Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chapa kazi kondaboy, kulialia mtandaoni hakutakusaidia loloteNmefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB.. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA, na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hjanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMONDPLATINUM TU. wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku tz tunapambana kusushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvutoo. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi...SASa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Naomba unitag ukitumiwa.Tunaomba upost show ya Uganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB.. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA, na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hjanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMONDPLATINUM TU. wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku tz tunapambana kusushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvutoo. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi...SASa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Nazipenda nyimbo zake konde boy lakini anafanya ujinga sana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasaNmefatilia kwa undani mikiki anayopitia kondeboy toka ajiengue WCB.. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA, na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hjanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album Yake. Inashangaza sana kuwa nchi yenye watu million 50 tunataka msanii awe DIAMONDPLATINUM TU. wenzetu Nigeria international artist ni wengi kwa sababu wanaachiana nafasi. Huku tz tunapambana kusushana yaani mpaka media za YouTube hazipost show za harmonize ili tu akose mvutoo. Wenzetu wamefanikiwa kwa kuachiana nafasi...SASa hivi wamemwachia nafasi BURNABO.Hata hapa watu watakavyojibu ni kwa kumkatisha tamaa kondeboy.
Duh unaakili sanaaaa mtotoUlikua hujui?
Diamond kawahi kutoka nje halafu kafunga mlango.. [emoji23][emoji23]
siku akiacha mziki ndio mziki utakua mziki.
Ndo mana napend singeli haina ubinafsi, wimbo mzuri utakuweka kileleni sio jina
Mbona mashabiki wapuuzi wapo kwa wasanii wote wa mziki kuanzia Kiba, Vanessa, Aslay n.k na hao mashabiki hawapo tu kwenye mziki pekee wapo hata huku kwenye soccer letu.yeye si ndio analipa cha kufanya kundi la wapuuzi.. Unadhani bila Diamond na mameneja kamati ya fitna kuna wapuuzi? Hawatakuwepo watabaki mashabiki sasa mkuu
kwenye kila kitu sio huko tuMbona mashabiki wapuuzi wapo kwa wasanii wote wa mziki kuanzia Kiba, Vanessa, Aslay n.k na hao mashabiki hawapo tu kwenye mziki pekee wapo hata huku kwenye soccer letu.
Diamond anakusaidia ukiwa sio threat kwakeMbona diamond kawasaidia wasanii wengi amempa connection shetta kufanya collabo na kcee, chege na run town, amemlipia video ya dully Sykes inde, kamsaidia dj ommy kumpa connection mpaka kumwezesha kufanya vizuri medani za kimataifa.Pia angekuwa ni mbinafsi Kama unavyosema harmo asingekuwa msanii wa kimataifa, Asingemtoa Rayvanny, Lavalava na mbosso
Naona saizi anatoa stress mara hainishtui mara sijui hujanikomoa yaani jamaa sijui ndo kupanic!? Afanye mziki asipige madongo jiwe anajidhalilishaHAKUNA HURUMA YA WANANCHI KAMA UNATOA NGOMA MBOVU, APAMBANE KWA NAFASI YAKE JAPO ANGUKO LAKE LINAONEKANA WAZI KABISA