Ugumu wa ajira Kwa wanafunzi wa SUA

Elimu ni biashara

Lakini lengo mama la chuo ni kilimo ndio maana serikali inatoa ruzuku ikilenga kwenye utafiti wa kilimo,skm za umwagiliaji nk
Skimu za umwagiliaji zipo sua wapi mkuu?

Haya,niambie kwenye kilimo nchi hii impact ya sua iko wapi?

Au ufugaji,unakumbuka kuna chanjo ya kuku ilisababisha hasara kwa wafugaji ila ilikuwa imetokea sua?,unajua nini kilifanyika hadi iKfikia hivyo?

Unakumbuka walr vijana walioenda israel wanauawa?,unafaham huo mradi unavyouza watu?

Mtu mwenye degree anaenda kuosha mbuzi wa kiyahudi na kulinda mabanda,halafu useme elimu aliyopata sua imemsaidia?

Sua imeshusha hadhi ya kilimo.
 
Ni kweli wanaoenda kwenye izo program wanaenda kama cheap labour ila wanarud na hela nzr.
 
ukisema "vyuo vingine" ondoa udsm, usiifananishe na vyuo vya kata.
 
Huu nao ni ugonjwa mwingine, nchi hii vyuo vyote vimekuwa sawa tu. Kwani UDSM ya sasa inatofauti gani na vyuo vingine?
usije kujidanganya hata siku moja. wewe cha maana soma tu, pata degree yako, nenda katafute kazi, usipoteze muda kubishania hilo.
 
Wewe ni muhitimu wa SUA au Mkufunzi wa SUA? Unaonekana kukielewa sana hicho chuo, tupe ukweli kuna nini hasa kinaleta ubovu huo, au uozo huo uko SUA?

Wanafunzi kununua mitihani ni vyuo vyote kwa sasa, na vyuo kuanzisha program/course nyingi imekuwa fashion, na sehemu ya kuingiza mapato. Wana copy program/syllabus za vyuo vingine wana paste na kuanzisha degree bila kujali kama wana walimu wenye sifa au la imekuwa kawaida siku hizi, vyuo kuanzisha matawi kila kona ni fashion pia.

Tupe uchafu na uozo wa SUA mkuu.
 
usije kujidanganya hata siku moja. wewe cha maana soma tu, pata degree yako, nenda katafute kazi, usipoteze muda kubishania hilo.
Sibishani, kwa sababu naelewa mazingira hayo, na haya mambo ya chuo bora sijui huwa wanapimanaje?
 
Ukiachana na kazi chache kama kuwa muhadhiri chuoni nk kazi nyingi huwa haziangalii GPA

Cha msingi uwe umefaulu tu.


Halafu hao waliosoma vyuo vingine ndio wanapata sana ajira??

Sio wamejaa tu mtaani
 
Watu wanaichukulia kwa ukubwa sana na kukiogopa.
 
Hahahahahaha....
Nimecheka sanaaa!!!!
Huko si unasoma mpk maji unaita mmaa
Sisi 82 ni A tenaA kubwaaaaa kabisaaaa
 
Kwani bado kuna kampuni ama mashirika wanaozingatia GPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…