Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Tunapiga ngoma Lumumba yote inakatamaunoo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuulize propagandist wa Mbowe Erythrocyte
[/QUOTE]
Popote alipo aje atoe majibu ya uhakika huku.
Kabisa mkuu. Jina lao limeshindwa kusadifu yaliyomo ndani yakeChadema democracy wanayoitaka hawawezi kuitimiza hata nusu
Mfano/uthibitisho wa huo ubinafsi wake ni upi?TAL akipewa madaraka naye atakuwa kama Mbowe au zaidi. Huyu huwa ni mbinafsi sana
Si kweli.TAL akipewa madaraka naye atakuwa kama Mbowe au zaidi. Huyu huwa ni mbinafsi sana