Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Na pia natilia msisitizo kwa vijana wale wanaotaka pesa za mkato.

Marinda ni kitu adimu mno, hata uende Dubai hayanunuliki, Yakitoka ndio basi [emoji16]

Pambana mkuu, Nakupa baraka zangu zote,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nakumbuka muda mrefu kidogo umepita tangu niende hapo kiwandani kwa Mo. Nilikosa pia nikaambiwa nijaribu usiku. Hizi Kazi za vibarua huwa napiga nikipata likizo ya Shamba. Si rahisi kutoboa kwa kupitia hizi Kazi Ila zinatusaidiaga kusukuma wiki.
Ila wakuu Mwenye connection ya bandari alete mchongo Hali hii sio poa kabisaaaaa
 
Namla kichwa potelea pote. Mbona sote tutakufa lkn kosa la kunichomea mishe nirudi kwenye umaskini litamgharimu kifo mtu.

Hii tabu ninayoipata hata kupata kazi ya ukuli tuu ni kubwa mnoo na sijafanikiwa kabisa mpaka saiv.
Sasa mkuu Ukimla kichwa utakuwa umemsaidi sana!! atakufa na kustarehe ahera!!! huyo dawa yake muache aishi ili akuone siku nyingine!! uko Matawi ya juu!! afu mkumbushe ataumia sana kama visu zaidi ya kimoja vinavyo kata Roho!!!

kuliko kumla kichwa!! visu vitamkata rohoni miaka yote!! hasa akiona una katiza na Ford Ranger lako!! km hamnazo vile kwenda kusiko julikana!!

Na hawa wa hivi!! wapo tu humu Duniani hawaishagi utaondoa wangapi?? yaani utaacha kazi na kufanya kazi ya kuwaondoa wabaya!! hawaishagi Mkuu!! Wengine ni starter ya wewe kusonga mbele kivingine...

mie nadhani ungewashukuru!!... bila wao kukuchoma usingechomoka hapo mavumbini na kuwa bora zaidi... ''Ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapo fanikiwa ajionee mwenyewe''
 


Wazo hamasa sana hili.😊😊😊

Nmelipenda mkuu.
Ni sahihi kabisa kua hawa huwa hawaishi kabisa.
 

Unataka ukuli mzee upo wapi nikupe machaka.

Wandugu utaratibu wa kupata izo mishe uko vipi?? Ni unaenda tu kiwandani au ikoje aisee hali si hali. Mtujuze tunapata izo mishe, wanaume tumeumbiwa mateso na kuhangaika acha tuvuje jaaho tu walau tuoate mlo wa siku maisha yasonge. Na maeneo vilipo hivyo viwanda.
 
Mzee ww tokea external unaingia benjamini mkapa watakuelekeza ukavuje jasho.
 
Ndio maana kabla hujaidharau kazi, jaribu kuitafuta kwanza uone kama itakuwa rahisi kuipata.
Hahaaaa what if am a men halafu nadharau u-housegirl? niutafute pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…