2018 na ndio maana mwaka jana alikusanya tuzo nyingi sana.