Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

Mkuu

Mkuu nimeomba kampuni ya JV Arab Contractors lakini kama unapatikana ugali kampuni yoyote nipo tayari
Hiyo kampuni ya JVAC uliomba kwa njia gani ulituma kwa email au ndio ulipeleka reception ukamuachia receptionist?
 
Mkuu

Mkuu nimeomba kampuni ya JV Arab Contractors lakini kama unapatikana ugali kampuni yoyote nipo tayari
Jaribu na SINO HYDRO KIDOGO AFADHALI WAAARABU MASWALI MENGI KAMA INTERVIEW LAKIN WACHINA BIDII YAKO YA KAZ TU
 
Mkuu
Jaribu na SINO HYDRO KIDOGO AFADHALI WAAARABU MASWALI MENGI KAMA INTERVIEW LAKIN WACHINA BIDII YAKO YA KAZ TU
Mkuu hata hao sino hydro wakitaka wafanyakazi wanaleta order hapa ofisi hii hii iliyopo kisaki.
 
Ahsante mkuu, jaribu sino ya mchina anahitaji watu wengi sana.
 
Ahsante mkuu, jaribu sino ya mchina anahitaji watu wengi sana.
Tatizo mkuu ukishakabidhi barua yako hapa Kwa HR wa kijijini basi tena kuitwa inategemea na huruma yake. Hivyo kama HR hana maslahi na wewe unabaki unachina tu hapa hata kama order ya watu ikitoka wanachukuliwa wengine. Tatizo la hapa Mkuu ni connection toka Kule ndani
 
Pole sana mkuu, Mungu ataleta heri yake.

Huko arab contractors wana uhitaji wa magali makubwa? Ya kufanyia kazi?
 
Mjuu
 
Hii mfumo una viashiria cha rushwa, toa taarifa kunakohusika ili mianya izibwe
 
Hii mfumo una viashiria cha rushwa, toa taarifa kunakohusika ili mianya izibwe
Mkuu viongozi wa kijiji hiki cha Kisaki hasa wajumbe , wameigeuza hii ofisi ya kuopokelea maombi ya kazi kama Mali yao, Wamekuja na hoja eti wazawa wa kisaki kwanza,Wanatumia mwanya huo kuchukua mlungula wakati sisi tupo hapa toka miaezi ya 6 lakini order ikiletwa unaona watu wanaingia tu. Kuna kipindi mpaka napata hasira natamani nichome mtu na pesa za moto
 
Nimekutumia PM mtafute huyo mtu kabla ya kumpigia simu jieleze labda atakupa kazi. Usinitaje maana sikujui.
Mkuu naomba ni PM na mimi msaada wako tafadhali
 
Mkuu nataka nijitose huko vijijini kwenye huu mradi, naomba connection pamoja na muongozo.
 
Vipi mkuu ulifanikiwa?kama ulifanikiwa naomba unipe ABC na mimi nataka kuja uko hali ngumu mtaani.
 
Mwenye namba za mwarabu anayesimamia interview anisaidie mdogo wangu kahujumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…