The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Skimu za umwagiliaji zipo sua wapi mkuu?Elimu ni biashara
Lakini lengo mama la chuo ni kilimo ndio maana serikali inatoa ruzuku ikilenga kwenye utafiti wa kilimo,skm za umwagiliaji nk
Haya,niambie kwenye kilimo nchi hii impact ya sua iko wapi?
Au ufugaji,unakumbuka kuna chanjo ya kuku ilisababisha hasara kwa wafugaji ila ilikuwa imetokea sua?,unajua nini kilifanyika hadi iKfikia hivyo?
Unakumbuka walr vijana walioenda israel wanauawa?,unafaham huo mradi unavyouza watu?
Mtu mwenye degree anaenda kuosha mbuzi wa kiyahudi na kulinda mabanda,halafu useme elimu aliyopata sua imemsaidia?
Sua imeshusha hadhi ya kilimo.