Dah hatari sana Yani mimi umri huu hata hamu ya kuzaa Sina, ila wasio na kipato hupenda kufyatua sana watotoKanda ya ziwa hiyo ni kawaida tena huyo kafata uzazi wa mpango !!! Utakuta mwanamke wa 30 years ana watoto 8
Lete kimoja chap, Acha uogaDah hatari sana Yani mimi umri huu hata hamu ya kuzaa Sina, ila wasio na kipato hupenda kufyatua sana watoto
Naogopa kuzaa Mimi lohLete kimoja chap, Acha uoga
Kwahiyo CCM ndio imempa hao watoto mkuu...?Lawama ziende kwa sisiemu
Binadamu alivyo na ubinafsi, angemsaidia huyo mama mpaka lini? Si ajabu kuna waliokuwa wakisaidia, ila kusaidia kwetu sio Kwa kutoa mtaji ili mwenye shida ajitegemee maana hatuna uwezo huo, Msaada ni wa kusaidia Kwa siku tu, kesho atoke tena kwenda kuomba Msaada. Hiyo huwachosha wote, muombaji na anayeombwa.Maisha ni kufundishana na kukumbushana
Kweli hata balozi wa nyumba 10 hana habari na watu wake
Ok labda sio majukumu yake vipi majirani yaani tumefikia ubaya huu hata hujui Jirani yako ana maisha yapi
Nashauri sio serikali tu hata waumini kwenye Nyumba za ibada wangekuwa wanatoa darasa la maisha kwa ujumla
Sio mara ya kwanza mambo haya yanatokea bali utakuta mtu anamuuwa mwenzie kwa deni la buku
Kama una shida bora kuisema tu
Kila mtu na lwake!Huku dsm kuna watu wanateketeza zaidi ya 500k kwa masaa wakila anasa na mademu ......
Huku mwingine akikosa hata nguna ya kutafuna ....
Huyo mama na wanae hawajui hata ni kitu gani unaongelea.Sukuma gang walitutambia sana wacha wafe njaa tu[emoji28]
Hangaya anachojua ni kurembua na kubembeleza watumishi wake 😅Huyo mama na wanae hawajui hata ni kitu gani unaongelea.
Huku dsm kuna watu wanateketeza zaidi ya 500k kwa masaa wakila anasa na mademu ......
Huku mwingine akikosa hata nguna ya kutafuna ....
Heheheh sio ziko pale pale, zimesogezwa mbele zaidi na karibu yako kama kivuli😅!Duh kumbe pamoja na kuondoka bwana yule shida ziko pale pale?!!!!
Kwa hali hii kujiua lazma iwe option rahisi zaidi kuliko kukaza! What do you live for kama huna furaha ya maisha!?Miaka 60 ya Uhuru!!!hali ya maisha ya mtanzania inasikitisha sana
Ajira ni tabu
Gharama za maisha hazifai
Watanzania wengi wamepoteza matumaini!!!
Wanasiasa ndio wanaotamba!?
Kweli ni huzuni Hili Taifa!
Utakuta majirani zake nao ni choka mbaya ni kwamba hawajafikia tuu uamuzi wa kujitoa uhaiMaisha ni kufundishana na kukumbushana
Kweli hata balozi wa nyumba 10 hana habari na watu wake
Ok labda sio majukumu yake vipi majirani yaani tumefikia ubaya huu hata hujui Jirani yako ana maisha yapi
Nashauri sio serikali tu hata waumini kwenye Nyumba za ibada wangekuwa wanatoa darasa la maisha kwa ujumla
Sio mara ya kwanza mambo haya yanatokea bali utakuta mtu anamuuwa mwenzie kwa deni la buku
Kama una shida bora kuisema tu
30years watoto watano. African woman.Watoto wawili wamefariki dunia baada ya mama yao mzazi, Veronica Gabriel (30), mkazi wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kuwanywesha sumu kisha na yeye kunywa kwa madai ya ugumu wa maisha.
Hata hivyo mama huyo amenusurika kifo licha ya kunywa sumu hiyo kwa madhumuni ya kujiua
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe inasema mama huyo mwenye watoto watano aliwanywesha watoto wote sumu ya kuua wadudu kwenye nyanya na wawili kati yao kufariki.
Watoto hao wanumri kati ya mwaka mmoja na miezi tisa na miaka 12.
Watoto waliofariki dunia kutokana na sumu hiyo ni mwenye umri wa miaka 12 na miaka miwili.
“Watoto wengine wamelazwa Kituo cha Afya, Bwanga pamoja na mama yao akiwa chini ya ulinzi wa Polisi,”amesema Mwaibambe
Mwananchi
Binadamu alivyo na ubinafsi, angemsaidia huyo mama mpaka lini? Si ajabu kuna waliokuwa wakisaidia, ila kusaidia kwetu sio Kwa kutoa mtaji ili mwenye shida ajitegemee maana hatuna uwezo huo, Msaada ni wa kusaidia Kwa siku tu, kesho atoke tena kwenda kuomba Msaada. Hiyo huwachosha wote, muombaji na anayeombwa.
Utakuta majirani zake nao ni choka mbaya ni kwamba hawajafikia tuu uamuzi wa kujitoa uhai
Yuko Zanzibar anachimba mawe.inasikitisha sana sijui baba wa familia yuko wapi?