GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa.
Sio yeye tu nadhani hata wasimamizi wa CHADEMA blogs za chama na mabaraza ya chama kwa maana ya BAVICHA,BAWACHA na BAZECHA na wao watakuwa wamejisahau kupandisha tukio la makamu mwenyekiti huyo akitangaza kuwania uenyekiti wa chama Taifa kwenye social media.
Nadhani watakuwa wametingwa na majukumu mengi au wamejisahau kupandisha hotuba na tukio zima la makamu mwenyekiti wao akitangaza kuwania uenyekiti Taifa.
Sasa niwaombe wana JF wote kwa pamoja tuwakumbushe maafisa habari CHADEMA popote walipo wapandishe kwenye social media zao hotuba ya Tundu Lissu na tukio zima la yeye akitangaza kuwania uenyekiti CHADEMA Taifa.
Maana mpaka YouTube chanell ya chadema media TV hawaja upload tukio na hotuba ya Lissu akitangaza nia ya kugombea uenyekiti. Mbona hotuba ya Mbowe ipo social media zote za CHADEMA?
Ugumu na uzito huu wa kupandisha tukio la Lissu untoka wapi?