Gilbert Prudence
Member
- Oct 30, 2018
- 35
- 62
Pia wanapata ajira bila changamoto yoyote ile. Sijui yeye amesoma nini?Umesoma nini sua? mbona vijana wengi wasua naona wanaenda nje sana
Pia wanapata ajira bila changamoto yoyote ile. Sijui yeye amesoma nini?
Vijana wa MUST je?😅Umesoma nini sua? mbona vijana wengi wasua naona wanaenda nje sana
MUST hawana tofauti na vyuo vingine Udsm DIT and the likes.Vijana wa MUST je?😅
Ukimaanisha.....MUST hawana tofauti na vyuo vingine Udsm DIT and the likes.
Wajiajiri lwenye projects kilimo uvuvi na mifugo ? Mikopo kibao sasa ajira gani wanataka wako wengi hivyo??Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D
50-59 ni C
60-64 B
65-69B+
70-100A
Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3. kwahyo kwenye qualifications za GPA mwanafunzi wa SUA tiyari kigezo cha GPA kinanamtoa nje , hizi pass mark zinaumiza sana wanafunzi na kwenye competition za ajira wanafunzi wanapata ugumu sana . Pass mark inabidi iwe moja ili kuleta usawa kwa vyuo vyote
Ni vilaza kama wewe unayechonga nyusi.Ukimaanisha.....
Home economics huyo mpishi....Pia wanapata ajira bila changamoto yoyote ile. Sijui yeye amesoma nini?
Una soma kilimo SUA, halafu unataka ukatafute ajira daslaam. Utakwama tuu.Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D