Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Pole ndugu mleta mada, naamini jitihada hazizidi kudra ya mwenyezi Mungu . Pambana ila jua jaliwa linatoka kwa Mungu.
Binafsi ninapo kutana na mada Kama hizi huwa namshukuru Mungu alieniongoza kujifunza ufundi, sisi mafundi hakujawahi kupungukiwa na kazi hata wakati mmoja, japo lakini kidogo leo na jana hazilingani ila hatujajikuta kwenye nyakati ngumu za kukosa kazi moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app